Mtoto wa jirani yangu anasoma form II, kaiba laptop ya baba yake, dola 3,500/=, shilingi milioni moja na laki saba.
Baba yake kagundua, kam'bana na kumsindilia kichapo. Dogo kasema kuwa eti...
Habari ndugu mwana JF
Katika sayansi ya kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasilianao (ICT), tunapozungumzia SIMULATION tunamaanisha kufanya practical katika mazingira yasiyo halisi (virtual...
Dada na Member mwenzetu Msindima wa Arusha amenipigia jana kuwa usiku wa kuamkia Jumapili 30/10/2011 saa 9.00 za usiku alijaaliwa kupata Babygirl.
Ikumbukwe kuwa Msindima alifunga ndoa...
Kama ikatokea umekutana na mpenzi wako wa kwanza kabisa,yaani yule 'aliyelianzisha' na mna mahusiano na watu wengine tofauti,say umeoa/olewa na akataka 'kukumbushia'.Je una ubavu kweli wa kumkatalia?
1.Mvulana atatembea na msichana bila kinga,halafu akiletewa taarifa ya mimba,ataruka
na kukimbia....Mwanaume atajadili na huyo msichana nini kifanyike.....
2.Atamuacha mkewe ambae hana kazi wala...
Kichaa siyo maradhi ,bali wataalam wengi wa saikolojia wanasema ni mtindo wa maisha ambao mtu ameamua kuishi.Nataka nikuulize swali hivi unapokwenda kuoa au kuolewa,ni nani atakwambia kwamba...
habari zenu wana mmu.
leo nimekutwa na tukio ambalo sijajua tatizo ni nini na nifanye,
nina gf wangu ambaye kwa sasa yuko kwao nje ya mkoa,na kipindi fulani tulikuwa na matatizo ya mawasiliano...
BASE ON TRUE STORY.
Ilikua mida ya saa 10 alasiri baada ya kujikuta amemmiss mpenzi wake ndipo akaamua kumpigia simu ambayo iliita zaidi ya mara 3 bira ya kupokelewa. Alijaribu tena kupiga...
Wana JF, naomaba tafadhari nieleweshwe....Hivi wanawake sex maniac ndo wanasifa zipi. Kuna kakazi nimekapata sikaelewielewi! Please react positively and be optimistic to this. I need your help.
Nina mpnz wangu sasa tuna miez 9, ninampenda lakn simuelewi kabsa Hajawah kuniambia i love you wala i mic you yan tuko kama marafiki coz hatufanyi chochote kichoashilia mapenzi, kanitambulisha...
Umewahi kujiuliza hili?
Kuna asilimia chache sana sana wanaokuwa na urafiki mavyuonina kifuikia kuoana kama mume na mke
hii ni kwa wale wanaume walio mavyuoni sasa ya kufungua vichwa vyenu muwache...
Wakuu mimi ni kijana mvulana miaka 30.Nimewai kuwa na wapenzi lakini wawili tu ndo wamenifanya nisifikilie kupenda.
Mpenzi wangu wa kwanza kabisa na ndo mara yangu ya kwanza kujiingiza kwenye...
Wakuu habari za usiku.kwa mara ya kwanza leo hii nimeamua kuongozana na mwenzi wangu na mke wangu mpendwa ili nikajionee sehemu anayonunulia vi-top,skin jeans,mapande manane na vimin skirts vya...
Hili timbwili la leo la kufa mtu. Kuna jamaa kafumaniwa na Mke wake anabanjuka na mwanawe wa kumzaa kabisa. Hivi huwa kinatokea nini kwa jamaa kama huyu kutembea na mwanawe wa kumzaa. Kwa nini kwa...
Hivi inakwaje unaenda na girlfriend kwenye show ya msanii maarufu...halafu anajipeleke jukwaani kwa kiherehere huku akimkatikia kiuno mpaka majasho huyo msanii kitu ambacho hajakufanyia.au upo na...
Imma.one sasa nimejivua kutoka kwenye chama cha wasela na Tarehe
26/11/2011 nafunga ndoa rasmi.
Hivyo wana jf wote mnaombwa mhudhurie bila kukosa kwani nitakuwa na faraja sana kuwaona.
Kwa...