Zawadi ya Valentine Ujumbe wa Afya bila malipo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zawadi ya Valentine Ujumbe wa Afya bila malipo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Dr, Feb 10, 2012.

 1. T

  The Dr New Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati huu wa sikukuu ya wapendanao mambo mengi hutokea. Mapenzi mapya huzaliwa, wapenzi wa zamani hugombana ma wengine husameheana. Kwa siku kumi na tano TAYOA itakuwa ikikupa namna nzuri na salama za kusherehekea sikukuu ya wapendanao. Ukituma neno LOVE kwenda 15017 utakuwa umejisajili kwenye huduma ya ujumbe wa bure, ujumbe utakaokupa namna nzuri ya kusherehekea sikukuu ya wapendanao.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...