Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu hii story yangu ambayo niliandika kama kisa ambacho siwezi kukisahau na huwa kinanitesa mpaka leo kwenye maisha yangu, na nilikiandika kama mchango katika uzi wa ndugu yetu laskaboza ...
8 Reactions
42 Replies
7K Views
Siku ya Wapendanao, wewe ndiye pekee unayemletea zawadi. Siku yako ya kuzaliwa, bado wewe ndiye unayemletea zawadi. Siku yake ya kuzaliwa, bado ni wewe unayemletea zawadi. Krismasi ikifika...
15 Reactions
25 Replies
1K Views
Hivi mchepuko kama huu unauachaje? Ni msafi kuanzia yeye mwenyewe mpaka mazingira anayoishi,ni mkarimu,mcheshi,ana heshima,she is biutiful,sexy body and romantic,anajua kupika utafikiri...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
Uzi tayari https://youtu.be/JM7X4YnFUnk?si=jlRa4LUsdjNtk2_j
1 Reactions
2 Replies
425 Views
Guys, abeg make una learn from my experience. Marriage no be only for fine face. My own don teach me lesson. Three months, and I don see pepper. For now, I think say single life fit be the best...
2 Reactions
10 Replies
621 Views
Nakumbuka Ilikuwa Mwaka Jana Mwezi Wa 6 Hivi...Nilikuwa Nimelala Zangu Mida Ya Mchana Mara Text Ikaingia... "Samahani Sana Kwa Message Hii,Ila Itabidi Kulizika Hili Penzi,Najua Napoteza MTU...
44 Reactions
292 Replies
57K Views
Habari za muda wakuu, Nataka niwatolee povu baadhi ya wanawake haswa visichana unakuta unakipanga ukakigegede kinakupangia siku kinakuja lakini cha ajabu akifika ghetto baada ya stories mbili...
24 Reactions
153 Replies
19K Views
Kuna kundi la wanaume limezuka na kujigeuza kuwa wanawake wakitegemea wanaume katika mahitaji yao ya kimapenzi (Mashoga) Naombeni niwaambie wajue kuwa wanaume tuna mzigo mkubwa sasa kuhakikisha...
21 Reactions
113 Replies
16K Views
BARUA WAZI KWA MPENZI WANGU ________________ Dear my love. Leo ni siku yangu mbaya katika maisha yangu. Sikutegemea kama ingetokea ghafla mimi na wewe tukaachana. Tumepitia katika kipingi...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Being chubby or plus size is not a sickness. It's just being big bold and beautiful. People find it easy to body shame plus size women. They are quick to call them "fatty bum bum". This has led...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Kitchen Party tuliifanya nyumbani. Tulipika wenyewe tena nilipika chapati mpaka saa 10 ndiyo nikaenda saloon. Chakula kilikuwa pilau, chapati na mchuzi wa kuku, ndizi nyama na kachumbari. Vyote...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Hii iwe fundisho kwa wengine wapenda wake za watu, Ni kweli nilimpigia simu kakangu ,kakangu ni mmoja wa makanda hapa nchini wanaolinda amani nchi za wenzetu, Alinishukuru sana kwa upendo...
10 Reactions
113 Replies
10K Views
Habari wakuu, Kakangu yuko kwenye ndoa na mke wake yapata miaka 20 sasa, Kakangu ni mtu wa kusafiri sana kutokana kazi zake, Shemeji yangu hana shida kabisa,kila kitu ambacho mwanamke anahitaji...
8 Reactions
170 Replies
13K Views
Huu unaweza ukawa mwaka wa neema kwangu kwa sababu tangu tarehe kwanza ianze mpaka leo nimeshavuta vyombo 6 swaafi kabisa na kuvila na bado kuna kama vyombo 5 vipya viko kwenye ushawishi wa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Inakuwa hivi, umesikia tetesi kuwa mume ana mchepuko, mwanaume huyu mlioana akiwa anamiliki baiskeli na anaishi kwenye chumba. Wazazi pia walimuona he is just a waste of space lakini ulimpenda...
35 Reactions
48 Replies
7K Views
Habari za mchana nyote. Natumai mmeshapata mlo wa mchana na kama bado basi niwatakie mlo mwema mtakapopata nafasi wa kuubwia. Naomba nisimulie kile macho yangu yanaona na ubongo unanipa taarifa...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Kutongoza mitandaoni ni changamoto ila inabidi ukubaliane nazo tu. Ofcourse walioko mitandaoni ndio hao hao walioko mtaani ila changamoto zake ni kubwa. Juzi nimeona mdau mmoja akilalamika kule...
9 Reactions
231 Replies
17K Views
Hakika una watu wanadharau humu duniani tena ya kiwango cha juu hivyo basi wanatakiwa watendewe sawa sawa na kiwango cha dharau yao. Iko hivi, kuna kijana niliona ana mfatilia mke wangu nami...
8 Reactions
151 Replies
17K Views
Hivi nyasi za uani zinafyekwa? Kama ndiyo vipi?
1 Reactions
73 Replies
7K Views
Back
Top Bottom