Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina rafiki ambaye jana kufunguka kile alichokuwa anapitia kwenye mahusiano yake, ana mwanamke ambaye anaishi naye huu mwaka wa pili sasa ila mambo yamebadilika tangu mwezi November mwaka jana...
11 Reactions
25 Replies
991 Views
Kwanini mwanaume anapokuwa na malengo ya kudumu na Mwanamke - ghafla mwanamke huanza kuonyesha tabia za ajabu ajabu,mara haeleweki anataka nini,mara simu hapokei, sms hajibu,anakuwa mkali sana kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati mwanamke ana umri wa chini ya miaka 24, uwezekano wa kuolewa ni zaidi ya salimia 75%. Wakati mwanamke ana umri wa kati ya miaka 25 na 29, uwezekano wa kuolewa ni asilimia 50%. Wakati...
2 Reactions
6 Replies
480 Views
Dharau huwa zinajitokeza kwa Watu wengi pale ambapo wanakuona hauna pa kwenda,pale ambapo unaonyesha kuwahitaji sana ili uwe na furaha. Unapokuwa mpweke kupitiliza,unapokuwa hauna furaha...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Namtafuta mchumba 1 Hodi naleta maombi, ya uchumba Hapa niiweke kambi, na kulimba Nile za maziwa tambi, nina sumba Namtafuta mchumba, ajilani 2 Barua hii iwazi ,isomeni Na awe yangu saizi...
3 Reactions
17 Replies
969 Views
NILIVYOKOJOLESHWA NA MWANAFUNZI WA SEKO Nyege ni moja kati ya mambo magumu sana kujizuia. Ukiweza kujizuia lazima kutakuwa na vitu vilivyokusaidia. Mazingira ambayo hali hiyo ilikukuta huweza...
12 Reactions
80 Replies
44K Views
Nawaasa kama wanajamii kuna athari kwenye ubongo Usiponyanduana kila wiki, tena wastani ni angalau mara mbili (twice a week) kwa wiki, kuna hatari kubwa ya kuwa mtu Ndondocha. Chukueni tahadhari...
2 Reactions
3 Replies
421 Views
Kama mwanaume inabidi ujisikie aibu kutoa statement ya namna hiyo sisi graduate wa Cuba tunakuchora na kukuonea huruma jinsi mali yako inavyotafuna bila huruma na wafuatao. 1. Supplier 2. Dalali...
10 Reactions
63 Replies
2K Views
Wanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao. Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akaanza kula akiwa kivulini utanishukuru.
11 Reactions
58 Replies
2K Views
Hello jamiiforum Ni jumapili ya mwisho wa mwezi wa Kwanza mwaka 2025. Kumekucha kupambana,siyo mapambano ya kazi za kimwili,pengine ni mapambano ya kuridhisha nafsi na roho zetu. Huko...
5 Reactions
13 Replies
800 Views
Wakuu salama salama.. Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati. Huyu binti ukimuona uwezi amini...
21 Reactions
334 Replies
10K Views
Tunawalaumu sana wanawake,kuhusiana na maisha baina ya mwanamke na mwanaume.Kila jambo baya likitokea basi ni mwanamke ndio kahusika.Tujitazame na sisi wanaume tunatenda haki?,Tupo sawa? hatna dosari?
1 Reactions
6 Replies
425 Views
Hii ndio ya mwisho siwafundishi tena!, Alietulia ni sawasawa na kasongo (ngiri) siku akikumbuka shimo lake basi anarudi kwa spidi kali na mnajua huyo mnyama anavyoingia kwenye shimo lake...
11 Reactions
70 Replies
2K Views
Wana Jf nimechoka na ukapela Kwa ufupi tu Nilioa na ndoa yangu imevunjika miaka mitatu iliyopita. Tuligawana tulivyo chuma kila mtu ana maisha yake na kwake Nimejipa time ya kujiangalia na...
2 Reactions
5 Replies
575 Views
Jihadhari na Udanganyifu wa Kijinsia... Wanaume Ngono ni nzuri, lakini imepewa thamani ya juu kupita kiasi. Wanawake wanadhani ngono ina nguvu sana. Wanadhani na kupitiliza uwezo wao wa kijinsia...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Nauliza hivi Kwa Sisi WANAUME Je, mwanamke msaliti anasemehewa?
6 Reactions
130 Replies
4K Views
HILI NI JANGA LA KITAIFA KWA MABINTI WALIOPO KWENYE NDOA!😭💔 Wanawake wanaokubali kuingiliwa kinyume na maumbile katika ndoa zao ni wengi, tena wengi ni mabinti wa kuanzia miaka 22 mpaka 27, ndiyo...
9 Reactions
54 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi. Natafuta mchumba ambaye natamani...
37 Reactions
239 Replies
26K Views
Ndoa ni safari takatifu, lakini kama ilivyo safari nyingine zozote, inahitaji kuwa tayari kabla ya kuianza. Si kila mtu anafaa kuwa mwenzi wa ndoa, na si kila mtu anafaa kuingia kwenye taasisi hii...
11 Reactions
90 Replies
5K Views
Back
Top Bottom