Nimpe laki moja kama nampenda!

PSYCHOLOGY

Senior Member
Feb 10, 2011
177
14
habari zenu!
Ninae jamaa yangu anae friend wa kike ambae amekua akishauriana nae kuhusu maisha. Lakin amekua akilalamika kwa tabia zake huyo dada...amekua akimlazimisha mara kwa mara ampe pesa za kujaza mafuta gari zake...japo dada anazo biashara zake nzuri.
Anahitaji kujua ni ipi siri ya huyo dada kumuomba mara kwa mara hizo laki (1 hundred thousand).
Jamaa amekua akimpa lakini anase,a amechoka...mbaya zaid huyo rafik anamuomba kama ni lazima.
Jamaa yangu amekua hana raha.
Afanyeje kumwacha nae hataki!!.
 
habari ni njema huyo amenogewa na hawezi kuacha kamwe kwani amekueleza kila ki2 anachofanya na huyo dada kuna baadhi anaficha kukwambia acngeng'ang'ania yakimshinda atasepa laki c pesa
 
Kuna wasichana ni kauzu haswa, mie napenda mtu mwenyewe ajue im in need ila kuombaomba kama yatima duh inataka moyo,ila kama anao uwezo kwa nini asimuhudumie huyo msichana? tena ni bora anaombwa mafuta tu ya gari,mi sioni shida huyo jamaa kumuhudumia. ukiona anampa mara kwa mara ujue uwezo anao, ondoa shaka, najua utakuwa ni wewe mwenyewe, kwani vipi bwanshehe, unajua angekuwa anaona mzigo angesha mwacha kitambo
 
Shantel shost! bwankaka lishamkwama haiwezekani utoe laki ya mafuta kila mara na wewe unatoa tuu bila sababu ya msingi au bila maelewano, sema sasa mzigo ushakua huuwezi tena wakati mwanzo ulijitanusha misuli uonekane na wewe wamo,sasa ushachamba upupu unaanza kuvua nguo moja moja.
 
habari ni njema huyo amenogewa na hawezi kuacha kamwe kwani amekueleza kila ki2 anachofanya na huyo dada kuna baadhi anaficha kukwambia acngeng'ang'ania yakimshinda atasepa laki c pesa
Hapo kwenye laki si pesa nimecheka sana,wiki ilopita kanga moko walikuwepo Masai Club sasa baada ya kufanya vitu vyao shabiki mmoja akampa mmoja wa wadada jero,yule dada akaiangalia na kumrudishia yule jamaa na kumwambia 'utakunywa soda kesho'.
 
kuna wa2 wanapenda matawi mbele za wa2 kumbe ukifuatilia unyayo dah ni sakala huyo jamaa afiche laki zake zitamtoa bdae mpaka kuleta mada hapa hali imekua tete.
 
hapo ujue jamaa yako analiwa pesa tu..mwanamke akikupenda kwa dhati kamwe hawezi kuwa too much demanding
 
Shantel shost! bwankaka lishamkwama haiwezekani utoe laki ya mafuta kila mara na wewe unatoa tuu bila sababu ya msingi au bila maelewano, sema sasa mzigo ushakua huuwezi tena wakati mwanzo ulijitanusha misuli uonekane na wewe wamo,sasa ushachamba upupu unaanza kuvua nguo moja moja.
Labda wanaonana mara moja kwa mwezi au wiki mbili, kwani msichana ana gari gani?
 
Duhhhh
Hiyo one hundred thousand ni kweli
hiyo nlizani laki moja ni kama US 100$..
Mweehh one hundred thousand $$$ is
A lot of money ...... .....

Anyhow ..
huyo jamaa yako yainekana kajaa
Mifuko inamwagika ......
Na mdada anachukua advantage yake..
Kama huyo mkaka anaona hali ni mbaya
Amueleze ...........
 
habari zenu!
Ninae jamaa yangu anae friend wa kike ambae amekua akishauriana nae kuhusu maisha. Lakin amekua akilalamika kwa tabia zake huyo dada...amekua akimlazimisha mara kwa mara ampe pesa za kujaza mafuta gari zake...japo dada anazo biashara zake nzuri.
Anahitaji kujua ni ipi siri ya huyo dada kumuomba mara kwa mara hizo laki (1 hundred thousand).
Jamaa amekua akimpa lakini anase,a amechoka...mbaya zaid huyo rafik anamuomba kama ni lazima.
Jamaa yangu amekua hana raha.
Afanyeje kumwacha nae hataki!!.

Amwelekeze ATM zilipo! Men are not free ATM machines ebooooooooooooooo
 
Shantel shost! bwankaka lishamkwama haiwezekani utoe laki ya mafuta kila mara na wewe unatoa tuu bila sababu ya msingi au bila maelewano, sema sasa mzigo ushakua huuwezi tena wakati mwanzo ulijitanusha misuli uonekane na wewe wamo,sasa ushachamba upupu unaanza kuvua nguo moja moja.
Ndio akome sasa kujitutumua kusiko na haja, amelianzisha mwache alimalize mwenyewe,kama vipi si amwambie kwamba anaumia?
 
Ndio akome sasa kujitutumua kusiko na haja, amelianzisha mwache alimalize mwenyewe,kama vipi si amwambie kwamba anaumia?

Aendelee kumpa ila awe anapitishia kwa mchumba/mke wake itaisha natural dearth. wanawake hawawezi kuchukua hela au kutoa hela kwa wenzao kwa muda mrefu watalipuana tu
 
Ningekua mimi huyo dada ningeachana nae the first day aliponiambia huo ujinga!
 
Laki moja ni mshahara mzima wa mtu wa hali ya chini...iweje mshahara mzima apewe yeye? Bora ionekane humpendi tu............
 
Back
Top Bottom