Wakaka na wadada wa jf naombeni ushauri nataka kubadili hata namba kuepuka usumbufu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakaka na wadada wa jf naombeni ushauri nataka kubadili hata namba kuepuka usumbufu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Babuu blessed, Jan 2, 2012.

 1. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Nilikuwa na mpenzi wangu yupo chuo 1st year.tatizo lilianza alipofika chuo baada ya wiki mmoja alianza kunipotezea na kunidanganya,ilikuwa nikimpigia simu usiku naikuta inatumika ninakuwa waiting lakini mwishoe napotezewa nikimpigia kesho yake asubuh anadai aliyekuwa anatumia simu ni rafiki yake,yeye alishalala au alkuwa anasoma nilikuwa naumia bt mwanaume najikaza.Mwaka jana nov 1 nikaanza kumtoa moyoni mwangu na kupunguz mawasiliano nikaona nae anitafuti.dec 9 nikampigia nikataka kujua kama chrstmas atarudi kwao akadai nauli kikwazo nikamtumia elfu hamsini ,kwa siku 3 akanichunia kumuhuliza akadai simu aikuwa na salio nikamrechrge then nikamfungukia nikamwambia kama mapenzi yake kwangu hayapo au amepata mtu mwingne aniweke wazi niliforce kwa siku tatu ndipo akaniambia"sorry ukweli sifeel chochote on u"nikajua game is over nikatuma message 2 za kuonyesh masiktiko yangu kwake nikamuaga.Tatizo tangu chrstmas amekuwa anatuma txt na anataka tuonane nimegoma.sitak kumjibu vibaya ananikera
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  pole sana usilazimishe mapenzi moyo sometimes ni mdanganyifu
  utapata mtu ambae yupo straight
  mi hapo naona unatafuta kuchunwa tu kaona wallet yako inafunguka kilaini acha ale
  kimbia
   
 3. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Unajua, ukiwa na m2 huon thaman, akiwa hayupo ndo unaelewa thaman yake, kama anakukera na humpend tena, mwambie ukwel kwamba ua over ha, na akuache.
   
 4. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Huyo hakuhitaji? si ajabu anataka wewe uwe wa Vocha, si unajua mara wanapofika chuoni baadhi yao wanakuwa na Wapenzi wa kiume aina 3(minimum); 1. ni yule anayempenda 2. ni wa kumsaidia kwenye Masomo na wa 3. ni wa kumlishia simu yake Vocha halafu hata kukupigia wewe hakuna. Na mara nyingi sana Wasichana wanapofika Year 1. huwa wanachanganywa sana na Mazingira. Wewe achana naye, kwanza kakusaidia kwani UKIMWI HAUNA UMRI, STATUS, MAZINGIRA,n.k.
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Si hakufeel amesha wapata chuo wa kumnunulia chipsi mayai, wakumfanyia assignment, wakuchuna, wakukaa nae wkt wa test ngumu ngumu ndugu hapo beba mabegi ya mapenzi kisha tambaa huyo demu anaweza sababisha ukajinyonga bure
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Jamaa kaniacha hoi demu hamtaki alafu kacheka Tsh.50,000/= dah wabongo tumekaa kuchunwa chunwa
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Babuu Blessed you really are blessed... Ukajua fika Mapenzi yameisha but you still sent her money, ukamre-charge na pia kutaka jua msimamo wake. Kweli yaonesha you are a good guy.... Ila kumbuka tu kua wema una mipaka yake, huyo dada hakupendi na anataka kuonana nawee sababu kisha jua unampenda na anatafuta namna ya kuweza kukutoa pesa. Huyo hakufai, na from maelezo ni kama vile you still have feelings for her....

  Jikaze tu for mapenzi hayalazimishwi hasa ukigungua kua you are being used. Ingewezekana ilitakiwa umpatie ukweli wake kua ulisha jua kua alikua anakudanganya na you did that out of respect na love you felt; but sasa umeamua kuachia ngazi rasmi na asikupigie tena simu wala kukutafuta.
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Mchwechwele ukipenda kweli wafanya what is right na ambayo wengi hufafanua kama ni ujinga. Jamaa mbona alifanya vizuri tu! Ili at the end asianze kujilaumu kua labda he did not try hard enough....
   
 9. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  sio kuonga man demu nilimpenda then nikajajua ni yatima na maza ake anafanya biashara ndogo ndogo kipato si cha uakika kama mwanaume nisingeweza mtosa kwa mahitaji madogo madogo.
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kwanza heri ya mwaka mpya sis:focus:
  ni kweli ulivosema hata mimi kwenye mahusiano huwa naamini unatakiwa uwe good hadi pointi ya mwisho yaani mtu afanye all sacrifices hata yakifa utajilaumu pia utakuwa na amani kwamba iki kitu kweli hakikuwa changu.
   
 11. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi wanaume huwa wanatoa sababu kama hii kuwa kwa vile kipato chake kidogo au kwa vile sipendi demu wangu ahangaike basi mi naamua kumuwezesha lakini mwisho wa siku huyo huyo unae mwezesha anakuita buzi na maneno mengine ukweli utabaki pale pale umechunwa
   
 12. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #12
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kwa namna hiyo unataka kutuaminisha sisi ambao hata elfu ishirini kumpa mwanamke inakuwa mbinde basi hatupo right katika mapenzi? Tunashindwa kuhonga au tunashindwa kushawishi mwanamke? Je ni lini hii dhana potofu ya mwanamke kutegemea kupata chochote toka kwa mwanaume itafutika?
   
 13. P

  Pure nomaa JF-Expert Member

  #13
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 1,051
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Huyo manzi hakupendi achana naye
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kuna kitu ulimwachia unataka kukifuata?
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Happy new year to you too Dearest.... Well like you said B2T

  Siku hizi watu wanaangaika kupata wapenzi wa kweli sababu klla mmoja hupenda kwa shingo pande, hamuamini mwenzie na wala hataki atie energy yoote ya Mapenzi yake hapo kwa madai kua aogopa kuumizwa.... Kwa mtindo huo waweza poteza avery potential soul mate ambae kama ungetia nguvu zako hapo in the long run wagundua s/he is the one for you MAISHA!
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mchechwele soma between the lines na usibadilishe maana.... Umemsoma Babuu B? Zingatia kua kuna tofauti ya kusaidia mpenzi wako na kumhonga... Mwanamke ni mpenzi wako usha lala nae mara kibao - ukimpa pesa utasema kua wamhonga? Otherwise uniambie kua hakubali kulala na wewe mpaka umpe pesa... Na huyo hawezi qualify kuitwa Mpenzi, huyo tayari ni CD ama CD bubu.

  Kumbuka pia kua kuna wanaume aweza jaaliwa kupenda mwanamke lakini bado akawa ni bahiri ile mbaya... Yaaani yeye kutoa pesa kwa mpenzi wake kazi ipo (are you telling me upo katika hili kundi?)

  Kumbuka pia ni kweli wanaume waweza kua na wanawake weengi ambao anatoka nao, lakini mara nyingi saana hua kuna mwanamkwa yule ambae ndio hasa the queen among princesses.... Kwamba a guy can do anything for her.... Hasa ukizingatia anakua amempenda.... Na nafikiri hapa ndo hio ya Babuu B' yaingia....
   
 17. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #17
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  usilazimishe kabisa mana huyo dada inaonesha hakupendi na hatokaa akupende hata siku moja na inaonesha anataka pumziko la moyo mana huko anakutegemea may kumewaka fire sasa anataka kukugeuza ww zima moto na ukishazima huo moto anakuja kukutema tena na kwenda zake mana hakupendi wala hakuwahi kukupenda
  mungu na akupe nguvu uyashinde yote hayo na kufanya maamuzi sahihi
  happy new year ma bro
   
 18. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #18
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Yeah mi nipo kundi hili
  pesa nimpe mwanamke au vocha aaah unampa vocha wewe anaishia kukubip lol wanaume wengine anawapigia wanawake pasua sana kichwa angalia jamaa angu hapo juu anavyo umia
   
 19. huzayma

  huzayma Senior Member

  #19
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo umenigusa shoga mana mpaka nazeeka peke yangu kwa kuogopa kuumizwa:focus:

  kwenye miti hakuna wajenzi dah! achana nae huyo atakupotezea muda wako, hivi una umri gani kwani?:lol:
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mchwechwele I gurantee hujapenda bado AMA usha tendwa.... Na jamani inabidi mtongoze the type of lady you like... Huwezi ukamtongoza mwanamke from day one wamhudumia kila kitu na kumtreat as if wewe ni babake na asiache kukutegemea... Mwanadamu gani (wanawake kwa waume) hawapendi dezo.... Ukitaka mwanamke ambae wampigia simu nawe akupigia akiwa na nafasi badala ya kukubeep then tafuta mwanamke ambae atakua your partner more than your protege'
   
Loading...