Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

miminimama

JF-Expert Member
Aug 2, 2018
691
1,780
Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.

Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana Magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.

Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.

Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.

Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.
 
Uliyezaa naye yuko wapi? Hawa wengi wao wakimuona waliyezaa naye hana mtu wala hawaleti varangati sasa ngoja wasikie/waone umepata mtu basi vurumai mara kwa mara ili kuharibu tu na ndiyo sababu kubwa ME wengi wakishajua KE ana mtoto basi wanakata kona labda kuwe kuna kitu kingine kilichomvutia au atakuwa anatoa ugwadu tu.

Tena wakijua umezaa na unahitaji mume wanataka kukufanya kama sex machine yaani mtu anakosa ustaarabu, anyway mimi kuwa na mtoto si kigezo cha kufunuliwa na wanaume ovyo, kama tutaendana poa ila kama naona hatupo poa hapana aisee na inahitaji mda sana mpaka kufikia huko.
 
Ukikuta mwanaume ana 35yrs na hajaoa jua kuna kitu hakiko sawa. Kwa huo umri ulouweka wa mwanaume unayemtaka ilikuwa obvious utafeli.

Hongera kwa kuwa makini navitombi wa humu jf.

Ukisikia sehemu kuna mafia wa mapenzi duniani basi jf inaongoza.

Kuna mdada humu ni single mama, aliweka uzi wa kutafuta mwenza kilichomkuta ni cha kusikitisha mnoo.

Alimpata jamaa mmoja, akajichanganya akamvulia chupi, akapachikwa mimba nyingine.

Kuja kufuatilia vzr kumbe jamaa kaoa na ana watoto 2.

Imagine tayari ww ni single mama na huna hata umri mkubwa ni just
Mimi mwenyewe kuna mdada humu aliwekaga uzi wa kutafuta mwenza enzi hizo.

Tukayajenga vzr kabisa, akanihakikishia hajawahi kuwa na serious relationship huko nyuma.

Baada ya mwaka nikaja kugundua ana watoto 3 tena mmoja mkubwa anakaribia kumaliza primary.

Trust me social medias/dating sites ni mahali pazuri pa kupatia mwenza endapo tuu utakuwa na akili na utatumia akili kuchakata mbivu na mbichi.

Huko dating sites unakoenda ndio unaenda kujichanganya mara mia zaidi ya humu jf.

Unless otherwise utachakatwa na uachwe solemba.

HONGERA SANA miminimama KWA KUWA OVER-CAUTIOUS NA MABAHARIA WA HUMU JF.

Unforgetable
 
Acheni kuwa mnadanganyana eti mwanaume akiwa na miaka 35 hajaoa atakuwa na tatizo.
kitu cha pili huna tofauti na hao unaowasema. huyomdada unaemsema kama aliweka bandiko la kutafuta mme ilikuwa je mkakaa mwaka mzima bila kuoana kama sio ulikuwa umemfanya sext partner na wewe
 
Back
Top Bottom