Ngono maofisini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngono maofisini

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by WALIMWEUSI, Jan 9, 2012.

 1. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Im sory to say this, mnaweza niambia hayanihusu, but kuna vitu vinatia kichefuchefu jamani! Naenda toilet ya ofisini, nasikia strange noise kama vile watu wanafanya mapenzi. Nakuwa siamini nisikiacho, nasukuma mlango nakuta umefungwa. Narudi ofisini kusubiria kidogo, ile narudi tena anatoka mwanaume choo cha kike, namuuliza we vipi huku mbona sio kwako?Anajibaraguza na kuondoka.

  Nasukuma tena mlango nakuta umefungwa!Hee, mara anatoka mwanamke uso mkavuu!Hivi kweli jamani kwa nini maofisini kuna hizi tabia chafu?Kibaya zaidi wote ni wanandoa, I mean mwanaume ana mke na mwanamke ana mume!

  Hii ni tabia chafu sana na ipo kwenye maofisi mengi.Haaya mambo yanafanyikaga sana kwenye vyoo vya bar, kumbe hata kwenye maofisi ya serikali yapo! Loh!Ivi kweli binadamu tumekuwa kama mbwa?Cha ajabu tena watu wasomi?

  Guys leo nimekasirika sana, kibaya zaidi ni watu wazima sana kwangu I wish to talk to them niwaonye ila najua watanimind.

  Its not my business but this is not good!
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  mind your business......ahahahahahaaaaaaaaaaaaa_hala hala mti na macho,
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  WASHAMBA HAO.KWANZA HUYO MWANAMKE MKE WA MTU UNASALITI NDOA YAKO KWA KUJIRAHISI HVO,CHOONI ? TENA CHOO CHA OFSINI? SASA HAPO ANAFAIDI NINI? NI MIHEMKO GANI IYO ALIYONAYO?

  MIMI HATA HOTELI YA TSH SILALI

  UPUUUZI MTUPU
  WAPAMBE MSINIJADILI:focus:
   
 4. m

  muhinda JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Tanzania bila ukimwi itawezekana kweli?
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Bado unapewa vitu?
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Waso haya wanamji wao, kama umesha waona basi haina haja kama ulivyosema ni wakubwa basi watakua wanajua kosa walofanya,na kila wakikuona wataona haya,haina haja yakuwasema,kama unavyosema haya kuhusu basi wachie wenyewe.
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  :focus:
   
 8. m

  muhinda JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Mi nahisi kuna wanando hawatoshelezwi huko nyumbani. Sasa kama ni hivyo si uongee na mwenza wako. Mbona siku hizi kuna mpaka vitabu ambavyo mnaweza soma mkajifunza mambo mapya mazuri ktk ndoa yeni, na kilifanya tendo la ndoa kuwa exciting.
  Jamani wanandoa hebu jieshimuni
   
 9. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  I support you, Hii ni tabia mbaya isiyo ya kiungwana hata kidogo. Nimesikia watu kadhaa kwenye ofisi tofauti tofauti wakilalamikia hili suala. Ni vzr ndugu zangu tujiheshimu na kuwa na nidhamu na hasa kwa wanandoa, tusiwe kama kuku au mbuzi ambao popote hurukiana. Hawa hawana utashi, ni wanyama kwa maumbile na akili! Wakifanya lolote, hakuna anayeshangaa.
  Sisi binadamu wenye hulka na utashi, tuwe na aibu na nyuso zenye haya, Loh!
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Jan 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo ndo umenukuu nini Tabasamu?
   
 11. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #11
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sishangai kabisa hilo, tena sie ofisini kuonyesha msisitizo kuwa tunajali tumeweka na CONDOM kabisa kwenye toilets zote za wake na waume.
   
 12. JS

  JS JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  dah kazi kwelikweli....swali la kizushi hivyo vyoo vyenu ni vya kukaa au?kama vya kukaa angalau maana ninapiga picha jinsi hiyo shughuli ilivyokuwa. lakini ni tabia chafu ndo unakuta watu wanaondoka na magonjwa mengine ya ajabu ajabu ukiachilia ya ngono kutokana na hali halisi ya vyoo inavyokuwa
   
 13. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndio dunia ilipo fikia, waache wazinzi wazidi kuwa wazinzi...
   
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hapa tunaongelea kuhusu uzinzi chooni mkuu au?
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jan 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Ooh I know nothing about it. My apologies.
   
 16. m

  muhinda JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Nafikiri Condom chooni ni kwa ajili ya kuwasaidia wale weny aibu ya kununua dukani. Nia ni kuwezesha watu wachukue wakazitumie waendako na si kufanya ngono vyooni.
  Na hii imeleta matokea mazuri kwenye office nyingi maana condom huisha kila week inabidi kureload
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Jan 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  au una zawadi yangu wataka kunipa mkuu? Bado kuna dirisha dogo la usajili
   
 18. B

  BENACO CAMP Member

  #18
  Jan 9, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Ndugu zangu jambo hili ni baya sana. Mungu hapendi. Nawaachieni maneno haya.
  Do not fret because of evil men or be envious of those who do wrong;
  for like the grass they will soon wither, like green plants they will
  soon die away. Trust in the Lord and do good; dwell in the land and
  enjoy safe pasture. Delight yourself in the Lord and he will give you
  the desires of your heart. Commit your way to the Lord; trust in him
  and he will do this: He will make your righteousness shine like the
  dawn, the justice of your cause like the noonday sun.
   
 19. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #19
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  unashangaa hilo mkuu. tena bora hao wamefanyia chooni. wengine hufanyia ofisini kabisa tena kwenye hiyo meza ya kazi
   
 20. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #20
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  huyo dada hana haya jamani loh! akirudi home mkavuuuuuuuuuu
   
Loading...