Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wanaJF, Naamini kwa idadi kubwa ya watu wa humu, kunaye mtu uliyewahi kumpenda na pia bado unampenda lakini kuna mambo yalitokea hadi hivi sasa haupo karibu nae au haupo nae katika...
7 Reactions
97 Replies
4K Views
Kweli hisia hazifichiki kabisa. Hapa mwamaume mwenzetu kweli kakosea sana.
9 Reactions
60 Replies
3K Views
Wakuu habari za asubuhi? Hivi karibuni nilishare huu uzi hapa. https://www.jamiiforums.com/threads/najuta-sana-kuharibu-ndoa-ya-huyu-jamaa-nitumie-mbinu-gani-kumuomba-msamaha.2278938/ So kilipita...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Unapozungumzia suala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahili, wengi ni wabahili, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi...
106 Reactions
394 Replies
32K Views
Wakuu ndiyo ipo hivyo Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake...
15 Reactions
85 Replies
5K Views
Habari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu.. LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA.. Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini...
15 Reactions
368 Replies
37K Views
Kumekuwa na uVumi kwamba kuwa single kunasababisha kichaa na Afya ya Akili. Je, kuna ukweli wowote ule kuhusiana na kauli hili?
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa. Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani? Dunia...
16 Reactions
144 Replies
7K Views
Nina mwaka mmoja Dar, nafanya kazi kampuni moja hivi nzuri, kitengo safi Elimu zile za kula kiapo Baada ya miaka 6 ya chuo na intern. Changamoto moja nina mpango wa kuoa mwaka huu, nina manzi...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Habari wana Jf Leo naandika uzi huu moyo wangu ukiwa umejaa huzuni sana sielewi hata la kufanya! Ipo hivi mwaka 2021 nikiwa chuo, nilikutana binti mmoja classmate, nikatokea kuvutiwa naye maana...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Msaada tutani wakuu. Nawezaje kujua kama huyu ndiye au siye? Je wana alama yoyote kama wamakonde au? Naomba niachwe kwanza nisihojiwe kwa sasa nipo kwenye uchunguzi maalum. Tafadhali vijana...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha...
17 Reactions
121 Replies
8K Views
Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu. Issue yangu iko hivi. Kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart, so ktk harakati za...
28 Reactions
206 Replies
10K Views
Habari, wana jukwaa Ambao hamjaoa msije mkaogopa Kuna dada mmoja ambae ni best friend wangu na hanifichi kitu na Miongoni mwa watu wangu wa karibu na ni msaada mkubwa kwangu. Sasa huyu dada ana...
18 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakuu,hizi ndoa za siku hizi sijui zina tatizo gani. Kuna huyu jamaa angu amefunga ndoa mwaka jana December na binafsi nilichangia sherehe ya harusi yake. Sasa bana siku za hivi karibuni namuona...
13 Reactions
55 Replies
3K Views
1: Katika umri wa miaka 14,Huanza kuonekana ni mabinti wa kuanza kutamanisha kwa uzuri...😋😋😍 2: katika umri wa 16 huanza kujiskia na kujiona wanatamani kua na wanaume waliowapita umri,na hutamani...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Kila mtu amewahi kupitia kwenye mahusiano. Kuna kipindi mtu anakuwa kwenye mahusiano yenye furaha isiyo kifani hadi anaona kama dunia yote ni ya kwake. Ila mambo yanapogeuka...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Habarini za wikiend? Natumaini wana JF wote mko poa na wikiend inaenda vizuri kwa upande wenu. Sina muda mrefu sana hapa JF japo nimekuwa nikiingia kila siku hapa ili kujifunza mambo na vituko...
0 Reactions
75 Replies
10K Views
Mambo vipi wanaume wenzangu? Ebana me msichana wangu namshangaaga sana, kama kunipenda ananipenda hilo halina mjadala, lakini tangu tuanze safari ya mapenzi yetu hajawahi kunipiga busu kabisa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom