Je kuwa na mtoto kabla ya Ndoa imekaaje??

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
573
140
Mamboz wanajamvi... Huu uzi nimeupata kwenye forum moja hivi nikaona ni bora tushee wote ili tuone imekaaje. Kuna walicomment kwamba kuwa na mtoto kabla ndoa ni u.m.a.l.a.y.a. Samahani kwa nitakaowakwaza kwani nimekocpy tu toka huko.
Hili suala kwenu ninyi Gret Thinkers imalionaje? Make kuna wengine wanaamua kabisa kuwa na mtoto kabla ya ndoa na wengine ni bahati mbaya, wengine walibakwa na vitu kama hivo! Hebu tuendelee
 
Husababishwa na tamaa, uhuni na u.m.a.l.a.y.a labda iwe kuwa uliolewa ukaachwa au mumeo kufa...
 
Wewe dini gani, au huna dini kabisa? Kama unayo dini yako inasemaje?
 
Mamboz wanajamvi... Huu uzi nimeupata kwenye forum moja hivi nikaona ni bora tushee wote ili tuone imekaaje. Kuna walicomment kwamba kuwa na mtoto kabla ndoa ni u.m.a.l.a.y.a. Samahani kwa nitakaowakwaza kwani nimekocpy tu toka huko.
Hili suala kwenu ninyi Gret Thinkers imalionaje? Make kuna wengine wanaamua kabisa kuwa na mtoto kabla ya ndoa na wengine ni bahati mbaya, wengine walibakwa na vitu kama hivo! Hebu tuendelee

Unakuwa unajipima mwenyewe kama una uwezo wa kuzaa
 
unajuaa kwa vijana[kiumeni} kunaa ulee umrii flani 25-29,umriii mbaya sanaaa huo kama hujaowaa,kuna zilee za kupigaa kavu kavuu yani mwanaume unajillipua[PUUUUUU],kupata mtoto nirahisi sana[wanaitwa watoto wa majaribio...jokes],sioni kama mtoto wa kike akiwa na mtoto kabla ya ndoa ni u. ma..la..ya,labda kijana alimrubuni wataishi pamojaa baada ya kumpa bendi kasepaa,niwangapiii hawana watoto ilaa wametoaa mimbaaa kibao.BABY IS THE GIFT DIRECT FROM GOOD...BE HAPPY FOR WAT U HAVE,OTHER THEY PRAY AND CRY TO HAVE IT..UR LUCK.
 
Mara nyingi haileti picha nzuri katika jamii otherwise iwe imetokea kwa bahati mbaya tu.

Hakuna bahati mbaya duniani, unapo vua chupi na kukutana na mwenzio tegemea mambo haya mimba/ gonjwa la zinaa ukipata ndo useme bahati mbaya?
 
Mamboz wanajamvi... Huu uzi nimeupata kwenye forum moja hivi nikaona ni bora tushee wote ili tuone imekaaje. Kuna walicomment kwamba kuwa na mtoto kabla ndoa ni u.m.a.l.a.y.a. Samahani kwa nitakaowakwaza kwani nimekocpy tu toka huko.
Hili suala kwenu ninyi Gret Thinkers imalionaje? Make kuna wengine wanaamua kabisa kuwa na mtoto kabla ya ndoa na wengine ni bahati mbaya, wengine walibakwa na vitu kama hivo! Hebu tuendelee

Ni uzinzi ,ukahaba tu. Sitaki kutafuna maneno. najua mtanitukana, potelea Nairobi!!! Lazima maovu yakemewe
 
Ni u.a.s.h.e.r.a.t.i na Uzinifu hapo unazaa kabla ya ndoa ili iweje? Kama sio umalaya? Shwaini...!!! Alafu unaita Kutest? Unatest nini mzinzi tu we Oa
 
Swala la mtoto nje ya ndoa si umalaya maana wapo malaya hawapati na hawataki hao watoto hivyo , kuzaa nje kabla ndoa ni uamuzi tu kama ni umalaya malaya wote wangekuwa na watoto kila mwaka.
 
Wewe dini gani, au huna dini kabisa? Kama unayo dini yako inasemaje?

Dada yangu dini zipo na ndizo hizo hizo zinazokataza mahusiano kabla ya ndoa ila kizazi cha sasa ni tofauti na cha zamani. kwa mimi binafsi cdhani kama kuna vijana wanaingia katika ndoa kabla ya kufanya tendo la ndoa ingawa dini zinakataa! na wengine hata dini haziruhusu kuzini lakini wao wamefanya nyumba ndogo ni jambo la kawaida!
 
unajuaa kwa vijana[kiumeni} kunaa ulee umrii flani 25-29,umriii mbaya sanaaa huo kama hujaowaa,kuna zilee za kupigaa kavu kavuu yani mwanaume unajillipua[PUUUUUU],kupata mtoto nirahisi sana[wanaitwa watoto wa majaribio...jokes],sioni kama mtoto wa kike akiwa na mtoto kabla ya ndoa ni u. ma..la..ya,labda kijana alimrubuni wataishi pamojaa baada ya kumpa bendi kasepaa,niwangapiii hawana watoto ilaa wametoaa mimbaaa kibao.BABY IS THE GIFT DIRECT FROM GOOD...BE HAPPY FOR WAT U HAVE,OTHER THEY PRAY AND CRY TO HAVE IT..UR LUCK.

kama ulikuwa mawazoni mwangu!
 
Difinisheni ya ndoa ni tofauti kwa mtu na mtu,inategemea wewe unamtazamo upi!
 
Mara nyingi haileti picha nzuri katika jamii otherwise iwe imetokea kwa bahati mbaya tu.

ndugu yangu binadamu hawana wema wala jema hata kidogo uwe na mtoto kabla ya ndoa ma.la.ya. ukichelewa kuzaa watasema kachomoa nyingi so ni vyema ufanye kilicho chema machoni pako maadamu linafurahisha nasfi yako bila kuangalia je utaifurahisha jamii
 
hapa huyo anae onekana malay@ ni Me au Ke?
Si ndo hapo sasa make lawama na matusi yote humuendea mwanamke je huyo mwanamke alijipa mimba pekeyake???/ ingekuwa ukipata mimba na mwanaume anapata mimba ingekuwa sawa kweli make matusi yanazidi mara huyu ma.la.ya. cjui huwa anajifanya mwenyewe??
 
Mamboz wanajamvi... Huu uzi nimeupata kwenye forum moja hivi nikaona ni bora tushee wote ili tuone imekaaje. Kuna walicomment kwamba kuwa na mtoto kabla ndoa ni u.m.a.l.a.y.a. Samahani kwa nitakaowakwaza kwani nimekocpy tu toka huko.
Hili suala kwenu ninyi Gret Thinkers imalionaje? Make kuna wengine wanaamua kabisa kuwa na mtoto kabla ya ndoa na wengine ni bahati mbaya, wengine walibakwa na vitu kama hivo! Hebu tuendelee
imekaa poa.nani anataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia siku hizi.raha ya mke ni yule anaezaa.
 
Back
Top Bottom