Haya maneno nimeyasikia kwa masikio yangu mwenyewe toka kwa dada mmoja aliyekuwa akienda kwa buzi lake ili hali jamaa yake akiwa anamfuatilia kwa simu. Rafiki yake alipoona shostito wake hana...
KATIKA NDOA NYINGI SIKU HIZI WANAUME WA WANAWAKE WAMEKUWA NA TABIA YA KUTOKA NJE KWA KISINGIZIO CHA KUTORIDHISHWA NA WENZI WAO. SASA KAMA UNAHISI HUWEZI KURIDHISHWA NI BORA UTOKE KWENYE NDOA...
Hata kama huko ibadani wenzio wanakushangaa kwa nini unaenda kusali peke yako, fahamu kuwa suala la imani ni la kibinafsi zaidi na kwenda kwako mbinguni kutategemea na matendo yako.
Kuna mdada...
Ni nini hasa kinasababisha mtu afikirie kuingia kwenye ndoa? je ni kwa ajili ya sababu zifuatazo :-
1. Kutii agizo la Mungu.
2. kuondoa upweke
3. kupata watoto
4. kuogopa maneno ya watu
5. Umri...
Ni mabinti wawili mapacha na jirani zetu. Wazuriiii kwa sura na maumbile hasa yule wa pili.Wa kwanza ni mzungumzaji na mcheshi sana, mwingine ni mkimya na mwenye soni tele.Kisa hiki cha kweli...
Jamani, kisa hiki nimekisikia around saa sita/saba kwenye radio Clouds, kwenye kipindi fulani na kiko hivi ....
Kuna jamaa ana mke na anaishi nyumba ya kupanga mahali fulani. Kumbe ktk nyumba...
Veronica ana miaka 24, anamiliki degree ya Sheria, kwa sasa ni wakili wa kujitegemea katika afisi binafsi.
Vero kitabia ni mpole (very calm) mcheshi kiasi huruma, ana kifua cha kutunza siri...
Nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari ITV jana na juzi, nikakutana na habari hii ...
Kuna boat moja ilizama, I think Kenya, juzi; ilikuwa imebeba watu wa kutosha. Ndugu mmoja ambaye alinusurika...
Nawatakieni nyote heri ya mwaka mpya.Mungu akaufanye mwaka huu kuwa mwaka wenu wa kuvuna yote mnayomuomba.
Nikiwa kama mzazi mtarajiwa,nimeona sio mbaya sisi wazazi tukikumbushana au kufunguana...
Today is a New year but unfortunately not all of us are in good Health to Celebrate.... Our fellow Member Dena Amsi has been hospitalised since X-Mas and has returned from hospital today feeling a...
nampenda mke wangu japo haamin ktk penz. nimemkosea na kukir kymsalit kwa tukio la julai 2010 lakin sasa linamfanya asikubali msamah wangu. nampenda pamoj na mambo mengne yaliyotokea bado...
Live in thepresent when you stop trying to change your behavior, and you'll become like achild, becoming comfortable with yourself and ultimately believing in yourself.
Letsconsider for a minute...
ndugu yangu kaniletea malalamiko, eti mkewe anamtuhumu kuwa kipato dunkinatokana na uzembe wa huyo mwanamume, maana hataki kuhama kwa mwajiri wake wa sasa na kutafuta kazi sehemu nyingine.
Jamaa...
Kuna jamaa mmoja alikuwa na rafiki yake anayeishi maeneo ya Ukonga naomba nimtambulishe kwa jina Ulimbo , sasa siku moja wakapanga na rafikiye anayeishi maeneo ya Tabata, (naomba huyu tumuite...
Katika pitapita zangu,nikiwa na shida ya kutafuta mwenza,mimi ni He/ nikakutana na binti mmoja tukazoeana,na tukapendana sana na nikampeleka mpaka hme,na nilivutiwa zaidi na zaid baada ya...
. . . kwenye conflict kati ya mke na ndugu wa mume.
Kwanza nianze kwa kuuliza. .
Hivi kwa nini ndugu wa upande wa mume (mawifi, mashemeji, mama mkwe) ndio hua wanaonekana kusababisha...
Niaje wadau, mapenz yako tofaut, vionjo vikiwa tofaut kila siku unakuwa mpya kwa mpenz wako, sio mbaya nisaidien yafuatayo, KAMA WEWE NI:
A)MWANAUME..vitu gan au mambo yap unapenda mpenzio...
Nilikuwa na mpenzi wangu yupo chuo 1st year.tatizo lilianza alipofika chuo baada ya wiki mmoja alianza kunipotezea na kunidanganya,ilikuwa nikimpigia simu usiku naikuta inatumika ninakuwa waiting...
Yule binti aliye mchoma kisu gen.mmewe wake wa zamani ambae wamezaa nae watoto wawili walio kuwa wakisomeshwa na gen. Tewete nae yupo jela baada ya kumchoma mwanaume mwingine kisu baada ya...