Mrejesho: Kuhusu tangazo langu la kutafuta rafiki wa Kike

MFALME WETU

JF-Expert Member
Feb 1, 2021
2,587
6,170
Hopes mko poa wana MMU, ningependa kutoa mrejesho

Kuna siku nilipost kule love connect kuwa naitaji rafiki wa kike, ingawa niliweka vigezo vingi ambavyo wengi waliokuja PM walishindwa kuvikidhi but i don't regret it.
Nimefanikiwa kumpata huyu rafiki ambae tumepata kuwasiliana for almost 3 weeks now and good enough ana match vigezo vyote vya rafiki niliyekua nikimuitaji. She's very charming, mcheshi, mpole, msomi halafu mrembo mno.

Nikiwa na stress yoyote sikawii kumcheki na kunicalm down. Ndio lilikua lengo langu la kutafuta rafiki wa kike & am very grateful for that.


Najivunia kujuana na huyu dada, ni muda mfupi but seems like tumejuana muda sana.

Asante kwa kuwa mshauri mzuri kwangu.

Thanks JamiiForums.

Thanks MMU

Happy birthday "J".

Better late than never.
 

Attachments

  • Screenshot_20230223-224232_2.jpg
    Screenshot_20230223-224232_2.jpg
    31.3 KB · Views: 14
Hopes mko poa wana mmu


Ningependa kutoa mrejesho

Kuna siku nilipost kule love connect kuwa naitaji rafiki wa kike

Ingawa niliweka vigezo vingi ambavyo wengi waliokuja pm walishindwa kuvikidhi but i don't regret it.
nimefanikiwa kumpata huyu rafiki ambae tumepata kuwasiliana for almost 3 weeks now and good enough ana match vigezo vyote vya rafiki niliyekua nikimuitaji..She's very charming, mcheshi, mpole, msomi halafu mrembo mno., .,,.

Nikiwa na stress yoyote sikawii kumcheki na kunicalm down.. ndo lilikua lengo langu la kutafuta rafiki wa kike & am very grateful for that.

Last weekend nilikua na shida ya kubook flight ya kwenda mkoa nikamcheki night kali maana nilipata emergency akanifanyia booking kesho yake nikaamkia tu safari pasi na shida yoyote. Thanks alot

najivunia kujuana na huyu dada, ni muda mfupi but seems like tumejuana muda sana..

Asante kwa kuwa mshauri mzuri kwangu

Thanks JamiiForums

Thanks mmu

Happy birthday "J"


better late than never
Na mkipeana UKIMWI pia uje utupe Mrejesho wako hivi hivi kwa bashasha sawa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom