Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,931
Kuna kundi la wanaume limezuka na kujigeuza kuwa wanawake wakitegemea wanaume katika mahitaji yao ya kimapenzi (Mashoga) Naombeni niwaambie wajue kuwa wanaume tuna mzigo mkubwa sasa kuhakikisha tunawatimizia wanawake haja zao hatuko tayari kuona huu upuuzi wenu na nyie mkitaka huduma ambayo sio haki yenu.
Wanawake wanatutegemea japo jeshi letu ni dogo kuliko lao ila wanaamini kuwa jeshi letu lina nguvu ya kusaidia na kuwatatulia shida zao ila leo anatokea mtu anasaliti jeshi dogo anaenda kujiunga na jeshi la wanawake huku akisubiri huduma ya mwanaume.
Mnakera sana rudini tupambane na hawa watu tunazidiwa nguvu, Tupambane na wanawake, Nguvu za Kiume hadi nyie pia
Acheni UJINGA.
Nimemaliza.