Nimeumizwa sana sitamani kupenda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeumizwa sana sitamani kupenda

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bishweko, Nov 5, 2011.

 1. B

  Bishweko JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Wakuu mimi ni kijana mvulana miaka 30.Nimewai kuwa na wapenzi lakini wawili tu ndo wamenifanya nisifikilie kupenda.
  Mpenzi wangu wa kwanza kabisa na ndo mara yangu ya kwanza kujiingiza kwenye mapenzi niwakati nimemaliza A level.Baada ya kumaliza nikakutana na msichana ambaye naye alikuwa ameitimu A level.Huyu msichana ni mwenyeji wa kijiji jirani na kwetu.
  Basi tukajenga mausihano ya mapenzi hadi tukaenda kupima basi mapenzi yakwawa kweli hadi home kwetu na kwao wakajua.
  Ikafika muda wa kwenda Chuo mimi nikaenda Ud yeye akaenda vodafasta Butimba.Mawasiliano yakawepo mazuri tu mpaka boom tukawa tuna share.Akamaliza na kupangiwa wilaya jirani Karagwe basi kwakuwa mimi niliamini na kupenda sana nikawa natuma pesa kusudi hasiishi kwa taabu saana.Mwaka wa kwanza hatukuwa na field ila wa pili tukaenda na mimi nikaenda mkaoni Kagera-BK.Siku moja niko home nikampigia simu akasema hataki usumbufu ...mh nikasema poa.Kesho yake nikapiga akasema niongee na mtu mwingine dah ni sauti ya jamaa nikesema poa na hapo ni usiku basi nikajua sina changu tena.
  Mawasiliano yake na mimi yakafa nanikajurishwa kwamba tayari ana mimba mpaka na mimi nikashudia lol karibu nizimie ndugu zangu.
  Basi nikarudi chuo na kumaliza bila kuwa na mausiano ya kimapenzi na msichana.Nikapata kazi serikalini takribani mwaka mmoja na mwezi saba.Yaani hizo siku zote niko alone.Mwezi wa saba wakaja wanafunzi kutoka Udom field kazini kwetu,nikavutiwa na msichana mmoja mpaka tukakubaliana tukapima na mambo yalikuwa poa,basi nikapajua kwao naye akawajua wazazi wangu.Kazini ikatokea tena rafiki yangu naye akawa kumbe anamtamani.Huyu dada akaniambia na mimi nikamwambia kwanini usimwambie ukweli,mpaka jamaa akawa anamwambia kuwa aende kwake amutembelee basi dada huyu akawa ananiambia hawezi kwenda.
  Ikafika siku yake kurudi chuo akaanza kuniambia kuwa yawezekana ana mimba nikesema poa sasa tufanyeje,?Yeye akawa anasema tuitoe nikamwambia tusifanye hivyo.Akaenda chuo,yule jamaa akaja kwangu kuniambia kuwa na yeye amepata chuo Udom anaenda kujiendeleza,basi kwenye stori akanidokeza kuwa vipi shemeji nikasema poa.
  Tukapiga story kama kawaida,mara akaiona picha ya huyo mdada,dah jamaa akaruka juu na kushika kichwa,nikashangaa nakumuuliza kwani vipi?Akasema wanawake watatuua basi nikajiuliza kulikoni?Jamaa akasema mbona ameisha kuja ata kwangu huyu mara kibao heh basi tukapiga story kama kawaida.
  Baadae nikampigia simu huyu dada nikamuuliza uliwai kwenda kwa huyu jamaa akakana kata kata,basi nikamwambia mbona kasema hua unaenda basi ndo akakubali nakuomba msamaha nikamwambia poa lakini siyo vizuri.Basi akasema alidhani ningechukia kama angeniambia.
  Baada ya siku kama kumi akanitumia sms kuwa ana mimba tena then anataka kuwa lonely nikamwambia kwa nini ujanitaarifu akasema siningesema hiyo mimba siyo yangu niya rafiki yangu na tayari ametoa.
  Mpaka leo ata simu amebadirisha hapatikani ila kaacha nguo zake kwangu sasa ninataka kuzipereka kwao.JE MIMI NINAMAKOSA AU MKOSI GUNDU?Nifanye nini kuweza kuendelea na huyu dada coz nilimpenda sana.USHAURI NDUGU ZANGU.
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mkuu hizo nguo choma mot, then endelea na maisha maisha yako kama kawaida. Wakati mwingine kuyajua mapenzi ukubwani ndo taabu yake. Wenzenu wazoefu, wakipigwa kibuti leo kesho tayari wameshakamata kimwana mwingine maisha yanaenda. Kwa wasio wazoefu kama wewe, hawaamini ktk kutoswa, mapenzi kwao ni kufa na kuzikana, mweeeeeeee!
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Unatakiwa ujeu kitu kimoja hapa: "Every woman/man has a man/woman other than you, and that she is with you just because the other man/woman has disappointed him/her. It is a matter of time that her/his lover may again become stronger for her/him. When that happens, the cry will be upon a new partner".

  Angalizo: Hii haiwahusu wale waliooana na walio kwenye ndoa. Taasisi ya ndoa haipaswi kudharauliwa.
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  game la everton na newcatle limehsaanza jamani
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  unakurupuka kwenye kuchagua.
   
 6. Born Star

  Born Star JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  wewe acha ushamba sasa hiv mademu sio wa kuwaamini tomb@ kisha una achana nao
   
 7. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Du!Kama kuomba lift gofu la polisi vile!Msaidie dogo kimawazo bana!
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  nimeshindwa kuimaliza yote,ila pole sana kwa yaliyokukuta,unatakiwa usiingie sehemu kwa miguu miwili. Nalog off
   
 9. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkuu, mi nakushauri uwe unaanza na ku-"like" kwanza then ku-"love" kuje baadae baada ya kuwa umesoma mienendo na kuwa na uhakika.
   
 10. B

  Bishweko JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Nimekuelewa mkuu ila sina hamu yaani nilizama kama vile sina akili.
   
 11. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Ndg, haya mambo yamewapata watu wengi sana, wadada kwa wakaka. Nakushauri, kwa sasa achana naye huyo na jaribu kutulia uki-focus kwenye mambo yako binafsi ya kikazi, maendeleo, miradi, masomo nk. Jipe muda wa kutulia kwa muda fulani, ili uweze kusahau maumivu uliyoyapata.

  Wakati wake ukifika, utampata yule akupendaye kwa dhati.
  Nachelea kukushauri kufanya maamuzi mengine ya haraka maana unaweza kuumizwa tena! Jipe muda ....
   
 12. B

  Bishweko JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Nipe ushauri jamani sasa unatukana unaongeza maumivu.
   
 13. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Agriii kama vile ni mimi,pole saaanaa yanatokea bwana,mpola bwana Bishweko.
   
 14. e

  ejogo JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Piga piga kwanza upate experience ndipo ufolu in lavu.
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kwa kuwa ulikuwa unapima na kucheza nao mchezo usijilaumu. kumbuka wanawake wana roho nyepesi sana kulinganisha na wanaume.
  Mwanamke ni wa kwanza kabisa kuuona ufalme wa mungu, lakini pia mwanamke ni wa kwanza kabisa kutumbukia jehanamu.

  Ukiacha suala la kufanya nao ngono, kwa suala la kuoa mshirikishe Mungu atakusaidia, maana maandiko matakatifu yanatuambia kuwa Mke Mwema hutoka kwa Mungu.

  pole kwa masahibu.
   
 16. M

  Mocrana JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 532
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kwel ww ni pony star lol
   
 17. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haaaah haaaah aiseeee
   
 18. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hao viumbe wengi wapo hivyo-tena kwa age hizo za chuo-hawana wanayemkataa
   
 19. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  siwezi kuhaidi kumpenda mwanachuo..ata kidogo! Kwanza wanini hawa wauni..! Ogende omuka oige omukazi owamagezi oshwele.achana na vibaka,huku mjini tunagonga tunasepa,kuoa nyumbani.habari ndo hiyo.
   
 20. R

  RAIM Member

  #20
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo mapenzi hayana mjanja, we mega then sepa usijenge kibanda, mke atakuja tu muda bado usiwe na mumbi wa mapenzi tulia
   
Loading...