Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ninatafuta mwenza atakayeweza kuishi nawe ila awe tayari kuvumilia kibamia changu kwa shida na raha. Awe na umri kati ya 25 to 27. Aliye serious ani inbox
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mtu kujiua kwa ajili ya mapenzi sio jambo geni masikioni mwetu! Nimeamua kutuma huu uzi baada ya best friend wangu kujiua kisa gf wake amemsaliti! Je kujiua kwa ajili ya kusalitiwa ktk mapenzi ni...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Wana JF, heshima mbele. Nina rafiki yangu wa karibu mno kiasi cha kuitana ndugu. Alifunga ndoa mwaka jana october. Mwisho wa mwezi December mkewe akapata ujauzito. Kazini kwake ni Mikoani lakini...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi kuna ambao wanafanikiwa kuwa best friends au just friends huku ni jinsia tofauti bila kutokea matatizo ya wivu,mapenzi,sex na kadhalika????? kwa upande wangu naona ni ngumu saana siku zote...
9 Reactions
220 Replies
13K Views
  • Closed
Hi Alter, I am sorry that you are not feeling well... I pray that you recover promptly. Nimefurahi kujua unahudumiwa na madaktari despite mgomo (You are AshaDii! au vipi?) I miss you jamvini na...
26 Reactions
217 Replies
20K Views
si kila msichana unayekutana naye kimwili kwa mara ya kwanza ukakuta hana bikra ukadhani alikuwa kicheche. kuna tofauti wa maumbile. 1. kuna wale wenye kiwambo (ngozi ya uke) chembamba chenye...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Jamaninaomba kujuzwa, kuna tofauti gani ya kimaisha na kimaadili kati ya mke ambaeunamuoa wakati umeshafanya nae mapenzi ama alikua mpenzi wako kwa miaka kadhaahuko nyuma na mwanamke ambaye...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
katika jamii nyingi msichana anapokutwa na bikira hueshimiwa sana pia kwa upande mwingine niulize swali kama ukimkuta msichana na bikira na ukaiondoa yaani ukamubikiri kabla ya ndoa anaweza...
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Ukiangalia nyimbo nyingi katika Tv's utaona kila mtu anasema mapenzi hawa vijana wa leo wanajua madhara yake
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tupo msibani! Kijana kafiwa na baba yake. Katikati ya maombolezo anafika binti mmoja hivi mtanashati ingawa tumbo kubwa lakini huachi kuona uzuri wake, anajiunga upande wa wamama asalimiana...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
jamani maadili ya ndoa yameenda wapi kiapo cha kuishi pamoja kwa shida na raha mbona vyawashinda wanandoa. Tatizo nini hasa? Ndoa zavunjika kila kukicha kwanini?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Zamani saana nilikuwa natazama sana filam za kihindi..... filam hizi zilikuwa na mambo meengi mno yanayofanana na maisha yetu ya kitanzania na mafunzo tele.... sasa kuna filam moja naikumbuka...
10 Reactions
241 Replies
14K Views
Mimi najiulizaga hivi mwanamke asipofanyiwa sherehe kitchen party hawezi kuwa mke mwema kwa mmewe. Maana siku hizi kwenye kitchen party kuna misemo kama vile ''sufuria haikai kwenye figa moja'' au...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Unapoingia kwenye mahusiano "BEING INLOVE" pekee haitoshi kufanya mahusiano yaendelee kuwepo huku wote mkiyafurahia. Kuna vitu ambavyo ni muhimu viwepo ili mtu asiboreke na wewe, asikuchoke...
19 Reactions
126 Replies
9K Views
Hiki kituko kimetokea juzi Kiteto. Eti walimkamata mwenzao wakataka kwenda nae porini kumuadhibu, kisa kawatahiri watoto wake hospitali kwa kutumia ganzi, badala ya ile mila yao-ambayo ni kama...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mamboz wanajamvi... Huu uzi nimeupata kwenye forum moja hivi nikaona ni bora tushee wote ili tuone imekaaje. Kuna walicomment kwamba kuwa na mtoto kabla ndoa ni u.m.a.l.a.y.a. Samahani kwa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wapendwa...yani nashindwa hata nielezeje. Ni furaha na faraja iliyoje mliyonipatia leo. Yani nimefurahi na kufarijika saaanaa tena saaanaa...... Mungu awabariki na kuwalipa mbadala.
0 Reactions
37 Replies
2K Views
ushawahi kupigwa na mkeo/gf wako? How did you react? Ulilipiza?uliuchuna? Ulimfungulia RB?uliita kikao cha wazazi? Ulifanya nini? Ninalogoff maana leo nimetendwa and i just can't take it na...
2 Reactions
216 Replies
11K Views
Kuoa na kuacha au kuolewa na kuachwa ni mambo yasiyoweza kwenda kimya ndani ya nyumba. Mme anapoacha na kuoa tena, na mke anapoachwa au kuolewa tena, mara nyingi huwa na maneno au kauli...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Kuna watu wengi wamekosa amani kutokana na kusubiri kuombewa ama kusaidiwa katika mbali mbali kuna wakati akuna kitu kizuri kama kujua adui wako anakupiga silaha hii na mie lazima nitumie silahaa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…