Najuta kutotembea na mke wa rafiki yangu

kiritimba

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
603
88
Nina jamaa yangu mmoja ambaye ni rafiki yangu na tumefungua ofisi (kampuni) yetu.
Ameoa mke mrembo ile mbaya. Yule mke akawa ananitaka, mi nikamtolea nje. Basi akawa ananifanyia visa hadi rafiki yangu akahisi mimi natembea naye. Lakini mimi nikamthibitishia kuwa sijawahi. Sikumwambia kama mkewe alikuwa ananitaka. Sasa hivi mawasiliano na jamaa yamekuwa mabovu na pia mimi na mkewe hatuna mawasiliano mazuri, kisa nimemkataa.

Nimekuja kuthibitisha kuwa huyu mkewe jamaa anamegwa na jamaa yetu mwingine (partner) wa kampuni yetu. Jamaa mwenye mke hajagundua hiyo ishu, bali anahisi kuwa mimi ndo nakula mzigo wake...sijui mkewe kamwambia nini!
Kutokana na mtiririko wote huo, mahusiano ni mabaya sana kwangu na pande zote tatu nilizozitaja. Na sasa nawaza kujitoa katika kampuni yetu kwani sina raha na nahofia maisha yangu...

Kwa hali ilivyo, najuta kwa nini sikutembea na mke wa rafiki yangu.

kiritimba
30.11.2011
 
Yawezekana hata rafikizo pia wanahamu sana ya kutembea na mkeo ila wewe hujui tu. (joke...........) :A S-coffee:

Mshukuru sana Mungu kwa hilo, yawezekana kutokana na urembo wa huyo dada keshagawa sehemu nyingi na hivyo ungeambulia gonjwa buree.
 
Yawezekana hata rafikizo pia wanahamu sana ya kutembea na mkeo ila wewe hujui tu. (joke...........) :A S-coffee:

Mshukuru sana Mungu kwa hilo,
yawezekana kutokana na urembo wa huyo dada keshagawa sehemu nyingi na hivyo ungeambulia gonjwa buree.

yaweza kuwa kweli hiyo?
 
Unatakiwa kujisifu kwa ulichofanya hata kama jamaa anaamini umetembea na mkewe....
 
Haka ka usemi kuwa mwanamke mzuri saaana epuka kumfanya mke naanza kuka amini kwa kwa kasi ya hali ya juu, sana sana tafuna tunda lake ishia, sio kutangaza ndoa.
 
nina jamaa yangu mmoja ambaye ni rafiki yangu na tumefungua ofisi (kampuni) yetu.
Ameoa mke mrembo ile mbaya. Yule mke akawa ananitaka, mi nikamtolea nje. Basi akawa ananifanyia visa hadi rafiki yangu akahisi mimi natembea naye. Lakini mimi nikamthibitishia kuwa sijawahi. Sikumwambia kama mkewe alikuwa ananitaka. Sasa hivi mawasiliano na jamaa yamekuwa mabovu na pia mimi na mkewe hatuna mawasiliano mazuri, kisa nimemkataa.

Nimekuja kuthibitisha kuwa huyu mkewe jamaa anamegwa na jamaa yetu mwingine (partner) wa kampuni yetu. Jamaa mwenye mke hajagundua hiyo ishu, bali anahisi kuwa mimi ndo nakula mzigo wake...sijui mkewe kamwambia nini!
Kutokana na mtiririko wote huo, mahusiano ni mabaya sana kwangu na pande zote tatu nilizozitaja. Na sasa nawaza kujitoa katika kampuni yetu kwani sina raha na nahofia maisha yangu...

Kwa hali ilivyo, najuta kwa nini sikutembea na mke wa rafiki yangu.

kiritimba
30.11.2011
wewe ndiye uliyemuunganisha huyo third patner kwa huyo mwanamke
 
Back
Top Bottom