Mpenzi wa kwanza.....

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,047
10,696
Kama ikatokea umekutana na mpenzi wako wa kwanza kabisa,yaani yule 'aliyelianzisha' na mna mahusiano na watu wengine tofauti,say umeoa/olewa na akataka 'kukumbushia'.Je una ubavu kweli wa kumkatalia?
 
kwa nini usimkatalie? Kuwa wa kwanza ndio nini?
Alikuwa wa kwanza lakin mda wake ushapita na nafasi yake ishachukuliwa na mtu mwingine.
Watu huwa wanasema awali ni awali bt hakuna kitu kama hicho.
 
Awali ni awalihakuna awali ILIYO MBOVU
kwa nini usimkatalie? Kuwa wa kwanza ndio nini? Alikuwa wa kwanza lakin mda wake ushapita na nafasi yake ishachukuliwa na mtu mwingine.Watu huwa wanasema awali ni awali bt hakuna kitu kama hicho.
 
Mavi ya kale hayanuki,lazima enzi ikumbukwe,kimsingi anatakiwa arealize kuwa niko na mwenzagu na asije leta tifu na ugomvi
 
'Mavi ya kale hayanuki', lazima enzi ikumbukwe,kimsingi anatakiwa arealize kuwa niko na mwenzagu na asije leta tifu na ugomvi
 
kama una msimamo dhabiti utamkatalia ila kama
unaongozwa na tamaa utakubali
hiyo ya zamani inabakia kuwa historia
 
Unafikiri watakubali?Humu wengine wapo na wapenzi/waume/wake/wachumba na wanajuana ID zao wakikubali kwisha kazi!
 
Ndio raha ya kuanza na kumaliza, kuwa wa kwanza na kuwa wa mwisho. Hakuna utakapokumbusha au atakayekumbusha knye kiburudisho chako!
 
Awali ni awalihakuna awali ILIYO MBOVU

Ni kweli bt huo ni msemo tu!

Haimaanishi muendelee kuchakachua! Inabaki HESHIMA TU. Umeolewa na yeye kaoa mnakumbushia nini msichokijua?? Watu wanautumia huo msemo kuhalalisha Ngono.
 
Duh kwanini nimkalie au kwanini aninyime lol sijawai kujaribu! Ila sasa ina maana kama anaumwa au naumwa maana kuna gap katikati? au ndio kula raha kifo chaja?
 
Mmmhhhh
Akianza kukukumbusha
Na hutaki kusikia mwambie tu
Kwamba hauko comfortable kuongelea
mambo hayo sasa.. kama ni muelewa
Atakusikia..
 
MmmhhhhAkianza kukukumbushaNa hutaki kusikia mwambie tu Kwamba hauko comfortable kuongeleamambo hayo sasa.. kama ni muelewaAtakusikia..
Mamaa Afro mamboo....! Unamaanisha unahitaji comfort kwanza, so then u can talk about it....eeh!
 
Back
Top Bottom