Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanamke ana kazi mbili mnapoanza naye maisha ya ndoa, nazo ni; ...Kukutuliza ukiwa umechanganyikiwa na kukuchanganya ukiwa umetulia. Asante.
10 Reactions
15 Replies
898 Views
1. IT WON’T LAST FOREVER When you’re having tough times with your partner, it can feel like it will never end. But remember, things will get better! Look back at happy memories together to remind...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wana jukwaa. Mwanzoni mwa mwaka jana (December 2024) wazazi wangu walinishauri tutume wawakilishi waende nyumbani kwa wazazi wa mchumba wangu kwaajili ya utambulisho. Japokua Binti...
11 Reactions
152 Replies
6K Views
Kutokana na ubusy na kazi yangu mara nyingi nlijikuta si mtu ambaye nina muda wa kukaa na mwanamke au kumchunguza mwanamke.nlichelewa sana kuoa lakini pia hata kupata mtu wa kumwita mchumba maana...
189 Reactions
1K Replies
84K Views
Habari za jioni. Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu. Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi) Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K)...
15 Reactions
161 Replies
12K Views
Nakumbuka mwaka Jana February niliwai leta kisa humu Cha kumchapa makofi mchepuko wangu. https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/38182399 Ebana eeh, Yule mchepuko mwezi machi katikati...
21 Reactions
2K Replies
111K Views
Habari Kaka magical power,mimi ni Mama wa miaka 38 Majina naitwa Brenda, nipo kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa😭💔, mimi na mume wangu tulikua vizuri tu, mume wangu ni wale wanaume wapole, ananiruhusu...
13 Reactions
62 Replies
5K Views
Maneno ya mwisho niliyomwambia ni kuwa, "Huwezi kupata mwanaume mwingine kama mimi, ondoka, lakini najua utarudi, mjinga wewe!" Miaka miwili iliyopita nilifunga ndoa na mke wangu wa sasa. Kipindi...
19 Reactions
58 Replies
5K Views
Ni mimi tu ninaemuomba mke wangu tendo la ndoa au tuko wengi kwangu imekuwa ajabu sana, kila ninapotaka tendo la ndoa nimuombe mke wangu tena inafika hatua ya kumbembeleza kabisa ile anipe mambo...
30 Reactions
162 Replies
10K Views
Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta...
15 Reactions
34 Replies
4K Views
Wanaume 🥴 Kumwingilia mwanamke siyo tu kuweka uume wako...✍🏾 Kuingiliana ni zaidi ya ngono na kumaliza. Kwa hakika, hata mbwa wanafanya vizuri zaidi. Kuingiliana ni kuhusu kumiliki nafsi...
1 Reactions
1 Replies
785 Views
Kama mwanadamu sina tofauti na wengine wote. Mwaka huu wa 2023 nimekutana na hadithi nzuri sana zenye kujenga japo ni visa vya kusikitisha sana, kisa cha kwanza jamaa kanihadithia namna...
7 Reactions
58 Replies
4K Views
Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza...
26 Reactions
92 Replies
4K Views
Kuna ka upepo ka Ulimbukeni ambako kanaendelea kuwapitia hawa watoto wa kike. Kwasababu tu yupo TikTok, IG ana followers wengi n.k, tayari hujiona kichwani kwake anahitajika kuliko chochote, na...
11 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi...
112 Reactions
336 Replies
19K Views
Nina miaka 32 natafuta mwanamke tufunge ndoa awe muislam umri 19/25 kabila lolote lile
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Asee wagonga ulimbo ( vijana tunaojitafuta) tuyaogope sana mapenzi .. Nimeshuhudia wagonga ulimbo wengi sana wakishindwa kufikia malengo yao kwa kuendekeza mapenzi . Mapenzi yanavuruga sana...
2 Reactions
2 Replies
362 Views
hi naitwa intelli, waweza niita raisi wa ma jobless pro max. "Looking for a genuine connection to a certain genuine Lady to build a meaningful relationship with" Kiumri nina miaka 25, Mimi ni...
20 Reactions
153 Replies
4K Views
Inaumiza sana sana sana Sasa hivi kumekuwa na matukio yakishamiri ya wanandoa kufariki baada ya ndoa ama siku chache kabla ya ndoa( mimi pia ni muhanga wa kukutwa na hilo tukio japo ilikuwa ni...
22 Reactions
154 Replies
6K Views
Nawasalimu rafiki, nawapenda walevi jaman wanaojua kula vitu vitamu kwa usafi wake. Ni hilo tu, tufanyeni kazi tukutane jioni japo tupige story mbili tatu maeneo ya Shoppers tunywe kahawa nitalipa...
10 Reactions
163 Replies
5K Views
Back
Top Bottom