special kwa wanaume

The secretary

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
4,149
2,536
si kila msichana unayekutana naye kimwili kwa mara ya kwanza ukakuta hana bikra ukadhani alikuwa kicheche. kuna tofauti wa maumbile.

1. kuna wale wenye kiwambo (ngozi ya uke) chembamba chenye sm 2 hivyo baada ya kuingiwa utanuka na kufikid sm 4 hii usababisha maumivu kidogo na kutokwa damu.
2. ambao wamezaliwa bila kiwambo,hivyo huwa hakuna maumivu wala damu wafanyapo mapenzi kwa mara ya kwanza.
3. kiwambo kinene .hawa huwa na kiwambo kinene sana hivyo mara nyingi mwanaume hushindwa kumwingia na kupelekea kwenda kutanuliwa hospitali.
4. kiwambo kilichochanika,hii inawezekana ni kutokana na michezo mbalimbali na kupanda baiskeli na njia nyingine ni kufanya mapenzi.
 
Mkuu siku hizi kwa kizazi hiki kilicholaaniwa hakuna kitu kinachoitwa bikira. Mtoto hutoka tumboni akiwa tayari amebikiriwa ready for human consumption.
 
kwa case yako hii anakuwa katika lile kundi la waliozaliwa bila hicho kiwambo kutokana na uumbaji
 
Kwani bikira ndio kitu gani na ina faida gani kwa mwanaume? kwangu mimi siintatin vitu vya kijinga jinga kama hivyo, na sihitaji hata mwanamke anaevaa shanga.
 
Acha kujitetea. Zaman mlikuwa mnadanganya hamjawah. mkiendako ukakutwa tayar ukaulizwa unaanza kulia. cku hz ndo mwaja na v7bu vya hvyo? kama ushachakachuliwa sema tu.
 
kwako vitu vya kijinga stil is reality
 
Acha kujitetea. Zaman mlikuwa mnadanganya hamjawah. mkiendako ukakutwa tayar ukaulizwa unaanza kulia. cku hz ndo mwaja na v7bu vya hvyo? kama ushachakachuliwa sema tu.

hivi vitu vilikuwepo tangu kuwepo kwa ulimwengu ni wewe kuwa nyuma ya pazia ndo kulikufanya usivielewe reality will stil be reality even though u deny it .be a human being and accept the reality.
 
Mkuu siku hizi kwa kizazi hiki kilicholaaniwa hakuna kitu kinachoitwa bikira. Mtoto hutoka tumboni akiwa tayari amebikiriwa ready for human consumption.

jamani comments nyingine ebu fikiria ndo unamwongelea bintiyako hapa na maneno hayahaya makali hivi khaaa
 
Mke wangu alkuwa ni bikira original, na ilkua ni kaz kuitoa. Lakn baada ya kuitoa, wife kanpenda, ananfeel na mi namfeel mbaya! Kazn hakukaliki, its about 2yrs tangu 2oane na tuna 1baby girl!
 
Mkuu siku hizi kwa kizazi hiki kilicholaaniwa hakuna kitu kinachoitwa bikira. Mtoto hutoka tumboni akiwa tayari amebikiriwa ready for human consumption.

..afu ungelijua watoto mabikira ni wengi kuliko hada idadi ya maneno ya huu UONGO wako,labda tu unambie hujui sifa ya utoto inaishia miaka mingapi,ila sorry for U it seems as hujawahi dondosha ua..
 
Kwani bikira ndio kitu gani na ina faida gani kwa mwanaume? kwangu mimi siintatin vitu vya kijinga jinga kama hivyo, na sihitaji hata mwanamke anaevaa shanga.

.we cjui wa wawapi?..ila ukae ukijua hapo nyuma ilikuwa ni haki ya kila mwanaume kupata mke bikira,bt now imebadirika na kuwa ni haki ya kila mwanaume kabla ya kuyaonja mauti awe angalau amekutana na hii kitu hata kama ni ya kichina..inaleta heshima sana hasa akiwa ni mkeo inapunguza wivu na tamaa za kutembea na jua/mwezi..
 
Mke wangu alkuwa ni bikira original, na ilkua ni kaz kuitoa. Lakn baada ya kuitoa, wife kanpenda, ananfeel na mi namfeel mbaya! Kazn hakukaliki, its about 2yrs tangu 2oane na tuna 1baby girl!
Anakupenda na anakufeel kwa sababu umemtoa bikira? hizi hadithi za vijiwe vya kizamani na wewe umezikariri mpaka leo? wewe sayansi ya wanawake huijui nadhani unahitaji muda zaidi kuwajuwa wanawake. kumtoa bikira mwanamke sio issue kabisa kwao.
 
Mke wangu alkuwa ni bikira original, na ilkua ni kaz kuitoa. Lakn baada ya kuitoa, wife kanpenda, ananfeel na mi namfeel mbaya! Kazn hakukaliki, its about 2yrs tangu 2oane na tuna 1baby girl!

..ndo umweleze na Jsaud yaonekana hajawi pata bahati hizi nyingi sana bt adimu kwa watu wa chama chake..
 
bicra za kichina ni ngumu sana, ukiona ila cha kushangaa ukiitoa tu kesho yake unaingia kama mpira knye nyavu za goli la mpira wa miguu
 
Back
Top Bottom