Ataka kumlipa mama yake baada ya kula.......!!

Shagiguku

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
407
133
Jamaaa mmoja ambaye hajaowa, siku moja kamtembelea mama yake hapa kijijini kwetu BUSEGA,

mama yake kwa kuwa alikuwa hajamuona kwa miaka mingi basi akawa kamkaribisha kwa furaha na bashasha nyingi maana alim-miss kijana wake huyo wa kiume kwa muda mrefu, basi mama akamwandalia maji ya kuoga na yeye mama akaingia jikoni kuandaa madikodiko,

baada ya kumaliza kuoga kijana wa watu akasogea mezani kwaajili ya chakula, na kwa kuwa kijana amezoweya kula magengeni, basi baada ya kumaliza kula chakula mara anatoa waleti yake na kuchomoa noti moja ya "msimbazi boiz" na kumkabidhi mama yake mzazi, mama huku akipokea akauliza, "na hii pesa ya nin...??" hapo ndo kijana akastuka kuwa yupo homu na siyo gengeni kwa mama ntilie, basi akairudisha hiyo noti na kumuomba msamaha mama yake akimwambia, "unajua mama nimezowea kula gengeni sasa nkazani nipo gengeni na hapa"
:msela:

mama mtu kabaki anashangaa......!!!!!!!!!!!!!!!!!!
:blah::blah:

jamani kwa wale ambao hamjaowa muwe makini yasije yakwakuta haya yaliyomkuta huyu jamaa yangu.
 
Mazoe mabaya,one day tulikuwa na baba yangu mdogo tukicheki game ya soka,mara likapigwa bonge la goli,nikampiga begani dingi mdogo huku nikisema,'mwanangu bonge la goli,tukiwakojo....cha pili tu,kwisha habari yao'.Baadaye nastuka kumbe niko na dingi mdogo,ooppss!
 
Jamaaa mmoja ambaye hajaowa, siku moja kamtembelea mama yake hapa kijijini kwetu BUSEGA,

mama yake kwa kuwa alikuwa hajamuona kwa miaka mingi basi akawa kamkaribisha kwa furaha na bashasha nyingi maana alim-miss kijana wake huyo wa kiume kwa muda mrefu, basi mama akamwandalia maji ya kuoga na yeye mama akaingia jikoni kuandaa madikodiko,

baada ya kumaliza kuoga kijana wa watu akasogea mezani kwaajili ya chakula, na kwa kuwa kijana amezoweya kula magengeni, basi baada ya kumaliza kula chakula mara anatoa waleti yake na kuchomoa noti moja ya "msimbazi boiz" na kumkabidhi mama yake mzazi, mama huku akipokea akauliza, "na hii pesa ya nin...??" hapo ndo kijana akastuka kuwa yupo homu na siyo gengeni kwa mama ntilie, basi akairudisha hiyo noti na kumuomba msamaha mama yake akimwambia, "unajua mama nimezowea kula gengeni sasa nkazani nipo gengeni na hapa"
:msela:

mama mtu kabaki anashangaa......!!!!!!!!!!!!!!!!!!
:blah::blah:

jamani kwa wale ambao hamjaowa muwe makini yasije yakwakuta haya yaliyomkuta huyu jamaa yangu.

Shindwa wewe!
Mtake radhi mama yako.Ina maana chakula cha mama na cha gengeni vinafanana?
 
Back
Top Bottom