Natafuta rafiki wa kike kwa uhusiano wa siri

Bmsegeju

Member
Jan 23, 2012
21
2
Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa na uhusino wa siri. awe na umri kuanzia miaka 20-45. mwembamba au mnene. lakini ambaye anajiheshimu na kuheshimu uamuzi wangu wa
kufanya uhusiano wa siri na si vinginevyo, kwa anayeishi DSM ni vizuri zaidi. kwa aliye serious tuwasiline kwenye PM kisha tuona namna ya kukutana.
 
Uhusiano wa siri ndiyo uhusiano gani huo???? Hebu tudadavulie tafadhali.
 
Utakuwa tu umeoa unatafuta ndogo ndogo ili nyumba kubwa isijue, hehehe usijelia hapa kuna watu wanajua kuchuna ikiingia na gear hiyo.

By the way nimependa hiyo anjiheshima na uhusiano wa siri lol
 
Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa na uhusino wa siri. awe na umri kuanzia miaka 20-45. mwembamba au mnene. lakini ambaye anajiheshimu na kuheshimu uamuzi wangu wa
kufanya uhusiano wa siri na si vinginevyo, kwa anayeishi DSM ni vizuri zaidi. kwa aliye serious tuwasiline kwenye PM kisha tuona namna ya kukutana.

uhusiano wa siri.....mh!!!!
 
Utakuwa tu umeoa unatafuta ndogo ndogo ili nyumba kubwa isijue, hehehe usijelia hapa kuna watu wanajua kuchuna ikiingia na gear hiyo.

By the way nimependa hiyo anjiheshima na uhusiano wa siri lol

Yeah, nimesema anayejiheshimu na uhusiano wa siri, ni kweli kama ulivyohisi. maana nyingine
natafuta amani ya moyo.
 
Pole sana yaani umejisajiri tu ili utafute uhusiano wa siri

Kwa nn??????????????????????????????????????????

nadhani niko sawa. Uhusiano wa siri sio kitu kigeni masikioni na machoni kwako. Kwa ufafanuzi ni kwamba
mtu nitakae anzisha naye uhusiano wa aina hii, sivujishe uhusiano wetu kwa mtu wa tatu baada ya mm na yy.
 
... anayejiheshimu, uhusiano wa siri... :A S-coffee:

sasa Digna, ni wapi hujanielewa juu ya uhusiano wa siri? na kujiheshimu maana ni kuwa smart kwenye mahusiano
unless unahitaji ufafanuzi zaidi nijulishe.
 
All the best! mimi kuna dada mmoja anatafuta mtu wa kuwa naye kwenye mahusiano ya siri, siyo member wa JF, nikimwambia tayari nitakuwa nimeshakuwa mtu wa 3 kujua uhusiano wenu kitu ambacho hukitaki!!
 
yeah, hiyo haijakaa njema. si umeona?
 
hii tabia yako sio nzuri unataka uhusiano wa siri una ngwengwe au, yaani unataka usijulikane una nia gani na huyo binti utakayempata, mi ninawasiwasi usije ukawa muuaji
 
Mkuu naona umenisoma vibaya, wala sina ngwengwe kama unavyodhani. mtu atakayekuwa tayari nitakwenda naye hospital kupima ili kumhakikishia usalama na mm nihakikishe usalama wangu.
naomba nieleweke jamani!!!
 
mmmmh wadada wa JF ni wanaojiheshimu....hawahusudishi mambo ya infidelity....katafute huko huko mitaani!!!!!!!!!!!!!!!
 
Budha aliwaambia disciples wake kwamba wanaweza kufanya secret sex kama wanataka. Wale disciples wakamwambia ;''Secret sex is not sex at all.''
The Budhas are not entirely celibate. Sex takes up 1/16,000 of their entire existence.
 
Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa na uhusino wa siri. awe na umri kuanzia miaka 20-45. mwembamba au mnene. lakini ambaye anajiheshimu na kuheshimu uamuzi wangu wa
kufanya uhusiano wa siri na si vinginevyo, kwa anayeishi DSM ni vizuri zaidi. kwa aliye serious tuwasiline kwenye PM kisha tuona namna ya kukutana.
Umepata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom