Hanilizishi kwa lolote nifanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hanilizishi kwa lolote nifanyeje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Omiumeme, Nov 5, 2011.

 1. O

  Omiumeme New Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikipata taabu kwa muda mrefu kwani mke wangu hanilizishi kabisa, na wazazi wangu hawataki nimuache nisaidieni wanaJF
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  duh! aibu
  sasa mie naona kwanza wewe you are not being true to urself...upo kupendezesha wazazi.
  wazazi wameona mengi na ni muhimu kupata muongozo wao lakini wao ni wanadamu na wanaweza kukosea

  ila kwanza ngoja niseme kuwa kama imefikia kuwa hakuridhishi basi wewe lazima ubebe lawama ya kuwa ulifanya uchaguzi mbaya.
  baada ya hapo sasa mie naona sio haki kukaa kwenye nyumba ambayo mwsho wa siku wewe huna furaha na pia hii itaelekea mpaka kwa mke na watoto kama unao.....sasa paki vilago vyako ila angalizo ni kwanba muachane kistaarabu na hapa ndugu yangu kama kweli wewe mwanaume naomba kabisa ukubali kuwa mama apate nusu ya mali zako, na pia watoto watakaa kwake...hilo jiandae kabisa becoz wewe ndio ulimuoa na hivyo uamuzi wako mbaya lazima uwe tayari kuulipia.

  kazi ni kwako!!!!
   
 3. z

  zilakina JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Acha hizo huyu mke ulitafutiwa au!kuwa mkweli ili tukusaidie kijana usije ukapotea
   
 4. C

  Coolbaby Senior Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya hata kama umelazimishwa na wazazi je unampenda ukiachana na hlo swala hakuridhishi.
   
 5. a

  actus Senior Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we acha mbwembwe.yani anakua mpaka mke unada bado hakuridhishi?kwanza hakuridhishi ktk nini?be specific?
   
 6. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Are you sure we unamridhisha??
   
 7. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  We jamaa mbona hujawa muwazi? Ukute wewe unataka kila saa kama kuku au unataka kumkameruni mwenzio sasa hebu sema nini hasa tatizo sio umekurupuka na taulo lako unakuja jamvini humu kutaka ushauri wa chumbani kwenu. Dume zima mke hakuridhishi unakuja kutuambia, ndio ukiona watu wan nyumba ndogo mnajifanya hampendi zile zinasaidia hat usingekuja humu jamvini.
   
 8. C

  Coolbaby Senior Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  muulize huyo
   
 9. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mwambie unataka nini ndio uridhike alafu mpe muda uone kama atabadilika.
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,587
  Likes Received: 82,209
  Trophy Points: 280
  Unataka "akulizishe" kwenye idara ipi ya mke na mume? Usafi, mapishi, kwenye Wembley Stadium, au idara ipi!? fafanua
   
 11. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mtu kama huyu anapewaje mke?
   
 12. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hebu jibu maswali ulioulizwa hapo juu
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hana la kujibu sababu ni vitu vya kulopoka tuu!
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Nakushauri usimuache mkeo!
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  labda jamaa anataka tiGO mama amegoma kutoa.
  Mpaka wazazi wameona anafaa tatizo litakuwa kwa huyu jamaa
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  hanilizishi = haniridhishi
   
 17. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Haahaaaa jamaa kasepa! Maswali yenu 'hayamlizishi' kabisaaaaa!!
   
 18. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145

  Ha,ha,ha,teh,kwi,mbwi!
   
 19. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  pole mwaya!
   
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Jf never boring
  Mke hamridhishi na anataka kumuacha na anawasikiliza wazazi wake kuhusu mke
  Je aliwaolea wazazi wake au alioa kwa sababu yake mwenyewe
   
Loading...