Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukanda wa pwani ya Afrika mashariki umelaaaniwa, huku ndio kuna mashoga wengi na ushoga wao wanaufanyia hadharini tena wakijigamba kwa kujiita anti. Hii laana inasababishwa na nini?
4 Reactions
137 Replies
18K Views
Kwa mfumo wa Maisha ulivyo, Asilimia kubwa ya watu wanaishi ktk Familia ambazo sio zao kama ulivyo msemo wa mtaani " Kwenye familia zenu Kuna watoto watu" Kiujumla Familia za siku hizi Zina mambo...
2 Reactions
11 Replies
580 Views
  • Poll Poll
4 Reactions
5 Replies
308 Views
Dawa za ARV zimekuwa na msaada mkubwa sana kuzuia maambukizi pale waathirika wanapokutana kimwili na ambao hawajaathirika. Imefikia kipindi mtu anaweza kutembea peku na idadi kubwa lakini akipima...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Iko hivi, Huu mkoa niliopo kuna dogo mmoja wa bodaboda huwa namuagiza vitu nikipata dharura, tumezoeana sana. Hata akipata shida ndogondogo sitosita kumsaidia. Sasa siku moja nilimualika kwangu...
33 Reactions
268 Replies
13K Views
• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha. MUACHE AENDE ! • Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na...
71 Reactions
483 Replies
97K Views
Wanaume, Anataka usahau kuhusu maisha yake ya nyuma, lakini hataki kaka yake aoe mwanamke mwenye historia kama yake. Anataka utumie pesa zako kwake kwa wingi, lakini hataki kaka yake afanye...
2 Reactions
5 Replies
523 Views
Helloooo wadau, mimi ni kijana ninayepambania maisha yangu kwa sasa, ya kimaendeleo. NILIKUWA na MPENZI wangu ambaye nilipanga nimuoe mwezi wa 2 mwakani, nimegundua aliwahi kutoa mimba akiwa chuo...
12 Reactions
285 Replies
20K Views
Iko hivi ameniambia nimtumie nauli pamoja na yakutolea kisha aje nyumbani. Chaajabu baada ya kutuma nauli na ya kutolea naona kaposti status whatsapp akiwa na shoga ake wanakunywa wine, kwenye...
28 Reactions
115 Replies
5K Views
Nipeni uzoefu ndugu zangu, mimi kijana wenu hapa 23 years old man, but look as young as 16 or 17, and handsome. Nimechoka kuwa single, Nataka kuingia kwenye mahusiano lakini sioni mlango wa...
9 Reactions
23 Replies
982 Views
Asilimia kubwa ya wasichana niliowaona chupi zao wakati wa kuwagegeda au hata wakiwa wamekaa tu vibaya mathalani hata kwenye daladala rangi ya chupi zao huwaga nyeupe au pink. Nataka nijue...
7 Reactions
196 Replies
50K Views
Nakumbuka miaka ya nyuma nilimpendaga binti mmoja, sasa kimbembe kilikuwa kumwambua nakupenda. Kuna siku nikasema hapana kumwambia ana kwa ana nimeshindwa ngoja nimwandikie barua, nikaingia zangu...
10 Reactions
31 Replies
45K Views
Mwenza wako anakupuuza sana pale ambapo unakuwa unajirahisisha sana kwake, unajitutumua sana ili kumfurahisha, unahatarisha uhai wako ili uthibitishe kwamba wewe ni husband material/wife material...
4 Reactions
6 Replies
904 Views
Mambo vipi Wana jamii....? Ebana katika jamii tuliyopo kuna mambo huwa yanaumiza sana. Iko hivi Jana tareh 28/01/2025 mida ya saa mbili usiku mshkaji wangu Mmoja tuliyekutana kwenye harakati za...
15 Reactions
51 Replies
3K Views
Ebhana Good Morning JamiiForum People, Hope y'all had a blasting Week I thank god leo naingia Robo Karne, I haven't experienced it all ila it's a pleasure to be part of the journey, Witnessing the...
0 Reactions
2 Replies
449 Views
Nan anapaswa kumshukuru mwezie hapo
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Dah, nina stress kinoma. Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi, hata nikila chakula sisikii maumivu. Sina dalili nyingine tena zaidi. Je, ni moja...
25 Reactions
109 Replies
6K Views
Ndugu wana JF, Niliwahi kuleta uzi hapa kipindi cha nyuma kidogo mwaka jana kuomba ushauri kuwa mume wangu hashughuliki na chochote cha ndani hanunui sukari ila anataka kunywa chai...
8 Reactions
120 Replies
20K Views
Sina pesa sio handsome na hata six pack Sina, mpaka naandika uzi wanawake 16 wamenikataa, nimekuja kwenu nipate kujua ukweli kuhusu hizi za dawa za mvuto (uchawi) je ukweli zinasaidia? Kuna jamaa...
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Mdaiwa Tumaini Angumbwike (35) mkazi wa Makunguru ameiambia Mahakama ya Mwanzo mkoani Mbeya kuwa yuko tayari kutalakiana na mume wake kuliko kurudi kijijini. Angumbwike ameiambia mahakama kuwa...
15 Reactions
74 Replies
3K Views
Back
Top Bottom