Nimeamua nitafute demu wa kawaida. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeamua nitafute demu wa kawaida.

Discussion in 'Love Connect' started by tindikalikali, Nov 22, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Habari zenu wakuu! Baada ya kuzitafakari changamoto zinazoendana na mademu wakali, nimeamua nijivue gamba. Mademu wote wazuri niliopata kuwa nao au kuwafatilia wote ni pasua kichwa>kuteseka nimechoka na kikomo nimefika. Nataka nijikite kwa demu wa kawaida na usiniulize kawaida ni nini.
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  mbona unajihami sasa
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kushusha passmark sio hoja, tazama mzizi wa tatizo ni nini kwanza.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wakawaida ni wazuri hawana complication oh mara steers mata baga mara nipe ride hadi water world oh nipeleke movie oh nipe hele na unipeleke ml city nikafanye shopping khaaaa full kujifanya tawi za juu.
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  ulikua hujui kuwa uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti?
   
 6. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukitaka kumiliki demu mzuri tokea wafanyakazi au laa mwenye kujiweza,wenye pesa zao.videnti vitakumaliza.
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa ukute mwenyewe ni below kawaida alafu ulikua unahangaika na matawi...
  Tafuta saizi yako!
   
 8. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu bado maisha sijayapatiwa, nilianza kujiona nna gundu kumbe uchaguz 2 mbovu.
   
 9. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mh hapo kazi ipo, waschana wote ni wazuri.
   
 10. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mchukue huyohuyo mzuri mchore usoni kimakonde atapoteza mvuto hakuna atakayekuibia beeestiii:poa
   
 11. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  siyo kweli mkuu, wabaya wapo, muulize washawasha
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  aaah aah nimchore huku ye ananiangalia tu? Narudi FB
   
 13. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ni kweli mkuu!! Mimi nimeshachoka na hawa pasua kichwa!!
   
 14. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  ni pasua kichwa na usipoangalia unapasuka kweli. Ni zaidi ya tatizo pale demu anapokuwa mzuri, anajijua kwamba ni mzuri na watu wanamsifia kwamba ni mzuri. Narudi FB
   
 15. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #15
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ndio ivo))))))
   
 16. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Naona mkuu tindikalikali unakuja na kibwagizo kipya cha Narudi FB mbona hujakatazwa mkuu kurudi huko, usijishuku.

  :focus:

  Hata hao wa kawaida sio wote wanafaa, angalia tu yule mwenye sifa unazopenda, tabia njema na unaweza kuishi naye milele yote!!
  Kila la kheri mkuu katika kuchagua kwako.
   
 17. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Kumbe mademu wakali wanaitwa "pasua kichwa"???
   
 18. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #18
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,135
  Trophy Points: 280
  Wa kawaida na maalumu wakoje hao hebu nipe hint!!!! Bucha zooote nyama ni ile ile tu!! Lazima ikichinjwa itatoa damu! Nothing more nothing special
   
 19. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  nashukuru mkuu kwa nyongeza ulizotoa, nitachanganya na zangu. Narudi FB
   
 20. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #20
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Maalumu wameshindikana. Sasa hivi wa kawaida, baadae utatafuta wa ajabu. Labda jaribu ushauri wa David Cameroon, unaweza ukapata ambaye si pasuwa kichwa.
   
Loading...