Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani kuna jirani yangu ambae twafahamiana for almost three years. Kaolewa na mume wake anasoma Mkoani, so week ends anarudi home then anaenda shule. Mkewe is working in one of the big hotels in...
4 Reactions
68 Replies
6K Views
Rafiki wa kike rika lolote lile bila kubagua awe mpole, mstaarabu, anajiheshimu, awe mcheshi. Aliyekuwa tayari tuwasiliane 0657 93 83 95 mda wote inapatikana. HAKUNA KUBIP HAUTAUDUMIWAAAA....!!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau nimeangali hii video kwa kweli inasikitisha na sijaelewa . Huyu mama anazaa na kukutwa na mimba nyingine tumboni.. Hebu angalieni na kutoa mawazo yenu. Mimi Na Tanzania - Mama Chausiku -...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shalom wana jamvi. Kuna rafiki yangu ameolewa na the most handsome boy, lakini huyu mwanamume tulipokuwa tunasoma chuo ilikuwa inasemekana anapigwa miti na prof. Baada ya miaka kadhaa tangu...
0 Reactions
154 Replies
17K Views
Kama nyumba ndogo ndio inachukua most of the good times Nyumba ndogo ni ya kufurahi na kutumia na sio kutafuta Nyumba ndogo ni maraha kwa kwenda mbele hakuna kutukanana wala kudharauliana ni full...
4 Reactions
61 Replies
7K Views
Hivi naomba tuwekeni wazi kwa hili kwa hali yakawaida mke/mume ni yupi kati yake kwakipindi cha ujana wake hadi anapofikia miaka 50 ankuwa ametumika sana je inaweza kufahamika idadi yake??je kuna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeshtukia niko katika mahusiano na mdogo wa rafiki yangu sana niliyesoma naye sekondari. Nilikutana naye kwenye mishe zangu za chuo, na nimemsalandia zaidi ya mwaka mpaka kumpata. Nimejua kwamba...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,najua watu mko katika hali ya hatari na msongo wa mawazo kwa kuiona hii kitu ikitokea leo hii katika dunia Benetton retira foto do Papa beijando um imã no Cairo - Yahoo!. sasa...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Nilikuwa mtumishi wa idara ya serikali mkoani Iringa kuanzia mwaka 1977 hadi 1983 nilipopata ajali ambapo ilibadili kabisa maisha yangu, kutoka yenye matarajio hadi maisha yaliyosheheni giza...
8 Reactions
44 Replies
4K Views
Eti jamani , msichana akitongoza mvulana kwani kuna ubaya gani ?
0 Reactions
24 Replies
5K Views
habari za mchana na ma greater thinker...kitambo kidogo sijapata msaada kutoka kwenu,kuna mwanamke tumeanza ma uhusiano kama mienzi mitano iliyo pita,kwelii na mpenda na ananipenda,alikujaa kwangu...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Napenda kuwapata marafiki waliopo tayari au ambao wameokoka na wanaompenda bwana
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Waungwana wanaJF. Kama miongoni mwenu kuna anaetafuta mke basi ani PM wasifa wa dada yangu .miaka 30 mwembamba wa kati, dini ni mkristo elimu shahada ya kwanza.mume amtakae wasifu wake awe mkristo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
wadau wote wa JF katika column hii plse naomba mniambie faida ya nyumba ndogo na kwa nini wanaume walio wengi wanapenda nyumba ndogo,kuna jamaa yangu kaoa juzi tu lakini tayari kwa sasa ana...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Happy furai dei P Square Ifunanya (Official Video) - YouTube
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Here is what she had to say: I am a married woman with two children and my husband works outside the country but he comes home once every month. A year ago, I had an affair with his best friend...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hebu fikiria kwamba, umebaini kuwa shoga yako wa karibu kabisa, ndiye ambaye amekuwa akitembea na mumeo au mpenzi wako. Umekuwa ukimsimulia shida zako na matatizo yako yatokanayo na ndoa yako au...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari zenu. Nimemwita shangazi yangu kipenzi ili aje kumuona my wife wangu mpya,basi baada ya kumuona na kumtambulisha kwa mke wangu huyo,shangazi wala hakunichelewesha akaniambia mbele ya my...
3 Reactions
124 Replies
10K Views
@arusha,baba mngoni,mama mchaga umeoalewa mwaka huu, jpili ukamtembelea mamamkwe (hukufwatana na mmeo as yupo kikazi Nairobi kwa miezi minne) ,kule ugenini bahati nzuri/ mbaya shemeji yako...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ukiondoa shughuli nyingine za kitandani, kitanda kwa kawaida ni mahali pa kupumzika. Kitandanni mahali ambapo mtu anatakiwa awe na amani napo na kwa kweli ni mahali pa faragha. Na wote tunajua...
8 Reactions
36 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…