Tofauti ya wanaume na wavulana.......kitabia... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti ya wanaume na wavulana.......kitabia...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Oct 28, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  1.Mvulana atatembea na msichana bila kinga,halafu akiletewa taarifa ya mimba,ataruka
  na kukimbia....Mwanaume atajadili na huyo msichana nini kifanyike.....

  2.Atamuacha mkewe ambae hana kazi wala biashara bila matumizi ya kutosha..
  halafu ataanzisha ugomvi mkubwa akihisi mkewe 'anatoka nje'....Mwanaume atapigania
  mahitaji ya mkewe na watoto kwanza kabla ya kuanza 'kuunguruma'nyumbani..

  3.Mvulana akipata mshahara moja kwa moja bar na atarudi nyumbani kesho yake....
  Mwanaume ataingia bar pale anapoona hali inaruhusu tu...

  4.Mvulana atashangaa 'kudondokewa na kuzimikiwa na mwanamke'
  Mwanaume hushangaa kumtongoza mwanamke na 'kumkosa'

  5.Mvulana akimnunulia bia mwanamke lazima 'alipwe'
  Mwanaume huwa hadai 'malipo' kwa kumpa bia au favour mwanamke
  but anaweza tu kukataa akiona sio lazima..

  6.Mwanaume hujali zaidi 'heshima' yake....
  Mvulana hujali zaidi 'tamaa' yake....

  7.Mvulana hupiga kelele au kuguna guna au kutoa sauti au kubadilika tabia
  akiona 'mrembo ' kaingia au anapita karibu...
  Mwanaume hujifanya hajaona kitu,sana sana akiamua 'huchukua hatua'
  muafaka....kimya kimya...

  8.M wanaume hukubali kukosa kama gharama za kupata ni kubwa mno...
  Mvulana hung'ang'ania 'apate' hata kama gharama 'zitamuumiza' ...

  9. Mwanaume huwa 'anajifunza 'kila siku
  Mvulana huamini 'anajua' yote...

  10. Mwanaume hufikiria maisha kwa ujumla na 'future' ya watoto...
  Mvulana anafikiria pamba,magari,warembo 24/7......


  Mengine mnaweza kuongezea.......wanasema kuna 'mvulana' kwa kila mwanaume
  but wengine huwa wanabaki kuwa 'wavulana' milele.........lol......

  ANGALIZO= HAPA NAZUNGUMZIA WATU MNAOFAHAMIANA TAYARI SIO ONLINE PEOPLE AMBAO HUJAKUTANA NAO
  NA UANZE KU WA JUDGE KWA POST TU ZA HUMU...
   
 2. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Umenishtua usingizini mtoto wa mwenzio asante!!!!!!!!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kimekushitua kitu gani?????
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kumbe kuna wanaume na wavulana eeeh ngoja nitafute wanaume sasa
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ulikuwa hujui??? lol
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nilikuwa sijui umenifungua macho na nimecompare nimeona ni kweli pia umesahau mwanaume hapendi kabisa mwanamke ampe chochote ila wavulana wanapenda sana marejesho yaani akikupa kitu leo anategemea kitarudi mfano akikupa hela leo wk ijayo atajifanya mmezoeana na wewe umpe eti mambo si mazuri
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  labda marioo...
  mariioo wote ni wavulana hata kama ana miaka 50..lol
   
 8. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kumbe wengine wanaumri mkubwa ila badooooo wavulana
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  the boss wewe mvulana? au mwanaume?
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mbona hiyo iko wazi?
  ulikuwa hujui?????
   
 11. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wewe uko kundi gani hapo sasa? the boss
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ha haa haa wewe unanionaje labda?????
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  wewe unanihisi vipi?????lol
   
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  refer no saba iyo sifa huwa unayo mkuu kimya kimyaaaaaaaaaa? so wewe ni mwanaume
   
 15. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nahisi muhu wamejaa wavulana kuliko wanaume!!
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ha haaaa haa wewe bana...lol
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ondoa hisia hizo
  sometimes watu humu 'huwa wavulana'
  for fun kwa mda tu
  but ni wanaume wenye sifa zote....in real life....

  usisahau kuna 'mvulana' katika kila mwanaume......
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hapo uliposema kuna wengine watabaki kuwa wavulanaaaaaaaa milele ni balaa ngoja nimsome huyu wa kwangu yupo kiumeni ngapi na kivulana ngapi? kama sio mwanaume nampiga chini
   
 19. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mi nahisi wewe ni mkaka
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  I love U for this, that's why I can't date. Sikutani na wanaume, nakutana na wavulana tu ambao hata ukiongea haelewi unaongelea nini.
   
Loading...