huduma ya kwanza tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huduma ya kwanza tafadhali

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by neyl, Nov 23, 2011.

 1. neyl

  neyl Senior Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jaman naomben ushauri, me nilkuwa na bf wangu 2lipendana sana akanitambulisha kwao ikabak ye kuja kwe2, sasa hapo pakaanza utata me nataka aje ajitambulishe ye anajivuta vuta ikafika point 2kagombana sana na nilmtolea maneno makali later nikajishusha nikamwomba msamaha akanambia yameisha 2kaishi vzuri afta mwez nikapewa kibuti kuhoj sababu napewa zile za kipindi kile cha ugomvi, nifanyaje jaman na nampenda huyu kaka sana
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  pole ndo ukubwa umeanza.
   
 3. tpellah

  tpellah Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ule utamtoleaje mwenzako maneno makali mwenzako,iyo imekula kwako mwenzako kachoshwa na hilo litabia lako wait upate ji2 lenye tabia kama yako ya kutolea maneno makali mtaendana
   
 4. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  huduma yakwanza inakujaje hapo sasa!
   
 5. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Imekula kwako,anza upya.
  Njoo kwangu nikuponye.
  OTIS
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Jitahidi umweleweshe kuwa ilikua ni hasira,asipokuelewa inabidi ujiulize umuhimu wa kuumia kuhusu mtu asiekuelewa!
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  hakukupenda huyo. Ndo maana akasita kuja kwenu. Pili ukome kutambulisha viboyfriend kwenu, utajifunga kimahusiano, mkiachana lazima kwenu wajue wakati Wanaume huwa hawana noma majumbani mwao hata wakitambulisha mawifi 10 inaonekana ndo urijali
   
 8. nkasoukumu

  nkasoukumu JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 692
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Bila mawasiliano mazuri ni lazima kuwe na machfuko, mawasiliano mazuri ni chanzo cha faraja, na upendo jaribu kumkubusha jambo moja ambalo una amini lili murahisha pindi mkiwa pamoja atakusamehe
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Wakati unaendelea kujishusha jaribu kujiliwaza huko pembeni! utakuja kupata stress za kijinga wewe!
   
 10. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo UMEPIGWA CHINI?!!
   
 11. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Huduma ya kwanza baada ya kibuti!!!
   
 12. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ukipata mwingine uache maneno makali.Vinginevyo utakuwa mtu wa kuomba huduma ya kwanza ,ya pili,ya tatu,ya nne hadi ya ngapi sijui!
   
 13. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ok Huduma inapatikana vere vere
   
 14. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Pole sana, hicho kibuti kimekuja bila sababu? Kama ni zile sababu za mwanzo ndiyo zimesababisha yeye leo akupige kibuti ujue ni wazi kuwa hakuwa na mpango wa kufunga ndoa na wewe. Maana hata sababu ya ugomvi wenu inaonyesha ni kwa sababu aligoma kuja kujitambulisha kwenu.
  Inaonekana anataka uendelee kuwa gelfriend badala ya wife! Tafakari, chukua hatua!
   
 15. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Shosti nnadhani kama hukuambiwa yuko uliambiwa wako au wewe hujafika darasa hilo ulishia chini chekechea? kwanini akusugue roho yako kwani wengine hawana alokua nayo yeye? futa machozi yako upesi usiniaibishe, pole wangu chakufanya kama ameshakuacha kisa

  ulimtolea maneno huyo mzushi ameshachoka na wewe na ameshajua kama wewe kwake uko chordooo hujifai! huzungushi wala hupindui sasa basi sikwambii kama nirahisi kumsahau laaa! sio rahisi lakini kama kweli unataka utaweza la unataka kutaki itakua bado hujaamua, fikiria jee ukotayari kusuguliwa roho kila leo au uko tayari kulia kila leo sio kulia kwa raha apana kwa kukutafir roho yako,huyo bwana hakufai tena kesha kua mumunya kaharibikia ukubwani achana nae....
   
 16. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Life goes on! Fikiria ndio umefunga ndoa na kichomi kama huyo asiyedamehe? Huwezi jua Mungu kakuepushia nini! Utampata mwingine ajuaye kubembeleza na kudekeza!
  Cheer up girl!
   
 17. Cyclone

  Cyclone Member

  #17
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina assume jamaa alianza hivi
  Nilitukanwa sanaaaa, nimetafakari sanaa, kwaniaba ya familiy yetu na mimi mwenyewe nimeona sinabudi Ning`atuke mwenyewe.

  Pole sana sana dada yangu ila kama ndo mchizi kasepa jifunze kutokana na makosa, coz hata mimi ni mgumu kwenda kutambulishwa upande wapili, nitakupenda sana, nitakupa kila kilocho ndani ya uwezo wangu, naright time ikifika nitakuja kujitambulisha bila hata kuombwa, so don`t ask for this next time mapema, tumia muda huo kuona kama atakuwa mume na baba wa watoto wenu mwema
   
 18. Geen

  Geen JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ukimng'ang'aniza mwanaume kuja kwenu matokeo yake atakukimbia tu,wanaume hawapendi kuwa pressured
  Next time usirudie kosa
   
 19. Vene

  Vene Member

  #19
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kweli, mapenzi ni safari ndefu!
   
 20. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama husomi basi hata picha huoni jamaa hkufai huyo achanane wala usipoteze muda wako kwake ulipenda asiependeka dada jiamini wewe ni mwanamke utapata wako akupendae kikweli vuta subr
   
Loading...