Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa kweli,sio kwamba nina pesa nyingi la hasha,ni mtu tu ambae sinaga mambo mengi hivyo huwa najitahidi kuwa na kabalance ka kutosha kwenye accounts zangu kwa ajili ya mambo yangu binafsi. So...
3 Reactions
12 Replies
620 Views
Msichana aliyeumbika vizuri na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15. Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika...
60 Reactions
459 Replies
28K Views
Habari za muda huu wanajamii forum. Nia na madhumuni ya Uzi huu kujua au kutambua sababu zinazo pelekea wanawake au wanaume wachelewe kuolewa au kuoa. Karibuni sana
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Ni kweli, mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age). Baada ya hapo ni aibu kweli. Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana. Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
20 Reactions
383 Replies
33K Views
Kibaolojia, mwanamke hukata moto wa kuchakatana (kugegedana) na hukoma kuzaa akiwa na 45 ama chini ya hapo. Ndiyo kusema kama mwanamke ameolewa na 32 tafsiri yake ni kwamba atakuwa consummated...
12 Reactions
40 Replies
3K Views
Kuna katabia kapo hata sijui aliyekaanzisha nani aisee, ka kuamini kila mwanamke anataka kuolewa na ndio lengo au ndoto za maisha yake. Utakuta wanaume wanamtongoza mwanamke akikataa wanaanza...
8 Reactions
75 Replies
5K Views
TRUE STORY; nina bahati ya hasa kupendwa na wakaka wa 40+ mpaka 50 huko (hawa wazee nadhani). And nipo 20's mwishoni kabisa bt they use to call me "toto, chakudeka, wengine Mumy etc" ilimradi...
16 Reactions
242 Replies
7K Views
Hivi wanaume wenzangu mnaohonga nyumba Mpaka magari Nyoyo zenu zipoje? Maana mimi nimejaribu ELFU KUMI tu yaani hapa natetemeka mwili mzima jasho, halikauki yani nahisi kuzimia zimia😂😂
9 Reactions
18 Replies
705 Views
Sijui kama huu Uzi utabaki hapa, ila lengo kuu mjifunze kitu Mnaweza msinielewe kabisa, na kujua lengo la thread hii ni Nini ok?? Hii Dunia imekwishwa wakuu, mpaka naandika hichi kitu natokwa...
2 Reactions
12 Replies
686 Views
guest-1793747943
Moja kwa moja kwenye mada Kama unatabia ya kujipongeza kwa kufanya ngona bila stahiki acha mara moja unajiharibu kufanya ngono ni kuzuri, kuna faida nyingi katika mwili wa binadamu lakini kuna...
7 Reactions
52 Replies
9K Views
Holla That's it.... He wasn't man enough for me and am the one for the cause we're apart. Lady out there... jiamini acha kulialia. .... to Kasie he wasn't man enough. "He Wasn't Man Enough"...
10 Reactions
153 Replies
9K Views
Kuna jamaa yetu tuko nae hapa kwa wachina.alimfumania mkewe wa ndoa takatifu kabisa analiwa na njemba nyingine ila cha ajabu jamaa limemsamehe mkewe na saivi limemrudisha nyumbani. Huu ni uzoba au...
27 Reactions
102 Replies
4K Views
Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!! Siku izi mwanaume akikutaka alaf...
27 Reactions
144 Replies
5K Views
Habari Wana JF hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa...
14 Reactions
131 Replies
5K Views
Kutana na mtu anaejiita PROSER NOW (ProsperNow) katika mtandao wa X Ndugu yetu huyu amejipa ukungwi wa kiume lakini maandiko yake ukiyasoma kwa undani zaidi unagundua jinsi alivyo na upeo mdogo...
2 Reactions
2 Replies
346 Views
Kila mzazi anachukizwa na tabia ya watoto kujiingiza kwenye mahusiano ya kimapenz shueni. Watoto wawapo shuleni hasa kizaz hiki wanakuwa na wapenzi wao. Wengine wanakuwa ile kimakuzi tu ni mpenz...
12 Reactions
52 Replies
3K Views
Kizazi kilichozaliwa kuanzia miaka ya 1975 hadi 1995 ndicho kizazi bora zaidi kutokea "Watu waliozaliwa kati ya mwaka 1975 na 1995 ni kizazi cha kipekee zaidi katika historia, na hii ndiyo...
4 Reactions
10 Replies
779 Views
Wakuu naomba ufafanuzi katika hili. Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma. Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma. Naona kama hili suala...
13 Reactions
185 Replies
5K Views
Huwezi kusimama peke yako na kudumu kwenye mafanikio makubwa kwa muda mrefu bila kuwa na watu Pamoja na mifumo iyakayokubeba na kukusaidia kupanuka. Unahitaji msaada kwenye maeneo haya: 1...
2 Reactions
1 Replies
332 Views
Mpo katikati ya mtanange aka tendo mara bibie anasimamisha pambano ghafla na kukutazama kwa jicho tepetevu la mviringo lililojaa huba hlf anakuuliza "baby unataka nikupe nini?" Huko kwenu...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom