Mchepuko wenye ubora....

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,073
2,024
Hivi mchepuko kama huu unauachaje? Ni msafi kuanzia yeye mwenyewe mpaka mazingira anayoishi,ni mkarimu,mcheshi,ana heshima,she is biutiful,sexy body and romantic,anajua kupika utafikiri chef,kunako sita kwa sita ndo dah si mchezo huyu manzi!!Dah!najiona kabisa nimekuwa mateka!!
 
Embu Muogope Mungu acha michepuko rudi kwa mke wako pale ambapo unaona aendi sawa mrekebishe..
 
Ni dhambi hiyo. Rudi kwa wife, utakuja kulipa gharama za maumivu ya mkeo bila kujijua.be careful.
 
Mwaego usmwache hata kwa utan utan nyie mnajua wanaume hawatosh kabsa iv kila m2 akijmilikisha m1 m1 wengne wataolewa na nan muwache roho mbaya... Sharing is caring jamani...! As long as anakuheshimu jtulze nae tu!....#i just said#huhuhuhu#
 
Hivi mchepuko kama huu unauachaje? Ni msafi kuanzia yeye mwenyewe mpaka mazingira anayoishi,ni mkarimu,mcheshi,ana heshima,she is biutiful,sexy body and romantic,anajua kupika utafikiri chef,kunako sita kwa sita ndo dah si mchezo huyu manzi!!Dah!najiona kabisa nimekuwa mateka!!
Kama mzuri muoe
 
Anakosa kipi kwa mkewe!!! Kama ameona mapungufu ni swala la kurekebishana tuu

Hilo amekosa kip kuna maswala meng lakin inavyoonekana kuna vitu hapat ndio maana anaona ni vya upekee
Sitak kuusemea moyo wake ndio maana nkasema as long as he is happy who we are to ruin his happness
 
Embu Muogope Mungu acha michepuko rudi kwa mke wako pale ambapo unaona aendi sawa mrekebishe..
Dah!uko sahihi kabisa kunishauri hivyo mkuu,ila stress zilitaka kuniua nikaona cha kufia nini wkt dunia bado naipenda na watoto wazuri bado wapo tele ndo nikakamatia huyu manzi!kwa kifupi njia kuu ni shida imejaa kiburi,dharau,nimeshaongea nayo mara nyingi sana ili kuweka mambo sawa lkn naona nampigia mbuzi gitaa,its abt 5yrz now no changes hata kidogo,nimechoka naendelea na maisha on the otherside!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom