Bora niwe mpweke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bora niwe mpweke

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sambenet, Nov 5, 2011.

 1. sambenet

  sambenet Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu Great Thinkers, Kama mtakumbuka niliwahi kuposti thread moja hapa tarehe 21 october 2011 ili nipatiwe ushauri mada ilikuwa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/183353-nipo-njia-panda-naomba-msaada-kwa-hili.html.

  Kiufupi ni kwamba nimeachana na mchumba wangu rasmi (kaniacha). na kutokana na machungu niliyonayo nahisi sihitaji mtu kwenye maisha yangu, Nimegundua hakuna kitu Kinoitwa mapenzi siku hizi, ingawa msichana huyu nilimpenda kuliko kitu chochote na kujitahidi kumsaidia na kwa hali na mali.
  wazee wangu na ndugu hawatanielewa, ila sina jinsi, na sitarudi Tanzania.
  Maana najua wazee na ndugu watanishinikiza nioe, kitu ambacho nishakitoa moyoni mwangu.

  Kilichobaki huku ni kazi na kuangalia maisha yangu tu.

  Shukrani zangu za dhati kwa walionishauri wote.
   
 2. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kawaida uki break up unakuwa na strong emotions kama anger, fear, sadness. despair, gulty nk. Hivyo ni vitu kwa kawaida. Ila after grieving kumbuka kuwa moving on is the end goal. Kueleza feelings zako hapa itakusaidia kwa njia moja au nyingine lakini la muhimu ni kuto-dwell on the negative feelings or to over-analyze the situation.

  Getting stuck in hurtful feelings like blame, anger, and resentment will rob you of valuable energy and prevent you from healing and moving forward.
  Remind yourself that you still have a future. When you commit to another person, you create many hopes and dreams. It's hard to let these dreams go. As you grieve the loss of the future you once envisioned, be encouraged by the fact that new hopes and dreams will eventually replace your old ones.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hongera kwa kuondokana na stress na kujua nini ni muhimu kwako.
  Don't jump to any hasty conclusions and judgement...jipe muda wa kupumzika na kufanya mambo yako mengine baadae utajagundua kwamba she did you a favor by leaving you na utakutana na mwingine ambae anastahili mapenzi yako.
  Purple and green don't be silly....kwani huyo msichana ulimpenda kwaajili ya wazazi wako???Wao ndio walikua kwenye mapenzi nae au wewe???MAN UP....kama uhusiano sio mzuri kwako unaachana nao kwasababu ukiendelea ukijakumbwa na mengine utaumia wewe na sio wao.Besides...wewe ndo umeachwa...surely ukiwaambia hivyo hawatakua na ujanja unless wakamlazimishe msichana kukurudia. Alafu unaogopa kurudi bongo kwani watakuua???
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,873
  Likes Received: 83,351
  Trophy Points: 280
  Pole sana kwa yaliyokukuta ni mapema mno kwako kuyapa mgongo mapenzi. Mapenzi ya kweli bado yapo duniani lakini yamekuwa nadra sana kuyapata. Hivyo hasira na majonzi yako yakipungua/kwisha jaribu tena bahati yako katika idara ya mapenzi.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. sambenet

  sambenet Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuelewa, Huyo msichana nilimpenda mwenyewe, na sio kwa ajili ya wazee wangu. ila wazee watahoji ikiwa sitataka kuoa na sio kuhoji huyu nilie breakup nae.


   
 6. sambenet

  sambenet Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuelewa, Unahisi ni kawaida ila I dont see the point of finding someone na kwangu mm sio rahisi kujihusisha na msichana. sina hisia na kuwa na msichana, kwa kweli mapenzi sina tena.

  Nimeshapoa na naendelea na shughuli zangu kama kawaida. Wacha tu niishi mpaka mda wa kuondoka ufike nijiondokee.

   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Give yourself enough time, its only time that heals a broken heart. Kuangalia maisha na kazi will help you to divert energy and concentration.
   
 8. G

  Grey87 Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No braz unakosea,strong man ana break up ana mak up,usiw ka chumv ilyopoteza test yke,hajakupnguzia lolote!na siku zote never aspect o allow extrernal 4cs from out side,your mind z your governmnt,so fanya maamuz ww kma ww thn maisha bila kujimix hayaend try your lever best 2 buld up anothr reltnshp,coz 2meumbwa na hisia na kunyima mwil wko hyo itakuafect ksycholg,na uwache kufol n luv kihvyo na uswaamin sana hao watu coz niwepes sana kudanganyka!very sorry ma brazaaaa!
   
 9. s

  shalis JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni bora ili single tuongezeka ...
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  In the mean time you seems to be in very strong emotions.
  Hebu ngoja tusubiri hasira zikipungua what happens next!
  Hatutashanga kuona umetafuta chombo kingine, yaani bandua bandika!
   
 11. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  kuna yule uliyekuwa unawasiliana nae na alikuwa rafiki yako wakati uko bongo...kama bado mnawasiliana nae basi rudisha vifaru kwa huyu ...unajua kaka wakati mwingine sisi wanaume huwa tunapenda usipopendeka...mtu anayekupenda kwa dhati yeye hakupendi kwa dhati na yule unayemchukulia poa ndo anakuwa na mapenzi ya dhati......hata mimi niliwahi kukumbwa na kitu kama hiki kilichokupata nashukuru Mungu taa nyekundi iliwaka mapema nikasimama pale pale na huo ndo ukaa mwiho wa safari yangu na yule dada....hata wewe hujachelewa..
   
 12. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  pole sana usikate tamaa
   
 13. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
 14. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Ni kawaida kabisa kwa mtu mwenye situation kama hii kuongea hayo unayoongea, subiri time ipass utapona tu haya maumivu. Polee......
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Hahahah kuna wengine watakuja muda si mrefu! Nakukabidhi kitabu uorodheshe majina yao, ila hakikisha majina yasizidi kwenye huo mstari mwekundu. Wakiwa wengi sana watatumalizia hewa.......lolzz!!!
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Pole sana ila changamoto kama hizo zipo ili kutufanya tuwe imara na si kukata tamaa.
   
 17. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  acha kulalama fanya recruitment fasta mbona vichwa vipo kibao
   
 18. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  teh teh i will join u soon
   
 19. Bacardi

  Bacardi Member

  #19
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Pole jipe muda utapoa na all wil be well. Fuata ushauri wa wengi hapa na hasa alichokisema EMT
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  muda mganga, in time utapona tu, utafall deeply
   
Loading...