nimekuja chuo hapa mjini daslam bt life ishakuwa tite so cute mwenye mkwanja anitafute plz!!

wise dide

Member
Nov 21, 2011
26
1
kama upo serious naomba unitafute kwa 0759294263 pliiiiiiiiiiz hakikisha waweza nilea na raha zoooooote za dunia utazipata!!
 
Mi nawasubili viumbe wa chuo.hadi mwezi huu kuisha watakua washaanza kufulia, huo ndo utakua mda wa kuwaokota kama kumbikumbi.lakini ukiwafata ndo wamefungua chuo wana nyodo hao.hasa hasa nimepania wa mlimani.ntakua nawatega pale yenu bar, mamaland, la mambo, samaki na ambiance.sijui watanikwepea wapi.nawavutia pumzi tu. kama unataka wa kukulea nenda slipway,jolly,seacliff,graffee, g'burg sinza na jangwani seabreeze. mia
 
kama vp tukutafutie wa kukucameroon. au vp? cute wa kukuhonga hakuna humu.
 
Asara tupu. kabla hujaingia JF ulishakutana na cute wangapi? kama unamtafuta cutehapa JF itakula kwako hakuna cute humu sema pesa wako nazo mtumiaji tu ndio hakuna sasa kama utaweza kuzitumua basi weka picha yako wakuone na wewe kama cute,manake usimtake cute kumbe wewe surako ni sibasi tuu.
 
hahaaaaaaa....hakuna baba ntilie hapo chuoni kwenu uongee nae akuchukue mana nina hakika hela ya kula ndo inakusumbua.
 
Dogo naona umeamua kujiuza. Akili yote umeshindwa kutafuta njia nzuri ya kujiongezea kipato.
 
JITU LIMESHINDIKANA, LINAKUJA KUJIFANYA LINASOMA CHUO! UFUSKA MTUPU! KAMA UKO SERIOUS...!!!!/??/ SERIOUS MY A..SS NYIE NDIO MNAJIFANYA WANAFUNZI NA KUVAA YUNIFOMU SISI TUNAWAONA VIGORI KUMBE WIZI MTUPU! hALAFU MBONA WW NI MWANAUME??? ALLEN GASTO ACHA UJINGA BWANA!
 
JITU LIMESHINDIKANA, LINAKUJA KUJIFANYA LINASOMA CHUO! UFUSKA MTUPU! KAMA UKO SERIOUS...!!!!/??/ SERIOUS MY A..SS NYIE NDIO MNAJIFANYA WANAFUNZI NA KUVAA YUNIFOMU SISI TUNAWAONA VIGORI KUMBE WIZI MTUPU! hALAFU MBONA WW NI MWANAUME??? ALLEN GASTO ACHA UJINGA BWANA!

Ngoja atatafutwa na wapenda Tigo ndo anachokitaka.
 
kaka niko chini ya miguu yako tena upande wako wa masabuli sema kama uko serious, nimalize kazi apa apa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom