Wivu ulivyoharibu mahusiano yangu

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Mapenzi yana nguvu sana. Tusidanganyane kuwa mwanamke si chochote au mwanaume si chochote. Ukitokea kumpenda mtu fulani my bro hata ulikuwa jasiri kiasi gani kwenye mapenzi utakuwa kama mtoto mdogo

Mwenzenu mimi nilipenda mwanamke fulani. Kipindi nilipokuwa naye in relationship. Kwanza sikuwa namuamini anytime nilikuwa nafikiria ana ni cheat tu yaani nilikuwa na wivu ya kupitiliza kwake sasa kitu hicho kilikuwa kinafanya nimkoseshe amani saana.

Licha ya kuwa na wivu, nilimjali, nilimpenda na kumthamini saana. Kibaya ni kuwa yeye ndio alikuwa mwanamke wangu wa kwanza kupenda katika maisha yangu kabla yake sikuwahi kuwa kwenye mausiano na mwanamke mwingine. Wivu yangu ulipelekea mimi kumwambia kuwa tuachane.

Sasa nimejaribu kuwa kwenye mausiano na wanawake wengi my friends, nimeshindwa ku move one Bado moyo wangu una hisia kali kwa yule mwanamke.

Nilijaribu kumwambia how i feel because of her and how much i love her na jinsi gani i need her in my life. Mwanamke amenikatalia kabisa.

She always told me that i didn’t see her important when she was with me. Nimejaribu kumwambia situation jinsi gani ilivyokuwa, she doesn’t want to get my i’m talking my

Sasa i don’t know, what can i do again?
 
Kifupi ni kwmba wanaume woote tunakale kademu ambacho hata iweje hakatokagi moyoni yaani ukikaona tu moyo paa, cha msingi ni kuendelea na maisha tu kwa kumtafuta mwingine na hiyo haikwepeki
Yaani ukiona text yake tuu moyo unalipuka. Ila dawa ni kujikaza na kutafuta mbususu nyingine
 
Kilichonisaidia nisiendeshwe na mapenzi cha kwanza

Sijawahi kupenda

Kwa nini sijawahi kupenda sababu ktk ukuaji wangu nimenunua sana papuchi hivyo nikaweka ile mentality kwamba hawa wote ni wauzaji trust no one

Ndi hvyo mpka leo najigongea nikiachwa siumii naona kawaida halafu siwezi kua na demu mmoja
 
Back
Top Bottom