Sababu ipi imekufanya/inakufanya uingie kwenye ndoa?

mhondo

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
968
342
Ni nini hasa kinasababisha mtu afikirie kuingia kwenye ndoa? je ni kwa ajili ya sababu zifuatazo :-
1. Kutii agizo la Mungu.
2. kuondoa upweke
3. kupata watoto
4. kuogopa maneno ya watu
5. Umri kufika au miaka kusonga
6.kwa sababu umezaa tayari na mwenza wako au mmepeana mimba
7. Shinikizo la Wazazi

au kuna sababu nyingine zaidi ya hizo? Tusaidiaine ili tuweze kueleimishana ni ipi sababu nzuri hasa ya kuingia kwenye ndoa.
 
8.au kuna sababu nyingine zaidi ya hizo? Tusaidiaine ili tuweze kueleimishana ni ipi sababu nzuri hasa ya kuingia kwenye ndoa.

sababu ni hapo namba 8.........
 
Me Mwenzenu nlikuwa nimechka haya maisha ya kubadilisha halafu nilikuwa sifurahii sana kuwa na mademu wengi pia nikifanya nlikuwa najuta sana nikaona huyu ni Mungu ambaye anafanya kazi ndani yangu, nikachukua hatua nikasema Jamanii eeee mimi naoa wakafikli masihara,huwezi amini ss na mtt 1 na sijawahi kumsaliti Mke wangu na huwa sifiliiii kabisa , kama huamini soma,
1WAKORINTO7:1-5. Kwahiyo sababu kubwa sana kwangu ni Mung
 
Ni nini hasa kinasababisha mtu afikirie kuingia kwenye ndoa? je ni kwa ajili ya sababu zifuatazo :-
1. Kutii agizo la Mungu.
2. kuondoa upweke
3. kupata watoto
4. kuogopa maneno ya watu
5. Umri kufika au miaka kusonga
6.kwa sababu umezaa tayari na mwenza wako au mmepeana mimba
7. Shinikizo la Wazazi

au kuna sababu nyingine zaidi ya hizo? Tusaidiaine ili tuweze kueleimishana ni ipi sababu nzuri hasa ya kuingia kwenye ndoa.

1 mpaka 8 ndo vinavyosabisha watu waingie kwenye ndoa
 
We all come from a certain relationship, so its better to keep being in a relationship. Kuna sababu nyingi, ambazo ni pamoja na kuwa na uhuru zaidi unapokuwa na mke wako bila kuwa na mipaka yeyote wakati wa kufanya jambo lolote.
 
Me Mwenzenu nlikuwa nimechka haya maisha ya kubadilisha halafu nilikuwa sifurahii sana kuwa na mademu wengi pia nikifanya nlikuwa najuta sana nikaona huyu ni Mungu ambaye anafanya kazi ndani yangu, nikachukua hatua nikasema Jamanii eeee mimi naoa wakafikli masihara,huwezi amini ss na mtt 1 na sijawahi kumsaliti Mke wangu na huwa sifiliiii kabisa , kama huamini soma,
1WAKORINTO7:1-5. Kwahiyo sababu kubwa sana kwangu ni Mung

Hongera sana mkuu!!
Na usije msaliti mkeo milele yote, mpende mjali yeye na watoto wenu
mtakaopewa na Mungu.
 
Kwahiyo asingekuwa na hela asingekuoa wewe au asingeoa kabisa. @ Husninyo.
 
TALAKA.jpg

:A S-coffee::A S-coffee:
 
Unataka upate jibu kama vile swali lako ni geography, chemistry au physics. Hamna awezae kukujibu kama fikra ni zakishule. Kwanza jiulize wewe ulikujaje katika dunia hii......................

No, this question won't work... How on earth are you ever going to explain in terms of chemistry and physics so important a biological phenomenon as first love?

Try falling in Love. It is animal instinct.
 
Ahsante kwa mchango wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom