Asalaaam aleykum ndugu zangu, ninalo zito moyoni mwangu. Nilikuwa na mpenzi wangu tumefahamiana zaidi ya mwaka sasa. Mwezi wa tisa mwaka jana nikiwa field mikoa tofauti nilimwomba aje ili angalau...
Okoa mahusiano yako kwa kuepuka maswali ya kipuuzi kama haya....
1. Uko wap?
2. Wafanya nin?
3. Huli leo?..
.. Mengine mwayajua wenyewe.. Yanatukera. Take care.
Hii nchi haitokuja kuendelea kamwe ebu ona wananchi wake wanawaza mapenzi mda wote....maofisini watu wanawaza mapenzi,majumbani,vijiweni,kwenye madaladala mijitu imekaa kimya utazani inatafakari...
Mambo zenu ma G-thinker?
Nauliza hivi ni response gan huwa mnaichukua iwapo girlfriend wako anakuwa anachat muda wote hata mkiwa kwenye mazungumzo yenu serious? Coz kuna rafiki yangu kamtelekeza...
Umetokea kuwapenda watu wawili kwa wakati mmoja?.No,haiwezekani kwamba unawapenda wote,kuna yule wa kwanza kupendwa na wa pili kupendwa.Ninakushauri uwe commited kwa huyu wa pili kumpenda,yule wa...
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuhusu kitchen party. Nini maana yake? Je, ni sawa na unyago? Maana unakuta mwanamke anayefanyika kicheni pati, ni mjuzi wa mambo ya mapenzi na unyumba kuliko...
Wadau mlioko Dodoma hebu
tujuzeni, hivi haya ya kweli? Au soga tu za mjini kama ni kweli kumbe ndiyo
maana maisha ya wabunge yamepanda huko Dodona na hata wakaongezeana posho. Tujuzeni mlioko Dom
nimeanza na east africa nikaja clouds nikahamia radio one nikaenda kiss fm, majic fm, passion, 100.5, capital... Zote hizi mida hii mapenzi tu. Hivi hakuna zaidi ya hili?
Jamani kuna msichana nilimtongoza nikiwa shule ya msingi lakini hatukufika mwafaka kwa kuwa tulivyomaliza shule kila mtu aliendelea na secondary na hatukuwa na mawasiliano kila mtu akawa na issue...
Im sory to say this, mnaweza niambia hayanihusu, but kuna vitu vinatia kichefuchefu jamani! Naenda toilet ya ofisini, nasikia strange noise kama vile watu wanafanya mapenzi. Nakuwa siamini...
Je umeshawahi kumtazama mkeo au rafiki yako wa kike katika namna yake ya kuvaa? Lakini je, hata wanawake unaowajua ambao unakutana nao kila siku, iwe kazini, mtaani au popote, umeshawahi...
Jamani umeolewa na mwanaumwe hataki kazi.
Asubuhi adi jioni anashinda home na housegal na mtoto wake.
Hatoki ajishungulishi yeye akiamuka anakaa kwenye kochi akichoka anaeingia kulala ndani.
Ni...
Nimebahatika kukutana na girl super cue na tukapanga mambo mengi.
Cha ajabu tukapanga tukutane one day ili kubadilishana mawazo akaniomba nimjie na zawadi kwa bahati mbaya hakuiependa hiyo...
Wajamen kuna kisa kimemtokea rafiki yangu nikabaki naduwaa!!!
Kuna mdada tunafahamiana nae anafanya kazi katika Taasisi fulan hapa nchini, ameolewa na ndoa yao ina kama miaka 7 hivi.
Mimi kwa...
Valentine's day is coming up and I would like to give the guy I'm dating something special..something that would make him think of me but I just don't know what. He is not my boyfriend yet...
The king made a banquet and ordered his clever slave to serve the best food that money could buy. The main food at the meal was tongue... all kinds of tongue cooked in all kinds of ways. All the...
Everyone has ProblemsA mother who had lost her only son went to the man of religion in her village and said: "Is there anything you can give me to reduce the pain that I feel?" "Yes," he said...
Habari zenu wadau,
Jamani ningependa kujua bei ya bete za uchumba kwa hapa bongo na pia zinapatikana wapi?
Najua kuna watu watanisema kuwa nikatafute kwa Masonara sijui, haina shaka ila nataka...