Amfumania mumewe akipopolewa na hausi boy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amfumania mumewe akipopolewa na hausi boy

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nazjaz, Jun 15, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Shalom wana jamvi.

  Kuna rafiki yangu ameolewa na the most handsome boy, lakini huyu mwanamume tulipokuwa tunasoma chuo ilikuwa inasemekana anapigwa miti na prof. Baada ya miaka kadhaa tangu tumalize shule akamuoa rafiki yangu, lakini sikuwahi kumjulisha kuwa mumewe chips mayai (anageuzwa).

  Juzi kilicho tokea ni kwamba amemfuma laivu mumewe akipigwa fimbo sita assemble (sebuleni) na hausi boy wake, na mke amekosa huduma kwa miezi minne sasa kwa kuwa roketi ya mumewe haipai.

  Je kuna uhusiano gani kati ya kugeuzwa na upungufu wa nguvu za kiume?
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ehheeeeee utataman ufe.....sjui utafanya nin?
   
 3. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,789
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  wanazivutia chini wajanja zisifanye kazi
   
 4. EvJ

  EvJ JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyo ameanza mchezo huo sku nyng?jaman sasa ameachana naye au wanaendelea?
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  mkewe analia tu, naomba wanawake wenzangu hata mni pm tukamfariji mwenzetu
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  tuletee namba ya simu ya mkewe
   
 7. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hii mitihani mingine balaa,mpe pole huyo mdada Naz
   
 8. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Mungu amtie nguvu hasa kipindi kigumu kama hiki.
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Kwani ukisikia “mtoto kaharibika" ulikuwa unafikiri ina maana ipi? Ulishawahi kusikia mtoto wa kike akiharibika? Unanchekesha!

  Kuharibika ndio huko. Jongoo kutopanda mtungi.
   
 10. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,789
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  du, dunia inaisha, napata picha profesa anapovimendea vito vya chuo kikuu, sikupa maksi ci unajifanya mjanja wewe! jkt kungekuwa na maafande mafirauni tungeua mtu.
   
 11. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  dawa ni kuachana na huyo mume,hafai tena
   
 12. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wote mashoga tu houseboy wake
   
 13. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mmh, dunia inamambo kweli, tukiambiwa imeisha twajifanya vichwa ngumu. Issur nyingine bana.
   
 14. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #14
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,777
  Trophy Points: 280
  Hebu ni pm nikupe maelezo muhimu na ni confidential wewe Nazjaz jinzi ya kuirudishia uhai kamili ndoa hiyo!! Mama atafuta machozi na huyo kisamvu mnara wa voda net itapatikana ndani ya muda wa 12hrs tu!!!
   
 15. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  duh hiyo kali ingawa nakumbuka kuna mama mmoja naye alirudi nyumbani na kugundua kabisa mumewe karudi ila akimtafuta ndani kwake hamuoni akaamua kwenda kwenye mabanda ya mifugo ndipo alimkuta na mwanamke ambaye pale mtaani kwao ni kama punguani ama mental kiukweli! Hata watoto humtaniatania hovyo.. BP ilimshuka na akaanguka! wanaume tunaendekeza sana udhaifu
   
 16. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ila naamii hakuna uhusiano wa kugeuzwa na upungufu wa nguvu za kiume sana sana ni huyo mkaka kama kaamua kuwa shoga kabisa kuna mbinu zao pengine alifanya hizo mbinu unaware!
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hii kali aisee dah!!
   
 18. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tumesikia mara nyingi wasichana wakisemwa wanapewa maksi za chupi, kumbe na wanaume nao wanapewaga ehh? Maajabu!
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  sio na wanaume,
  sema na wengine pia...
  tafsiri ya mwanaume inabadilika hapo
   
 20. s

  shosti JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh wanaume wa siku hizi jamani..kweli migumegume
   
Loading...