Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sijui niandike nini. Lakini ni kuwa nina mpenzi ananipenda nami nampenda. Huyu mtu alikuwa ni mwanaume wa ndoto yangu. Nimepata mwanaume yule yule niliyekuwa nammpicture. Hello tajiri wangu G...
41 Reactions
348 Replies
26K Views
Kuwa mwanaume ni kazi sana kuliko watu wanavyodhani. Mwanaume hawezi kukwepa majukumu,mwanaume hawezi kukwepa vitimbi au maudhi ya Mwanamke ndani ya familia, mwanaume hawezi kukwepa nafasi ya...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
INGAWA MIMI MWENYEWE NI MSHAURI WA MAPENZI NA MAHUSIANO LAKINI HILI LIMENISHINDA. NAOMBA MNISHAURI. Ndugu zangu na marafiki zangu, Naandika hili nikihitaji ushauri wa kina, ushauri ambao...
10 Reactions
58 Replies
8K Views
Ama kweli malovee hayana mwenyewe. Yaani na uhenga wangu nimekamatika na katoto ka mwaka 2000. Muda wote tu nakahisi kama kanachepuka. Japo sijakakamata na ishu yoyote ya kutia shaka lakini...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Mapenzi yana nguvu sana. Tusidanganyane kuwa mwanamke si chochote au mwanaume si chochote. Ukitokea kumpenda mtu fulani my bro hata ulikuwa jasiri kiasi gani kwenye mapenzi utakuwa kama mtoto...
12 Reactions
59 Replies
6K Views
Nyie wanaume wengi wenu mna wazimu kichwani mwenu, muda wote mnawaza ngono ngono ngono Umetongoza mdada hata hamjamaliza week ushaanza kuomba ngono.. halafu sisi tukiwaomba hela mnasema sie ni...
34 Reactions
286 Replies
8K Views
Kuna midume humu kazi yao ni kijipendeka kwa wanawake kwa kujifanya watetezi wa wanawake hasa kwenye mada zinazo ongea negative kuhusu wanawake, tena wengine wanafika hatua za kuanzisha mpaka...
43 Reactions
274 Replies
7K Views
Hopes mko poa wana MMU, ningependa kutoa mrejesho Kuna siku nilipost kule love connect kuwa naitaji rafiki wa kike, ingawa niliweka vigezo vingi ambavyo wengi waliokuja PM walishindwa kuvikidhi...
6 Reactions
139 Replies
6K Views
Heshima yenu wana JF, kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu...
22 Reactions
84 Replies
4K Views
Hello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani. Mimi; Ni mwanamke wa miaka 38 Brown skin tone Mkristo...
35 Reactions
241 Replies
12K Views
Heri ya mwaka mpya nyotee!!!! Aina tatu za ndoa 1. Kuoana kwa sababu huyu anataka kuoa na yule anataka kuolewa, wakakutana kwa haja hiyo. Kinachowakutanisha ni hiyo haja. Ikishatimia kila mtu na...
1 Reactions
5 Replies
501 Views
Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza kutumia maneno matamu. Na lazima ujue kuwa sio kila neno unalotumia litagusa moyo wa mwanamke...
9 Reactions
107 Replies
140K Views
Sehemu hii inaweza kufanyiwa kazi na mwanaume Rijali kwa kuzingatia yafuatayo Pata utulivu wa akili kwa kutumia njia za kuvuta pumzi (Deep breath),kupiga miayo mfululizo,kutoa hewa tumboni kuja...
3 Reactions
5 Replies
693 Views
Salamu za Januari wajumbe, Miaka ile ya ujinga, nilikuwa na mahusiano na binti mmoja, mahusiano yalinoga haswa kuna wakati nikadhani kabisa kuwa sasa huyu atakuwa mke na mama wa watoto wangu...
25 Reactions
36 Replies
6K Views
Kuna wanaume waliioa wanawake wanaofanya kazi/walioajiriwa kwa lengo la kurahisisha maisha. Mambo yakopoje huko kwenye ndoa? leteni feedback.
25 Reactions
222 Replies
10K Views
Mjuavyo tena katika mahusiano, kugombana na kurudiana ni kitu cha kawaida; mtakaa na kuombana msamaha na hatimaye mnafikia muafaka. Jana jioni, mrembo akaamua kuja kunitembelea nyumbani kwa...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Niaje niaje. Hii inagusa story muhimu kwenye maisha yangu halisi ingawa sitaingia ndani sana lakini nitagusa kidogo na code zitakuwa mubashara. Picha linaanza niko chuo x ndio kwanza nimefika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hapa siongelei financially. Naongelea katika upande usionekane katika macho ya nyama. Namaanisha energy, namaanisha kiroho. Nimesikia hapa na pale katika mada tofauti kuhusu jambo hili huku...
5 Reactions
76 Replies
3K Views
Nilikutana na usaliti kutoka kwa rafiki, anaongea shit kuhusu mafanikio yangu. nilijitenga naye kwa muda (kumpa space) aliniomba msamaha mara kadhaa, nikachukua muda wa kutafakari nikampa nafasi...
2 Reactions
5 Replies
576 Views
Katika mahusiano na hasa juu ya kitanda,utamu hasa ni nini? Miguno? Miuno? Mnato? Speed? Tujadili wanaMMU
1 Reactions
17 Replies
8K Views
Back
Top Bottom