kwa kinababa tu...........

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
ushawahi kupigwa na mkeo/gf wako? How did you react? Ulilipiza?uliuchuna? Ulimfungulia RB?uliita kikao cha wazazi? Ulifanya nini?
Ninalogoff maana leo nimetendwa and i just can't take it na aliyenitenda bahati mbaya yuko humu humu jf.
 
Hahahahahah. . . kakupiga Via keyboard?
PM au jamvini au mtaani? Nauliza maana mimi ni mwanasheria na mtetezi wa wakina baba.
 
Bishanga huyo wa humu katumia nini kukupiga
Labda utuambie kuwa mlionana uso kwa uso ndo kakushushia kipigo
 
Tukiwezeshwa tunaweza,na tusipowezeshwa tunaweza hata kwa kupitia keyboard....kafungue kesi uone TAWLA tutakachokufanya!

Utulie hivyo hvyo,loh Bishanga sikujua waweza kuwa mdogo ka piriton....lol...tajiri la kihaya hilo!
 
ushawahi kupigwa na mkeo/gf wako? How did you react? Ulilipiza?uliuchuna? Ulimfungulia RB?uliita kikao cha wazazi? Ulifanya nini?
Ninalogoff maana leo nimetendwa and i just can't take it na aliyenitenda bahati mbaya yuko humu humu jf.

Ni raha sana kwani ukimwangalia baada ya kukuchapa kibao unaishia kucheka sana kimoyo moyo!!

Nadhani huwa wanahisi kwamba maisha yao sasa yamefika mwisho....

Anyway....Ndoa ni kitu special,

Babu DC!!
 
njoo uwe mweka hazina
wa chama cha wanamme wanaopigwa na wake zao Tanzania

mie nilishazoea, huwa nalia kama mkata kiu
yanaisha.
 
ushawahi kupigwa na mkeo/gf wako? How did you react? Ulilipiza?uliuchuna? Ulimfungulia RB?uliita kikao cha wazazi? Ulifanya nini?
Ninalogoff maana leo nimetendwa and i just can't take it na aliyenitenda bahati mbaya yuko humu humu jf.

Mtaje huyo iron lady kabla hujaitwa mwanaume suruali ... tena ikawekwa kwenye signature kabisa.
 
njoo uwe mweka hazina
wa chama cha wanamme wanaopigwa na wake zao Tanzania

mie nilishazoea, huwa nalia kama mkata kiu
yanaisha.

Kumbe tuko wengi eeeeeeeeeee!

Halafu eti bishanga anauliza hatua ambazo utachukua....Lazima anaumwa huyu....siyo bure kabisa!!

Babu DC!
 
mwanamke kupigwa au mwaaume kupigwa hii kitu mbaya sana..

Mwanamke akipigwa wengi wataandika kila sheria itakayomsaidia
Mwanaume akipigwa inachukuliwa mzaha mzaha tu....
 
Hahahahahah. . . kakupiga Via keyboard?
PM au jamvini au mtaani? Nauliza maana mimi ni mwanasheria na mtetezi wa wakina baba.

Lizzy get out of my way kabla sijakupa za uso!
 
Tukiwezeshwa tunaweza,na tusipowezeshwa tunaweza hata kwa kupitia keyboard....kafungue kesi uone TAWLA tutakachokufanya!

Utulie hivyo hvyo,loh Bishanga sikujua waweza kuwa mdogo ka piriton....lol...tajiri la kihaya hilo!
Na wewe Michelle OUT!!!!
 
mwanamke kupigwa au mwaaume kupigwa hii kitu mbaya sana..

Mwanamke akipigwa wengi wataandika kila sheria itakayomsaidia
Mwanaume akipigwa inachukuliwa mzaha mzaha tu....

Ndiyo ukweli huo AD,

A man biting a dog is a big news..it deserves a front page...

Kinyuma chake hakuna kitu hapo...just another incidence!!

Babu DC!!
 
njoo uwe mweka hazina
wa chama cha wanamme wanaopigwa na wake zao Tanzania

mie nilishazoea, huwa nalia kama mkata kiu
yanaisha.
NA we we kongosho,I don't care whether ni mdume au mdada just Fu....off!
 
Ndiyo ukweli huo AD,

A man biting a dog is a big news..it deserves a front page...

Kinyuma chake hakuna kitu hapo...just another incidence!!

Babu DC!!

Mbegu ya "mwanaume hapigwi na mwanmke na akipigwa ni aibu kwake" ilioteshwa zamani na sasa imekomaa. Huwezi ukategemea mambo yabadilike just like that. . inabidi mfanye kazi kuing'oa.
 
Unang'oa ya nini?

Hatuwezi kuhangaika na matukio yenye probability ya <0.001!!

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom