Eti awe mwanamke. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti awe mwanamke.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Nov 5, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Mtoto wa jirani yangu anasoma form II, kaiba laptop ya baba yake, dola 3,500/=, shilingi milioni moja na laki saba.
  Baba yake kagundua, kam'bana na kumsindilia kichapo. Dogo kasema kuwa eti nataka kwenda South Africa akafanyiwe upasuaji awe mwanamke.
  Baba yake kusikia hivyo presha zikampanda akaanguka na kuzimia
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  iam speachless......
   
 3. F

  Ford89 Senior Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wanawake wengi wakat wanaume wachache...sasa baadh ya wanaume wanataka wajigeuze wawe wanawake mbona mnataka kuwapa wakati mgumu dada zetu
   
 4. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hey!pamoja na jitihada zetu kwenye malezi tuwaombee sana watoto wetu
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  amchunguze huyo mtoto-watu watakuwa washakula huyo
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  iyo ni kazi ya shetani mara nyingi muovu anapenda kushindana na kazi za mungu.mungu kamuumba mwanamke ila muovu ibilisi kamdanganya kaona sio
   
 7. JS

  JS JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Yeuwiiii....mbona dogo kashapoteza mwelekeo huyo???

  Bujibuji huyo dogo mwonekano wake umekaaje ni mrembo kidogo yaani features zake hazijakaa kiume?
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  ana macho mazuri sana, na sura nzuri kuliko za dada zake
   
 9. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mh aombewe huyo mtoto maana n hatari hiyo
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  David Cameroon
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
 12. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huu uzi umekaa kulia kushoto, kushoto kulia. Ahsante kwa kutupiga changa la macho. Au unataka tutaharuki eeenh?
   
 13. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Huyo dogo haina haja ht y kubadilisha!! mwambie 2sharuhusiwa hivyo hivyo.
   
 14. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  eeh mola msamehe mja wako
   
 15. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Huyo alishakuwa mwanamke siku nyingi!! Loh!
   
 16. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Influence za bwana Cameron hizo! Sio mwanao kweli?
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  wanangu wa kike
   
 18. JS

  JS JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Maskini wee.....basi tena tushampoteza. Counselling haitamsaidia??wazazi wake waangalie uwezekano wa kumpatia proffessional counselling popote pale hata nje ili abadilike. Inauma sana kwa mzazi kuona mwanao anakuwa "devidi kameruni" achilia mbali kutaka kuwa mwanamke unaeza jilaani na kumkosea Mungu kabisa
   
 19. m

  majogajo JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ndio maana cameroon ameomba tuzitambue haki zao.maana amefanya reseach ndogo na kugundua tanzania wapo wengi...hawajionyeshi kwa kuwa hatuzitambui haki zao..........naishia hapo kwa leo.
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Hivi mashoga wanawashwa nyuma, au wanatamani kuwa wanawake?
   
Loading...