Tanzania taifa la mapenzi,watu wanawaza mapenzi mda wote. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania taifa la mapenzi,watu wanawaza mapenzi mda wote.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by matumbo, Feb 2, 2012.

 1. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Hii nchi haitokuja kuendelea kamwe ebu ona wananchi wake wanawaza mapenzi mda wote....maofisini watu wanawaza mapenzi,majumbani,vijiweni,kwenye madaladala mijitu imekaa kimya utazani inatafakari ya maana kumbe inawaza ngono tu..
  Ebu ona na umu JF watu wanajazana jukwaa la mapenzi,wengine sijawai kuwaona ata majukwaa mengine kama Intelligence,Elimu,Business na Lugha yani mtu kujiandikisha tu anakimbilia jukwaa la ngono.
  Hivi watanzania tulilogwa?mbona tunapenda sana chini!

  Ushauri wangu..
  Jamani tujitokeze ata kwenye majukwaa mengine muone wanaume tunavyoshusha nondo,maana umu naona sura zile zile azimuv ata kuchungulia sehemu zengine kwa jinsi damu zao inavyochemka ngono..
   
 2. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,533
  Trophy Points: 280
  Ukienda Paris si utazimia jinsi watu wanavyongonoka!! Na bado hao hao wangonokaji ndio wewe na rais wako mnawaombaomba!
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kuna taifa ambalo watu wake hawawazi mapenzi kwa muda mwingi?
   
 4. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nzi?..ilo jina we unakula vya kinyesi nini?acha uo mchezo,kwa taarifa ukipita huo mlango ata shetani huwa anakimbia hataki ushaidi kabisa.
   
 5. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  China ni moja ya mfano.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wamefikiaje idadi ya bilioni moja na ushee?
   
 7. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,533
  Trophy Points: 280

  Unazidi kula matapishi yako.

  Kuona neno NZI tu,tayari ushawaza ngono!
   
 8. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  idadi ya wachina sio suala la kungonoka,lina historia yake na mkakati kuongeza nguvu kazi.
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Feb 2, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Sasa walizaliwaje wengi hivyo bila ngono?
   
 10. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,078
  Likes Received: 31,907
  Trophy Points: 280
  sa kama sijui siasa nikafanye nn kwenye hilo jukwaa?
  mapenzi ndo kila kitu ndugu hata wewe hapo ni product ya mapenzi.....
   
 11. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Ukiondoa wa-Italia, wao first thing to love and give priority is FOOTBALL, Wajapan comes next, wao maisha yao tangu utotoni ni designing na ufundi, Chinese follows.
  The rest hamna kitu, so ndugu fanya tena hiyo research yako, ukiwa mtu mzima lazima uwaze ngono man, na wewe umeuweka huu uzi ukiwaza ngono tu, may b umepigwa kibuti cha shingi leo....teheteheee
   
 12. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  ulikuwa ni mkakati maalumu wa kuongeza nguvu kazi,haikuwa kwa ajili ya starehe.
   
 13. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  ungekua mfano ukasema, kamwe sinto gusa jukwaa la mapenzi, kitendo cha kupost topic tu,,,, tayari unaunga mkono hoja.
   
 14. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  kwaio we umeshajitoa muhanga ni ngono kwenda mbele..mapenzi sawa lakini mda wote hapana,yani hupati ata mda wa kupoteza sekunde 30 kujua nchi yako kunaendelea nini.
   
 15. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  mkuu Sizinga,sijawai kupigwa kibuti na binti,na sidhani itakuja kutokea,mi ndio huwa napiga..najua kucheza nao hawa watu,Matumbo ni habari mbaya msikie ivo ivo tu.
   
 16. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ukibishana na mtu ambae amejiandaa kubisha utaonekana chizi! Kwanza watanzania wana stress nyingi za maisha hawawazi mapenzi sana! Tembea nchi zilizoendelea uone watu wanavyofanya mapenzi na hawajali na hawana heshima!
   
 17. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  kuna watu wanashinda umu,wanakesha umu na wanaamkia umu.
   
 18. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  mzee kubali tu yaishe jamaa kakushika pabaya kutokana na mfano wako mwenyewe.
   
 19. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ngono ndio ilokufanya wewe ukazaliwa kuiheshimu wajibu.
   
 20. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  wabongo wanapenda sana mapenzi utafikiri wana kila kitu,sidhani kama kuna watu wanatufikia.
   
Loading...