Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau naomba mnisaidie, nina experience ya kukutana na vibinti yaani niko kwenye hatua za awali za kutongoza hata kabla jibu la kukubaliwa au kukataliwa, binti anaanza kumwaga matatizo yake.... na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nachukua fursa hii kuwakumbuka ndugu, jamaa na marafiki wote waliopoteza maisha yao kutokana na janga hili la HIV-AIDS. Toka balaa hili lilipoingia Tanzania katikati ya miaka ya 80's limeleta...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
wht up jf!? poleni kwa kazi, npo mapumzkoni hapa chuga, nmekutana na mutoto nyeupe kama muzungu, nme-spend nae km cku 3 ivi, ana cm yake ya mchina anaizima kusudi pindi cpo nae, 2kikutana anaxema...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF mara nyingi katika jamii tunamoishi tumeshuhudia ama kuhadithiwa na wakati mwingine kuona Mwanandoa fulani anaisaliti ndoa yake, unapochunguza upande wa pili unamkuta mtu huyohuyo ana mke...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Huwa nawaza kama wanaume tukiamua kuishi na mke mmoja tu no kuchapa nje, na wale wasiooa anachapa mmoja na huyo ndiye anayemuoa, si kutatokea vita jamani? Naomba maoni yenu wana jamii.
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Haya jamani, kwa wale vidume mnaodhani mna gundu la kupata wapenzi, kazi kwenu. Chungulia hapa uboreshe 'approach' kwa wadada: How to charm the female mind
1 Reactions
16 Replies
3K Views
nimekuwa nawauliza watu ili swali lakini sipati majibu ya kuridhisha, ninyi wana MMU mnafikirije....?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina jamaa yangu mmoja ambaye ni rafiki yangu na tumefungua ofisi (kampuni) yetu. Ameoa mke mrembo ile mbaya. Yule mke akawa ananitaka, mi nikamtolea nje. Basi akawa ananifanyia visa hadi rafiki...
3 Reactions
119 Replies
13K Views
Well, what do you expect?" Has anybody ever asked you that? Sometimes, my greatest disappointments have come because I expected something that was simply not realistic. You may know that...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna thread moja inahusu michango ya harusi imenikumbusha mbali. Hivi jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka...
2 Reactions
127 Replies
17K Views
Kwa kuwa hakuna mwenye majibu za moja kwa moja...! Mim leo nakuja mbele ya wanajamii kuuliza.. Tena kila mtu kwa nafasi aliyonayo ndani ya jamii,yaani unaweza kuwa mzazi,mtoto au KIJANA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, nilitendwa na dada mmoja miaka mitatu iliyopita. Nilipata secondment Nigeria kikazi kwa kama miezi kumi hivi, baada ya kurudi nikamkuta na kitumbo cha miezi 3. Huyu alikuwa mtarajiwa wangu...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
"Ukimpenda mume ukamfanya afurahi basi mwisho wa siku familia yote itakuwa na furaha".Kasema bwana mmoja wakati alipoulizwa kwanini ndoa nyingi zinagubikwa na misukosuko! "Mke anatakiwa kuweka...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Neno vigonela (uwingi) au kigonela (umoja) ni la lugha ya Kihehe na maana yake (jinsi nilivyolielewa mimi) ni kukosa mahitaji fulani kwa muda mrefu.................................. Baada ya...
1 Reactions
43 Replies
6K Views
A MAN hired a prostitute to come to his hotel room - and answered the door to his own daughter. Titus Ncube, a married father-of-three, collapsed to the floor with shock while his daughter, 20...
0 Reactions
12 Replies
12K Views
wanayasansi toka marekani na Argentina wamefanya utafiti na umeonyesha kuwa Mtandao wa internet kwenye komputa za mkononi"Wirele7 internet" kwenye laptop,Una madhara kwa viungo vya uzazi. Timu ya...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Ndugu zangu,siku hiyo imepangwa maalamu kukumbushana namna inavyotupasa kukabiliana na janga hilo. Tanzania bila ukimwi inawezekana!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji demu mwenye umri usiozidi miaka ishirini atokua tayari anirushie email yake
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sex and the City's Carrie Bradshaw (Sarah Jessica Parker). Photograph: Henry Lamb/BEI / Rex Features furaha ya bibi ni kuwa na bwana ni ukweli wa kiasilia na wanawake ambao wamepingana nao...
1 Reactions
58 Replies
8K Views
Nimebahatika kuwa karibu na familia moja yenye mke(age 40's)+mme+watoto+wajukuu, mme ni mtu anayesafiri mara kwa mara mikoani. Ukaribu wangu kwao ukapelekea wakiface tatizo wanajaribu kuniomba...
0 Reactions
34 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…