Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,398
Hebu fikiria kwamba umefukuzwa kazi au kufilisika kimali, halafu mkeo au mpenzi wako anafanya visa na mikasa ya kila aina ili aweze kuachana na wewe. Hatimaye anafanikiwa na uhusiano wenu au ndoa yenu inavunjika.
Lakini miaka michache baadaye, Mungu siyo Athumani, unarudi kwenye chati. Huyo mwanamke anapata taarifa huko aliko, na anaamua kujileta kwako, yaani kujipendekeza ili arudi. Hebu niambie, kama ni wewe ungefanya nini katika hili?