Kwanini wanawake wengi wanawaona waume zao ni wavivu na wasio timiza wajibu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wanawake wengi wanawaona waume zao ni wavivu na wasio timiza wajibu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Jan 3, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,147
  Trophy Points: 280
  ndugu yangu kaniletea malalamiko, eti mkewe anamtuhumu kuwa kipato dunkinatokana na uzembe wa huyo mwanamume, maana hataki kuhama kwa mwajiri wake wa sasa na kutafuta kazi sehemu nyingine.
  Jamaa alipo peleka malalamiko hayo kwa mfanyakazi mwenzake, akamwambia, mbona na mimi mke wangu ananiambia hivyohivyo tu.
  Jamaa akaamua aje kuniuliza mimi, nami nimeamua nije kuuliza hapa jamvini.i
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwasababu hao waume zao ni wavivu na wasiotimiza wajibu. Hao wamama nao si wajifunge vibwebwe kusaidia?
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  kama mke anajua mumewe mvivu, yeye amefanya nini kukwamua familia?
   
 4. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Wanaume wengi siku hizi wanajifanya malava boyz... Unajinyenyekeza kwa mkeo hadi mnaanza kudiscuss kipato chako?!! Nyambaf... Kama unalipwa laki, mwambie mkeo unalipwa milioni, na hakuna maswali kuwa zinaenda wapi. Unaweka akiba ya uzeeni, fulu stop.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,147
  Trophy Points: 280
  halafu tangu uchumba hawakujua kuwa waume zao ni wavivu? je ni tabia gani walizokuwa wanazichunguza kwa waume wao?
   
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mh. BB umeibuka lini ? Uliyeyuka bila kuaga mazee ! Hadi nikakutafuta kwa torch ya thread ! Bila mafanikio!
   
 7. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Wewe uliwashauri nini?? Tatizo siyo kuhama mwajiri tu, je ana sifa za kuhama??kama alishikwa mkono ataweza kuhama kweli??
   
 8. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Labda hao wake zao wanawafananisha na wanaume wengine...........!!!!
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  ulitakiwa na wewe umpe jibu then ulete haka ka uzi hapo ili ulinganishe majibu
   
 10. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  na hilo ndo tatizo kubwa la wanawake...........kupenda kulinganisha na kuona maisha ya nje ndo mazuri kuliko yake.
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine huwa hatuko tayari kuukubali ukweli,jukumu la familia ni la MWANAUME,mambo yakienda hovyo muhusika lazima awajibke!
   
Loading...