Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

kibebi

Senior Member
Feb 22, 2013
108
247
Hello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani.

Mimi;
Ni mwanamke wa miaka 38
Brown skin tone
Mkristo
Mwili wa kawaida wenye mvuto kimapenzi japo (sina chura kubwa).
Nina watoto 2
Nimeachana na mwenzangu kwa sababu Ambazo hazizuiliki kwa miaka 3 sasa (siwazi kupasha kiporo kwa namna yoyote ile).

Elimu ya masters
Ajira: nimejiajiri Ila wakati flani flani fursa zinapotokea naajiriwa ajira za muda mfupi (mfano kwenye projects n. k).

Ninatafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo;
Awe mtu mzima ambaye yuko single kwa sababu za kufiwa na mke, au talaka ya kawaida. Ila ambaye yuko katika umri wa utu uzima Ila hajawahi kuoa hapana.

Awe na watoto... Ila ni vizuri wakiwa wa mama mmoja. Sio watoto 5 kila mtoto na mama yake.
Awe na akili ya maendeleo na kuboresha maisha.
Urefu wowote
Rangi yoyote
Elimu ya degree masters au PhD itapendeza zaidi.
Awe mkristo (akiwa msabato au mlokole ni vizuri zaidi).
Awe na chanzo cha mapato kinachoeleweka (mfano ajira binafsi au kuajiriwa).
Awe tayari kushirikiana au kunisaidia mawazo ya namba gani ya kuboresha kile njnachofanya au hata mawazo mapya ya kujenga.
Awe father material na mkarimu.

Ninaomba walio serious tu ndio waje PM. Pls pls usije PM kama hauko serious.

Asanteni waungwana.
 
Hapa ulikua wewe mwenyewe au mdogo wako kweli?
Kama ni mdogo wako kwanini mnakimbiwa sana na Wanaume? Una hakika gani huyu unayemtafuta sasa mtadumu kama dada mtu, mdogo mtu nk wanaaachwa! Umejaribu kufanya utafiti mdogo ukajua tatizo liko wapi
Stick to the topic on board! Spare that story for another day....
However, There is no where I said it was me or any other person related to me.
Otherwise thanks for contributing!
 
Ninatafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo;
Awe mtu mzima ambaye yuko single kwa sababu za kufiwa na mke, au talaka ya kawaida. Ila ambaye yuko katika umri wa utu uzima Ila hajawahi kuoa hapana.
Awe na watoto... Ila ni vizuri wakiwa wa mama mmoja. Sio watoto 5 kila mtoto na mama yake.
Awe na akili ya maendeleo na kuboresha maisha.
Urefu wowote
Rangi yoyote
Elimu ya degree masters au PhD itapendeza zaidi.
Awe mkristo (akiwa msabato au mlokole ni vizuri zaidi).
Awe na chanzo cha mapato kinachoeleweka (mfano ajira binafsi au kuajiriwa).
Awe tayari kushirikiana au kunisaidia mawazo ya namba gani ya kuboresha kile njnachofanya au hata mawazo mapya ya kujenga.
Awe father material na mkarimu.
Ninaomba walio serious tu ndio waje PM. Pls pls usije PM kama hauko serious.
Asanteni waungwana.

Hakunaga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom