Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Binafsi napenda sana wake za watu ila naogopa kukamatwa na wenye mali., Ninapokuwa na binti ambaye hajaolewa huwa sipati mzuka kabisa! Nifanyeje?..
1 Reactions
51 Replies
6K Views
jaman naomben ushauri, me nilkuwa na bf wangu 2lipendana sana akanitambulisha kwao ikabak ye kuja kwe2, sasa hapo pakaanza utata me nataka aje ajitambulishe ye anajivuta vuta ikafika point...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kabla haujaoa angalia aina za wake ili usije ukawa kama jirani yangu mmoja hapa, jina nimeliifadhi, kwaka ni kama kwa MAYENJE! Pia nampa pole yule jamaa aliyemkimbia demu wake kwa kuwa na kipato...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hebu fikiria kwamba umefukuzwa kazi au kufilisika kimali, halafu mkeo au mpenzi wako anafanya visa na mikasa ya kila aina ili aweze kuachana na wewe. Hatimaye anafanikiwa na uhusiano wenu au ndoa...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Utasikia mwingine anasema, siku Mungu atakapo nipa mume au mke, hii ni hatari sana! Biblia inasema kwenye kile kitabu cha Mhubiri.3:1 “Kwa kila jambo kuna majira yake na wakati kwa kila kusudi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Hebu fikiria, umetoka kazini. Ile unafika nyumbani unamkuta mkeo anamtukana mama yako mzazi i.e aliyekuweka tumboni miezi tisa. Anamtukana matusi ya nguoni kama shenzi, mjinga, huna akili...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
1. Chukulia wewe ni baba enzi zako za ujanani ulizaa binti na baadae ukaoa mwanamke mwingine na mmezaa watoto wakubwa sasa..sasa huyu binti nae mnaishi nae hapo nyumbani..sasa basi unagundua ni...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Do not confuse love and desire. Love - the sun, desire - only flash. " Desire dazzles, and the sun gives life. Interested person willing to make sacrifices, but true love knows no casualties and...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamaaa mmoja ambaye hajaowa, siku moja kamtembelea mama yake hapa kijijini kwetu BUSEGA, mama yake kwa kuwa alikuwa hajamuona kwa miaka mingi basi akawa kamkaribisha kwa furaha na bashasha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kila mwanamke ninayekuwa naye tukifika mahali nagundua kuwa hatanifaa kwa kuoa kutokana na tabia zao...wengi hawatulii. Nimejaribu kila aina kuanzia wasomi wa elimu ya juu, warembo, wenye...
1 Reactions
126 Replies
15K Views
Wengi wa wanandoa wapya siku hizi wanaingia kwenye hiyo taasisi baada ya kupeana mimba "kutest zali", kitu ambacho huko nyuma haikuwa hivyo.Na wengi walioana wakiwa 'bado" hawajaivunja ile...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Kuna kaka anatafuta mchumba wa kike jaman umri kuanzia 30-35 umri wake ni miaka 45 naiman kuubwa humu jf atapata. Hakuna utani hapa namba yake. 0753655444.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman mwenzenu nina girlfriend 4,wote wananipenda,nana wapenda.imefika mahali natakiwa kuchagua mmoja tu,kwa ajili ya ndoa,wawili wapo dar,na mmoja yupo masomoni china,na mwingine tanga,wote...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nina mpenzi wangu ambaye nimekuwa na mahusiano naye kwa muda wa miaka miwili na miezi kadhaa, tulipendana sana nakuheshimiana na kusaidiana katika hali na mali, Kwa muda wa mwezi sasa alikuwa na...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
habari zenu humu.. wiki kadhaa zilipitia kuna dada mmoja alikuwa anatafuta wanajamii wanao ishi arusha...sasa natafuta ile post sijaipata nilikuwa naomba msaada ili nipate username yake na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nategemea kufunga ndoa hivi karibuni ila nashidwa kuelewa ni shela gani zuri la kisasa linafaa kwa harusi?na pia lipi ni bora zaidi kukodi,kushonesha au kununua dukani?
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Hivi kwa nn watu wengi wanatumia muda mwingi kuchangiana kwenye maharusi kuliko mambo ya maana?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hodi humu ndani mie sio mwenyeji sana, ni mgeni kiasi Nimekuja na shida yangu tafadhali naomba msaada wenu Mie ni dada wa makamo, niko nje ya nchi kwa masomo.Tangu nifike hapa nimekuwa mtu wa...
0 Reactions
99 Replies
8K Views
kama upo serious naomba unitafute kwa 0759294263 pliiiiiiiiiiz hakikisha waweza nilea na raha zoooooote za dunia utazipata!!
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu! Baada ya kuzitafakari changamoto zinazoendana na mademu wakali, nimeamua nijivue gamba. Mademu wote wazuri niliopata kuwa nao au kuwafatilia wote ni pasua kichwa>kuteseka...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…