Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu habari zetu, mimi ni kijana nimeoa takribani miaka miwili iliopita, nashukuru Mungu mwaka huu kajifungua salama.sasa kimbembe nilichokutana nacho alipokuwa mjamzito siji kusahau kuna siku...
7 Reactions
75 Replies
12K Views
Leo wakati nasikiliza kipindi flani kuna doctor wa kisaikolojia alikuwa akichambua tofauti ya mwanamke aliyekupenda na mwanamke mwenye malengo na wewe kwa kusikiliza kauli zao pale mwanaume...
18 Reactions
75 Replies
17K Views
Kapata demu mwenye mtoto wa miaka mitano, ndo mnaita single mother, demu ni mkali sana haswaaa, ila yeye kanambia anawaogopa single mother, ila kazama kwa penzi la huyo mama, uyo mdada ana bellow...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hey hey jf members Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua...
34 Reactions
527 Replies
25K Views
Habari za muda huu waungwana wa hapa jamvini...... Kwenye ulimwengu wa sasa uliojaa changamoto za ulaghai na uaminifu imekuwa ni changamoto kubwa sana kukutana na mwenza mwenye moyo wa dhati wa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu habarini, Hivi karbuni nimebahatika kufunga ndoa na mke wangu, wakati huo nishampatia mimba. Hivi karibuni baba mkwe nilimwambia anitaftie kiwanja cha million 1.5 -2, cha kushangaza mzee...
6 Reactions
54 Replies
3K Views
Vilio vya mashostee vinazidi sana. Kikweli hata mimi imefika mahali naamini kuwa wanaume wale wa shoka wanapungua. Sijui ni stress za maisha au laa ila kiukweli ni wanaume wachache sana mkienda...
44 Reactions
429 Replies
52K Views
Si unajua ile umemtoa mtu sehemu unamuulizia anahitaji kinywaji gani utasikia" Lobertson" akimaanisha Robertson. Unaona shiyo ishu unaagiza huku wewe ukipunguza machungu kwa kunywa local bia...
29 Reactions
342 Replies
41K Views
Wakuu naomba niende moja kwa moja kwa mda yangu. Swala linalo nisibu ni kwamba..nampata vipi huyu bi dada nileitokea kumpenda toka siku ya kwanza namuona machoni pangu, Kiukweli she is kind...
5 Reactions
72 Replies
6K Views
Yani mimi katika kushiriki tendo la ndoa, mwanamke akininyima nisizame chumvini siinjoy kabisa, na stimu zinakata kabisa. Mwingine utakuta anakwambia "ukininyonya huku nitasikia kinyaa" Sasa...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Kimaisha! wakuu niwaambie wanawake wakichagga ni quiet different from others. Ukioa mwanamke wa kichagga darasa la saba hana tofauti na mwanamke mwenye digrii from another tribe. Nayasema haya...
31 Reactions
322 Replies
39K Views
Kiukweli kuna jamaa mmoja hapa jirani yangu anateswa sana na mkewake, anapigwa sana kama mtoto lakini hawezi kumuacha huyo mwanamke. Kuna siku alimuuliza mke wake kua anaenda wapi, halafu ilikua...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Huyu mdada tunafanya naye kazi yaani namshuhudia anaolewa tena harus yake sikuchanga na kadi alinipa na nikahudhuria vizuri tu Huyu dada ananipendaga tu nishamla mara1 tu ana mtoto m1 amezaa na...
6 Reactions
39 Replies
5K Views
Wanaume wengi ni wahanga wa kuombwa ombwa hela ovyo na wanawake pale wanapowatongoza, yaani unakutana na mwanamke baada tu ya wewe kumtongoza hapo hapo mama yake anaumwa, njaa inamuuma, simu yake...
16 Reactions
68 Replies
11K Views
Swadaktaaa? Back, nikiwa 3rd year nilishwai miliki chombo kali sana aisee huyu dada alikuwa ni pisi kali sana, moja ya pisi nilizotoka nazo anaingia top3. Alikuwa ni mzuri balaa. Ni pisi ambayo...
44 Reactions
577 Replies
175K Views
Sipo hapa kupingana na wanaume wenzangu wala kupingana na chaguo la wanawake ila nipo hapa kusema ukweli ambao siku zote unafichwa kwa kivuli cha mwanaume mweusi-mrefu tena mwingine akiwa na hela...
11 Reactions
104 Replies
7K Views
Habari zenu wanaJF Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39]) Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi...
23 Reactions
449 Replies
29K Views
Ukiwa kwenye ndoa ukinyoa bila taarifa Kuna namna Inaweza kuleta shida kubwa Sana.
1 Reactions
3 Replies
318 Views
Wakuu,kuna mwanamke mmoja mmiliki wa pub moja maarufu hapo Dar naona tunakoelekea ni kuanza kulana tu sasa. Hivi kuna mwenye uzoefu wa kidate na wanawake wenye kumiliki bar humu anipe abc zao...
10 Reactions
47 Replies
2K Views
Unapomwaga mbegu, ndipo utagundua kwamba maisha siyo tu kuhusu NGONO. Kuanzia mwanzo wa mazungumzo hadi mnapofika kitandani, na hata mkiwa juu ya kila mmoja, kila kitu kinahisi vizuri. Lakini...
15 Reactions
42 Replies
2K Views
Back
Top Bottom