Naomba muongozo wa kumrudisha mke wangu shule

Zeni2017

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
1,247
532
76dd22370d4598ff2e9ef162f1b6fcbc.jpg

Mke wangu kipenzi ana miaka 32. Alidungwa mimba na wahuni akiwa form 2 akapoteza network kimasomo.

Sasa nataka nimrudishe kwenye chati awe na degree mbili kama mimi. Nimrudishe form two, nimpeleke VETA au nimuombee chuo kikuu pale mlimani.

Masihara na matusi sitaki tafadhali hii ni true stori.
 
76dd22370d4598ff2e9ef162f1b6fcbc.jpg

Mke wangu kipenzi ana miaka 32. Alidungwa mimba na wahuni akiwa form 2 akapoteza network kimasomo. Sasa nataka nimrudishe kwenye chati awe na degree mbili kama mimi.
Nimrudishe form two, nimpeleke veta au nimuombee chuo kikuu pale mlimani.
Masihara na matusi sitaki tafadhali hii ni true stori.
Mpeleke VETA lakini huko mbele ya safari tusijuane!!
 
So far kwa majibu haya ina maanisha viongozi wanasoma tu vifungu vya sheria ili wapigiwe makofi lakini hakuna muongozo wowote wa kueleweka kwenye hili suala la kurudi shule wanafunzi wa sekondari na msingi waliopata ujauzito.
 
Mimi nadhani hili suala ni kujadili wewe na mwenzako huko nyumbani....kwa kuwa ni suala binafsi na linalogusa utashi wa mkeo na wewe mwenyewe.......

Michango ya wadau na miongozo ya wadau inaweza ikapendekeza vitu vingi ambavyo havimpendezi mkeo....na wewe unaweza unaweza ukatumia uanaume wako kumfanya afanye ambayo wadau wamekushauri......bado unakuwa hujamsaidia mkeo....bali umemuweka utumwani.......

Education is not all about money and fame but is all about PASSION

Kaa na mkeo akueleze ndoto zake ambazo kila mtu anazo.....akueleze ambacho kinagusa moyo wake......

Maoni ya watu ni experience za maisha yao ya kila siku.....lakini maoni ya mkeo ndio halisi.....
 
Muangalie kwanza uwezo wake uko vizuri wa kumudu hata form akirudi? argument zake zikoje ukimuangalia mkuu, pia muulize anahisi kwenye nafasi ya elemu nini anaweza
 
76dd22370d4598ff2e9ef162f1b6fcbc.jpg

Mke wangu kipenzi ana miaka 32. Alidungwa mimba na wahuni akiwa form 2 akapoteza network kimasomo. Sasa nataka nimrudishe kwenye chati awe na degree mbili kama mimi.
Nimrudishe form two, nimpeleke veta au nimuombee chuo kikuu pale mlimani.
Masihara na matusi sitaki tafadhali hii ni true stori.

Mkuu mbona kama inakuwa vigumu kukusaidia katika awamu hii !! Wazazi si wameambiwa wakalee watoto au??
 
76dd22370d4598ff2e9ef162f1b6fcbc.jpg

Mke wangu kipenzi ana miaka 32. Alidungwa mimba na wahuni akiwa form 2 akapoteza network kimasomo. Sasa nataka nimrudishe kwenye chati awe na degree mbili kama mimi.
Nimrudishe form two, nimpeleke veta au nimuombee chuo kikuu pale mlimani.
Masihara na matusi sitaki tafadhali hii ni true stori.
Sasa aliyeishia form two utamwombeaje chuo mlimani? Lingine yeye yupo Tayari kusoma? He huwez kumfungulia biashara akabaki na form two yake ww ubaki na degree zako mbili?
 
Back
Top Bottom