Simulation ya Ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simulation ya Ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sharp Observer, Nov 6, 2011.

 1. S

  Sharp Observer Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari ndugu mwana JF

  Katika sayansi ya kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasilianao (ICT), tunapozungumzia SIMULATION tunamaanisha kufanya practical katika mazingira yasiyo halisi (virtual environment). Mfano unaweza kuwa ni kutafiti msongamano wa magari dsm na kutoa ufumbuzi wake kupitia programu za kompyuta kabla ya kuingia barabarani.

  Kwa sasa kumekuwa na wimbi kubwa (hapa sina data numerali - quantitaive data) la watu wengi (wakiwemo JF members), vituo vya redio, mapadri, wachungaji, television, tovuti, magazeti n.k.; kuongelea mambo mengi kuhusu ndoa na namna ya kuzidumisha. Pia wanaongelea kuhusu malezi ya watoto.

  Katika makundi hayo wapo ambao hawana ndoa (padri/sista), wengine ndoa wamevunja wenyewe (mchungaji maarufu mikocheni), vijana ambao hawajaoa/kuolewa, wanaume/wanawake ambao wameacha wake zao/wameachika kwa waume zao.

  Mtu wa namna hii anapoizungumzia ndoa, anajaribu kufanya simulation ya ndoa kwa kuwa anachokihubiri ama kukieleza hakielewi kwa kuwa hakiishi (Virtual marriage). Vilevile mpaka kwenye malezi ya watoto.

  Wabongo kwa vitu tusivyoweza, tukae kimya na si kueleza tu ili mradi uonekane kwenye TV, gazeti, tovuti, au tu lazima waumini wako uwaelezee, wala lazima upost hapa JF. Ila kwa wale wenye kuyaishi maisha hayo wanahaki ya kushauri, kuonya kwa sababu wanajua. Wale tusioishi maisha ya ndoa wala kuwa na watoto tuwachie wahusika wazungumze, nasi tutachota hekima toka kwao.

  Nakereka sana kumsikia binti, kijana, padri, sista, mchungaji (mikocheni), na wengine wengi wa namna hiyo; kushauri kuhusu ndoa wakati wao wenyewe hawaishi maisha ya ndoa. Hiyo ni marriage simulation na haitusaidii.
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wewe kijana "u dnt need to have been a horse to be a jockey"
  sumthings with diligent insight one can offer advise notwithstanding that they are not involved in marriage!!
  the only diference btween simulation ya hiyo matatizo ya barabarani na hizi za ndoa ni kwamba there are emotions involved and once feelings are involved...it gets tricky. however that does not mean one can not be in a position to offer sound advice provided tey remeber to take into acount the emotional side of things.
   
 3. S

  Sharp Observer Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  How do you preach what you don not practise? And especially to emotionally generated responses?
   
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nadhani kuna vitu vya common sense tu mtu unaweza kumshahuri mwenzio na vikamsaidia. Hivi ukiwa na rafiki yako mvuta bangi na akakwambia wazi kwamba anapata shida sana sababu ya tabia hiyo, anataka umsaidie kujitoa, utamwambia huwezi sababu hujawahi kuvuta bangi? Wisdom is the ability to learn from other people experience na kuna watu, ingawa bachelors, wameelewa sana haya maswala ya ndoa (in preparation fo their own or just by profession) na wanaweza kusaidia sana katika kutatua ndoa-related problems.
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  a psychologist myt not have been insane but is well in a possiton to explain and even ofer solutions to such matters.
  there are basic principles or guidlines that through experience have shown to lead greater success and more often than not there has been an overlook of one or several of this guidelines.
  advsing someone concerning relationships is more abt helping them to take note of things that they mt have overlooked.
  i am ofcoz fully cognizant of the fact that wen it comes to advising couples that are going thru a rough patch is hard but this does not stem from the fact that u cant preach wat u dnt practice but rather the fact that each of the two will narrate a story that gravitates more towards them beeing the victim rather than the one at fault...in essence they wont disclose all the information hence u the adviser will not be in a position to offfer sound advise due to insufficient information!!!
   
 6. m

  mhondo JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kama wewe ni mkristo unamzunguziaje mtume Paulo ambaye naye alizungumzia mambo ya ndoa wakati mwenyewe hakuwa na mke?
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Sharp observer......
   
 8. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,548
  Likes Received: 1,307
  Trophy Points: 280


  Mkuu Sharp Observer,

  Hivi ili Daktari ili aweze kukufanyia operation ni lazima awe amugua huo ugonjwa anaotaka kufanya operation?????

  Hivi maisha ya ndoa hayana generally accepted principles????? Kama zipo ni zipi?

  Kama walau unafahamu chache je hao uliosema wanafundisha kitu ambacho wao hawako huko (ndoa) wanadeviate vipi kutokana na
  generally accepted principle???????

  Kwanza kwa nini unataka kusikia wengine wanasema nini badala ya wewe na mwenza wako kupanga, kuamua na kutekeleza yale mnayoyaamini
  ni ya msingi katika ndoa yenu na sio wachungaji ama watu wengine wanataka nini????

  Je wewe umeoa???? Kama bado hujaoa kwa nini unataka kujua mambo ya walioa?

  My simple psychology inaniambia wewe ni Mwoga, Hujiamini na huamini mawazo yako na hata ya watu wengine.

  Sorry kama nitakua nimekuudhi lakini principle yangu ya maisha hii.

  Nimemuoa mwananamke niliyemtaka awe mke wangu, ni wangu hata kama anamapungufu na sitoomba ushauri
  kwa mtu zaidi ya mke wangu ya namna tunavyohitaji kuishi katika ndoa. Mke wangu ndio dira yangu na mimi ni dira yake
  na wote tunaenda direction moja hata kama tunatumia vyombo tofauti kufika tunapotaka kwenda hivyo hatuhitaji
  co-pilots maana hawana compass(dira) tuliyonayo sisi.
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Sharp Observer una pointi umeongelea muhimu mno...
  mimi kinachonishangaza ni kuwa unakuta watu ni single
  na wanawakosoa mno walio kwenye ndoa kuhusu maisha ya ndoa....
  hilo linanishangaza mno....
   
 10. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  sikia ww, mimi binafsi nimchanga sana kwenye hii tasnia ya mapenzi.Lakini nina Rafiki yangu ambaye amenifanya kama councelor wake kila anapo pata matatizo ya mapenzi na mchumba wake. Sio bwana misifa, ila nashangaa maushauri ninayo mpa yana mfaa sana na ppale anpopuuzia matokeo yake huyaona namimi nimeyashuhudia. so what do u say about this?
   
 11. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ndg unapokula samaki, hakuna anayekwambia tema mwiba, kwa kawaida mwiba ukikuchoma unatema mwenyewe! Ktk mawaidha ya hao watu, jaribu kuchambua mwenyewe, select the best na visivyokufaa vipotezee! Ni haki yao kuchangia kwa sababu ya mazingira yaliyowazunguka.
  Wanaona matatizo ya ndoa kupitia kwa wazazi, madada, majirani nk
   
 12. S

  Sharp Observer Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  I Conquer with you! Na hicho ndicho nilichomaanisha
   
 13. S

  Sharp Observer Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  If so then they are simulating, do not have actual environment
   
 14. S

  Sharp Observer Member

  #14
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nitakujibu baadaye kazi za mwajiri bado zimenibana, ila punguza munkali and relax. Nina mke na watoto wawili. Jiulize swali fupi kwa nini wakristo (hasa Roman) hawaruhusu asiye na ndoa kuwa msimamizi wa ndoa? Then nitakujibu vizuri baadaye
   
 15. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180

  Hahahahahaaaaaaaa! Huhitaji kutaga mayai ili uwe mjuvi wa kutambua yai viza na zima. Lo! mkuu sio kila anayehubiri uwepo wa Mungu basi lazima awe amemuona Mungu. Kwani wewe huamini ktk mafundisho yao, kwamba wanayofundisha sio mambo sahihi?

  Una hasira na kanisa wewe, mweeeeeeeeee!
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  utamu wa ngoma uingie ucheze
   
 17. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  For muslim, kuran is the reference and foundation of all teachings about God, likewise the christian faith is founded on Biblical Teachings and God's directives. For a christian believer, that should not present serious problems because all things have been explained and to teach them does not need one to be married or not.

  It does not need to go to University for a christian to know polygamy and infidelity is against God's will and proclaiming against does not need you to be married!
   
 18. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Concern ya mshikaji ni kwamba sio sahihi kwa ambao hawajaolewa/hawajaoa kuongelea/kukosoa masuala ya ndoa.
   
 19. M

  Malova JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  fanya uchunguzi mpya Sharp maana pengine hukijui unachokiongea/kiandika na hujui kama hukijui.
   
 20. M

  Malova JF-Expert Member

  #20
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  mapadri/wachungaji wanasoma principles na psychology za ndoa kama afanyavyo daktari (anasoma magonjwa mbalimbali) kwasababu jamii anakofanya kazi ni jamii kubwa ambayo iko kwenye ndoa. Kwahiyo kukueleza wewe kuhusu ndoa wakati yeye hana ndoa si makosa. Kwa ninyi hamsemi vitu kuhusu mapadri au wachungaji, je na ninyi mshawahi kuwa wachungaji?
   
Loading...