Wanajamii!!!!!
Vipi Mambo?
Nami natafuta mke God willing
Nina miaka 38, Gifted by God
Namtafuta Lioness hapa MMU. A seedfull woman to marry.
Umri kuanzia miaka 30-40
Kama una mtoto ooppsss...
Wana JF
Russian Roulette is one of the Mods ambae yupo saana nasi hapa jamvini katika mijadala mbali mbali as much as anatu-moderate na hata kumoderate threads. Hio imefanya awe na members wengi...
Kuna mfanyakazi mwenzangu anataka kumwoa binti ambaye wamedumu ktk uhusiano mwaka mmoja na nusu,
tatizo ni background ya binti huyo,.kwani kipindi jamaa anaanza uhusiano naye iligundulika kuwa...
Have you visited me ? Kids Fun Spots, Shopping areas, Movies, Bar and Lounge, Supermarket etc etc..
Click on the Like button to join the fan page and share with friends and family ;-)
Here is...
habari za jioni wana jf,poleni na mishughuliko na pilika pilika za hapa na pale za kutaka kujikwamua kiuchumi huku wakubwa wakiwa bado wamekaba hadi penalty.Kwa wana jf waliopo tanga wote naomba...
Ninachokisema hapa ni serious na naomba comments also seriously! Nina mpenzi wangu nampenda kw dhati, kadhalika kiasi flani nashawishika kuamini nae ananipenda kufatana na mambo flaniflani...
hivi kweli kuna mahusiano ambayo yana uaminifu 100% jamani? namaanisha watu wanaanza mahusiano, wanaoana na kufa bila kusalitiana?
kama yapo ni kwa asilimia ngapi? na tafadhari hebu nipeni siri...
Mimi ni mwanamme mwenye miaka takriban 40 pia nina mke na watoto. Kweli nimepata ka sub house ni kazuri sana na kananipenda pia. Shida yake ni kwenye kutiana yani kanataka bao 3 na kuendelea...
Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo,mwanaume mwenye elimu kuanzia seco na kuendelea,awe na kazi,awe na tatizo la kukojoa kitandani bila kukusudia(kikojozi)anikubali na mapenzi ya dhati bila...
Wapendwa wana jamvi la MMU,
Siku ya J3, nilisema kuwa kuna matukio 2 niliyokutana nayo week hii ambayo kwa kweli yamenigusa sana. Tukio la kwanza ni hadithi ya yule bibi kizee wa miaka zaidi ya...
Mimi ni binti wa miaka 27, sijawahi kutembea na mwanaume, i have now got a man, ambaye naona we can make a family na tunategemea kufunga harusi mwakani, ila nimegundua kwamba hata huyu mwanaume...
Wapendwa wana jf hivi hii hali ya kwenda mwendo mrefu niwapo faragha na kiburudisho ni ya kawaida kweli?maana utakuta mzunguko mmoja naenda hata nusu saa nzima!mnijuze wadau.
ni mwaka umepita tangu aje kwangu na kunambia ananipenda sana,na kuniahidi mapenzi yake yote baada ya kuachana na aliyekuwa wake wa ubani ,lakini juzi nampigia simu ananiambia amerudiana na...
Habari za sunday wana mmu?
Ni hivi leo shemeji yangu yaani mke wa jamaangu kaja akilalamika kuwa mme wake katembea na mtoto wa kaka yake aliyekuja kuwatembelea baada ya kuhitimu kidato cha...
Naamini wanaume wengi huwa hawakapendi haka katabia....unakuta umepanga kuonana na mdada labda geto au mmepanga na mmekutana sehemu lakini muda si muda utaskia mdada anaanza mara ooh unajua mi...
Habari wana sebule..i started dating a guy 3months ago (my 2nd boyfriend ever-i dated the first for a month before we got separated) the time between them was about two years.i am a late bloomer...
mahusiano ni uwekezaji/investmentna kama investment nyingine ili iwe succesfull vitu vifuatavyo vinaitajika1-capital-pesa ni muhimu ili mapenzi yenu yaweze kusimama kama wallet inasoma sifuri...
Kila kitu kina hitaji backup hapa duniani kama ilivyo gari na spearwheel hali kadhalika ktk mapenzi kuwa na spea tairi ni muhimu....so kwa mdada, mmama au mlimbwende mwenye kuhitaji spea tairi...
Wanawake wasema: Waume zetu wana haki ya kutupiga
Imeandikwa na Grace Mkojera; Tarehe: 25th November 2011
Habarileo
ASILIMIA 47 ya wanawake wanakubali kwamba mume ana haki ya kumpiga mkewe pale...