Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanawake wenzangu wengine mnatia aibu, jijengeeni msimamo na stara kujistiri ni jukumu lako wewe ushafunua uchi wako kwa hata wasio wapenzi wako ukiombwa gemu kishkaji wala huna hiyana mtoto wa...
24 Reactions
88 Replies
7K Views
Ushauri, Wadada mlioolewa, wenye ndugu wa kike halafu wanaishi haya maisha ya kimjini mjini kujidai wanazo na masupastaa. Epuka kuishi nao nyumba moja, ni hatari kwa ndoa yako, hutamani yale...
6 Reactions
48 Replies
9K Views
Habari za jioni wakuu, Kuna vitu ambavyo unaweza kukutana navyo katika maisha yako ya kila siku na ukavihifadhi katika moyo wako na kufanya siri kubwa ambayo kamwe hutataka kumwambia mtu yoyote...
1 Reactions
177 Replies
21K Views
Habari zenu wakuu, Naomba nianze moja kwa moja kueleza jambo hili. Mnamo mwaka 2006 nilikuwa katika mahusiano ya kimapenzi na binti anaitwa NASRA (si jina halisi) wakati huo alikuwa anafanya...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wapendwa wangu Hapa napo tafutia vitu vya kuchafua meza yangu home basi miezi kama miwili iliyopita nilikutana na babu mmoja kwenye lift na dada wa uji ndiyo hapa babu tukaanza...
12 Reactions
151 Replies
13K Views
Mke wangu kipenzi ana miaka 32. Alidungwa mimba na wahuni akiwa form 2 akapoteza network kimasomo. Sasa nataka nimrudishe kwenye chati awe na degree mbili kama mimi. Nimrudishe form two...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Asalaaam Mimi wangu nimemsave jina lake kamili vipi wewe umemsave jina gani mpenzi,mke au mchumba wako?
5 Reactions
208 Replies
22K Views
What’s good y’all... So today I wanna talk about fine dining and casual dining in the context of the Tanzanian dating scene. I’ve had my fair share of dates. In other words, I’ve been around the...
7 Reactions
83 Replies
7K Views
Kwa ufupi tu Tabia ya kuwa na mawazo mazuri, kuwaza mema na kulifikiria jambo kwa upande wa uzuri hutusaidia katika namna nyingi. ..........Swali la kujiuliza 1.Je, unaishi kwa kukubalika katika...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Yaani dume nzima nalazimika nilale kifudifudi ili yeye akande makalio yangu kwa maji ya uvuguvugu,jaman hii haki kweli? Tunakoelekea si atakanda mpaka pu.m.Au ndio mahaba ya mwambao yalivyo
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Poleni na majukum watanzania wenzangu, Natumai wote tuko poa na tunaendelea kulisukuma hili gurudum la maisha ya kila siku. Leo nimeona niwape makavu yao baadhi ya mabinti na wamama ambao wana...
16 Reactions
91 Replies
4K Views
Nafahamiana na wanawake wengi sana wanasheria, wenye tabia njema na wenye uzuri na mvuto wa kila aina. Wanawake hawa wengi hawana waume, hata kama wana watoto. Baadhi walifanikiwa kuingia...
31 Reactions
274 Replies
16K Views
Kwa sie watu wa pwani ukiona mwanaume mwenzio anakupa asset au kitu cha thamani juana yeyekuna siku atakuja kukuomba kitu. Yaani mwanaume mwenzio akupe gari ya mamilioni???utaolewa
9 Reactions
33 Replies
1K Views
Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka...
57 Reactions
78 Replies
5K Views
Imezoeleka kusikia mabinti wakisema nadate na mtu fulani au fulani anadate na fulani au nataka kudate na fulani. Kudate ni ile aina ya mahusiano ambayo watu wawili wasio jua hatima yao wanaamua...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Women chases who doesn't love them, love who doesn't care for them. Mwanamke atampiga chini nice guy na kupambana juu chini kuwa na bad boy ambae wala hana time nae zaidi ya kumchezea tu...
98 Reactions
316 Replies
19K Views
Wakuu, Kaka enu nimeoa na ndoa ni changa tu sasa kuna katabia nimekaona kwa mke wangu. Yaan ikipita sikutatu huyu wifi yenu sijampa LOLO aisee naona nyumba chungu. Kiburi,majibu ya ovyo...
23 Reactions
97 Replies
5K Views
mambo vipi waungwana, jamani mimi ni mwamba hapa 32 toka niwepo hapa duniani, napatikana pande za dar, mwajiriwa kwenye kampuni kubwa tu si haba kubadili mboga na hta kwenda kibaha kuulizia...
16 Reactions
66 Replies
2K Views
Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu. Nilibahatika kuonana na...
60 Reactions
388 Replies
41K Views
Back
Top Bottom