Jf/wadada kwa wakaka nipo chini ya miguu yenu naomba msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jf/wadada kwa wakaka nipo chini ya miguu yenu naomba msaada

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mangimeli, Dec 30, 2011.

 1. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Katika pitapita zangu,nikiwa na shida ya kutafuta mwenza,mimi ni He/ nikakutana na binti mmoja tukazoeana,na tukapendana sana na nikampeleka mpaka hme,na nilivutiwa zaidi na zaid baada ya kuniambia kwamba yy ni bikira hajawai kktana na mwanaume yyte,mimi nkasema dont worry,ayo yote kama ni kweli si ntayaona tu,Kituko bas,i kumbe ana jamaa alishamwaid mpaka ndoa,Mungu alivyo mkubwa leo akaandika sms kwa nia ya kumtumia uyo jamaa si kasaau kaisendi kwangu, yani apa nlipo nimelowana jasho mwili mzima,cjui nchukue uamuzi gani juu yake,ila ananiomba msamaha wadau nifanyeje ihii mambo??
   
 2. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  ehh.!!! ufanyeje tena??? mi nlidhan ushamsahau kumbe uko tiar kushare...
   
 3. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,460
  Trophy Points: 280
  Piga chini ,samaha wa nini wakati muda wote alikuwa anakuchezea akili huyo asikuchanganye na si ajabu hana cha ubikira ana interests zake kwako na hata ukimuoa si ajabu akaendelea naye kimya kimya. Kwakuwa ushaujua mwanzi mwisho hautakusumbua
   
 4. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  franky speaking, i don't know why some men are easily duped by this bikra thing...
   
 5. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Namsubiri yule aliesema hivi karibuni kuhusu mods wa kike kubana miguu. In case hujanielewa, ni kuhusu matumizi ya maneno "nipo chini ya miguu yenu".

  On a serious note: Kuna haja gani kuishi na mtu usiemuamini au hutakuja kumuamini mbele ya safari? Ingekutokea baada ya kumuoa angalau tungekwambia kula jiwe, lakini mwanzoni brother?
   
 6. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  oya bikira miyeyusho it has no advantage over zile zilizotumika....kama muongo at this stage ya maisha,ikifika wakati wa ndoa itakuwaje?
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,626
  Likes Received: 5,788
  Trophy Points: 280
  upi huu??

  [​IMG]
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,626
  Likes Received: 5,788
  Trophy Points: 280
  haya mambo maghumu kijana usikmbilie ukiona umeonyweshwa red kwenye traffic light usisubiri ugongwe na gari ujue umekufa
  kula hiyo funga nayo mwaka basi
  [​IMG]


  Julie Benard
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa unataka msaada gani?
  Kama hujali msamehe muendelee, kama unajali mwambie aende kwa huyo jamaa mwingine.
   
 10. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280

  Nawee, bado tu unashobokea mademu wenye bikira?! Shobokea demu anaejuwa kubana nyonga na sio mwenye bikira; ala! Mi nakuambia hivi, demu barubaru lijualo kubana nyonga lina flavor mara 1000 zaidi ya yule mwenye huo upuuzi! We vipi?! Kwanza ngoja nikupe siri ya demu mwenye bikira( kwa maana ya kuwa hajawahi kukutana na mwanaume), kama kweli anayo hiyo bikira yenyewe! Siku akikupa vitu, anatarajia ayaone yale mautamu anayoyasikia kwamba yapo kwenye hako kamchezo! Sasa ikiwa atashindwa kuyaona hata baada ya muda kupita atajiuliza "mbona yale mautamu yenyewe siya-feel?!!" hapo tena atajiuliza "au ndo maana wanasemaga kwamba midume mingine sio mafundi!" Kinachofuata hapo ni kujiambia "kama bikira sinayo tena , sa ya nini kuendelea kubania!" Baada ya hapo atamgeukia yule mwingine ambae alishaomba sana lakini alikuwa anambania...ukumbuke, anapokuja kukupa wewe kuna mijamaa kibao alishaibania! Na hapo ndipo atakapomgeukia mmoja wao ili akajaribu kuyaona hayo mautamu aliyowahi kusikia. Uwezekano wa demu uliyemkuta na bikira kwenda kutoa sehemu nyingine baada ya muda mfupi ni mkubwa zaidi kuliko yule ambae ameshawahi kuonja huku na huko...shauri yako!
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  duh, haya bwana.
   
 12. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Aisee!
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  kumbee!!
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,232
  Trophy Points: 280
  kusuka au kunyoa ni uamuzi wako

  kama upo tayari ku-share
  kama upo tayari kumwamini then endelea nae
   
 15. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Duh, JF shule jamani, kwahiyo kuonja onja huko na kule kuna advantage kubwa kumbe....ama kweli kila kitu kina uzuri na ubaya ni wewe tu utakavyoamua kuchukulia.....!!

  Anyway, ushauri wangu mimi ni kuwa huyo dada si mwaminifu, wewe waujua uhusiano wenu vizuri,tulia kumbuka yote then fanya uamuzi,kama anaustahili msamaha fanya hivyo,ukiona haustahili basi kila la kheri,wanawake tumezidi hapa duniani,wengi mno!!
   
 16. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  huyo market value yake imeshuka so piga chini auikiwezekana mguze awe hawara
   
 17. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #17
  Dec 31, 2011
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  I second that as well.

  @Thread; Yani wewe umeisha toka jasho kabla hajawa mke wako, je akisha kuwa mke wako....Pole ndugu.
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Dec 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  toka nduki halafu kanae mbali ili usimfikirie sana wewe usisubiri kuumia zaidi mapema toka nduki kila la kheli bwana harusi mtarajiwa..
   
 19. segere

  segere JF-Expert Member

  #19
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  ..yani ushafahamu yote hayo lakini ukatoka na kijasho?..sasa wamtakia nn binti ambaye hata dudu hujampa?..akili za nguruwe changanya na zako then piga chini,maduu kibao kitaa tena wenye bikra za kweli..
   
 20. G

  Gabriela Member

  #20
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Piga chini
   
Loading...